Kwani unasumbuliwa na nini mpaka ukafanyiwa CT scan?Wanajf ni siku ya tatu leo toka nifanyiwe CT SCAN YA TUMBO.AJABU TUMBO SASA LIMEBADILIKA.LINAWAKA MOTO.KIUNO SASA KINAUMA SANA.TUMBO LINAUNGURUMA SANA UTAFIKIRI VYURA VINAFANYA MAZOEZI.KELELE ZINASIKIKA HADI NJE YA TUMBO.MGONGO UNA MAUMIVU MPAKA LEO.KICHWA NDIYO USISEME.SASA NIMEKUWA MCHOVU MNO KIASI CHA KUSHINDWA KUFANYA HATA YALE MASUALA YETU YA USIKU YA BABA NA MAMA.JAMANI NISAIDIENI TATIZO NI KIPIMO AU NI MARADHI YANAYONISUMBUA AMBAYO BADO SIJAYAGUNDUA?MSAADA TAFADHARI
Tumbo linanisumbua sana huu mwaka wa 13.Nimetibiwa sana iwe tiba mbadala au tiba hizi za kisasa.Kwani unasumbuliwa na nini mpaka ukafanyiwa CT scan?
Yaani ni ajabu,vipimo vyote nilivyofanyiwa yaani Barium meal,Barium enema na CT Scan hakuna ambacho kilishaonyesha kuwa nina ugonjwa.Vidonda vya tumbo huna?
Asante kwa ushauri,nimeshapewa dawa za kuharisha za aina mbili.LAKINI WAPI.NILIISHIA KULALA CHOONI NIKIHARISHA NA BASI.UNAFUU HAKUNA!!!HATA HAPA NINAYO MOJA INAYOFUATIATafuta dawa ya asili inaitwa Aswat, ila utaharisha sana ila baada ya hapo unapona kabisa. Nenda kwenye misikiti humo wanzo dawa hizo afu utaleta mrejesho hapa. Ila ukiziendekeza hizo hospitali ujue unakitafuta kifo mapema sana.
Je kipimo cha endoscopy kile cha kuingizwa mpira tumboni umeshafanya?Yaani ni ajabu,vipimo vyote nilivyofanyiwa yaani Barium meal,Barium enema na CT Scan hakuna ambacho kilishaonyesha kuwa nina ugonjwa.Wale wa tiba lishe ndiyo walidai eti baada ya kunipima nina vidonda.Wakaanza kunitibu hali ndiyo ikawa mbaya mara 10.Yaani wale ndiyo siwezi hata kumshauri mtu awaone,wengi ni waongo na wako tu kutafuta pesa.Mpaka sasa hapa ninapoongea hali ni mbaya tumboni,kama nilivyoeleza.
Naomba unieleweshe hicho kipimo kinakuwaje maana nimeshafanyiwa vingi mpaka ninavichanganya!Ila kuna kuna kipimo ninakumbuka dawa ilichanganywa na maji.Ikawekwa kwenye tubes fulani ikaingizwa tumboni mwangu kupitia haja kubwa picha ikachukuliwa.Je kipimo cha endoscopy kile cha kuingizwa mpira tumboni umeshafanya?
Mpaka hapa nina attend medical clinic ya hapa rufaa Mbeya.Cha ajabu ni kwa kuwa hadi leo siujui ugonjwa unaonisumbua.Kamuone daktari. Huku utaingizwa chaka tu.
Pole sana... Nenda Nairobi ukirud utakua umepona kabsa na unilete na zawad ya earphoneYaani ni ajabu,vipimo vyote nilivyofanyiwa yaani Barium meal,Barium enema na CT Scan hakuna ambacho kilishaonyesha kuwa nina ugonjwa.Wale wa tiba lishe ndiyo walidai eti baada ya kunipima nina vidonda.Wakaanza kunitibu hali ndiyo ikawa mbaya mara 10.Yaani wale ndiyo siwezi hata kumshauri mtu awaone,wengi ni waongo na wako tu kutafuta pesa.Mpaka sasa hapa ninapoongea hali ni mbaya tumboni,kama nilivyoeleza.
Mpaka hapa nina attend medical clinic ya hapa rufaa Mbeya.Cha ajabu ni kwa kuwa hadi leo siujui ugonjwa unaonisumbua.Madaktari wenyewe huwa wanaitana na kujadili hali yangu huishia kubishana tu.Hali ninayoexperience sasa hivi ni kuwa daktari wa leo unamkuta anatofautiana na aliyemtangulia.Hapa nilipo nimeandikiwa dozi za dawa nikipima hivi vidonge kwenye mzani vinakarikia robo tatu ya kilo!!!
Nairobi wanaombea?Pole sana... Nenda Nairobi ukirud utakua umepona kabsa na unilete na zawad ya earphone
Cheki na mashehe, litakuwa jini hilo, likitolewa waponaa, usihofu hujachelewa, utapona tuu (shehe msopa majini - mabibo)Yaani ni ajabu,vipimo vyote nilivyofanyiwa yaani Barium meal,Barium enema na CT Scan hakuna ambacho kilishaonyesha kuwa nina ugonjwa.Wale wa tiba lishe ndiyo walidai eti baada ya kunipima nina vidonda.Wakaanza kunitibu hali ndiyo ikawa mbaya mara 10.Yaani wale ndiyo siwezi hata kumshauri mtu awaone,wengi ni waongo na wako tu kutafuta pesa.Mpaka sasa hapa ninapoongea hali ni mbaya tumboni,kama nilivyoeleza.