Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

Endoscopy ni kipimo kinacho piga picha tumbo lote kwa ndani.......ili picha ipigwe unamezeshwa kimpira na picha ya tumbo lako unaiona kwenye screen.... Nakama kunatatizo linaonekana Live nawewe unaliona, jitahidi kutafuta hiko kipimo.....!!!!
Hii inaitwa gastroscope
 
Yaani linasumbua vipi kabla hujafanya T scan?,
maana mi nimeambulia ukienda haja unatoa harufu kali,so nikashangaa hivi unachukua vipimo vyote kwa ajili ya haja kubwa ina harufu mbaya?,

pia ujue kuna ugonjwa humo tumboni ukiupata haunaga dawa,yaani unaishi nao miaka nenda rudi labda ndo tatizo lako,
kama madoctor hawajui ugonjwa jikite kureseach mwenyewe A To Z ya magonjwa ya tumbo,na kwakuwa wewe ndo mgonjwa utakuwa rahisi kupinpoint tatizo kule mtu mwingine yeyote
 
[QUOTinasumbua 5, post: 19984700, member: 131154"]Endoscopy ni kipimo kinacho piga picha tumbo lote kwa ndani.......ili picha ipigwe unamezeshwa kimpira na picha ya tumbo lako unaiona kwenye screen.... Nakama kunatatizo linaonekana Live nawewe unaliona, jitahidi kutafuta hiko kipimo.....!!!![/QUOTE]
Mkuu unasikia maumivu wakiingiza hicho kipimo
 
Naomba unieleweshe hicho kipimo kinakuwaje maana nimeshafanyiwa vingi mpaka ninavichanganya!Ila kuna kuna kipimo ninakumbuka dawa ilichanganywa na maji.Ikawekwa kwenye tubes fulani ikaingizwa tumboni mwangu kupitia haja kubwa picha ikachukuliwa.
Ndo hiyo hiyo endoscopy, Majibu yalikuwaje? Ila kwanini walikuingiza kwenye haja kubwa? Uliogopa kuingizwa mdomoni?
 
Endoscopy ni kipimo kinacho piga picha tumbo lote kwa ndani.......ili picha ipigwe unamezeshwa kimpira na picha ya tumbo lako unaiona kwenye screen.... Nakama kunatatizo linaonekana Live nawewe unaliona, jitahidi kutafuta hiko kipimo.....!!!!
Kipimo hiki binafsi niliwahi kuandikiwa ila kuna daktar mmoja akanishauri nisifanye coz kitaniongezea matatizo hasa kuumizwa kuta za tumbo niliogopa sana
 
[QUulikuwa u john junior, post: 19985068, member: 406225"]Kipimo hiki binafsi niliwahi kuandikiwa ila kuna daktar mmoja akanishauri nisifanye coz kitaniongezea matatizo hasa kuumizwa kuta za tumbo niliogopa sana[/QUOTE]
Vp ulikutwa na nini.Na je ushapona
 
Naomba unieleweshe hicho kipimo kinakuwaje maana nimeshafanyiwa vingi mpaka ninavichanganya!Ila kuna kuna kipimo ninakumbuka dawa ilichanganywa na maji.Ikawekwa kwenye tubes fulani ikaingizwa tumboni mwangu kupitia haja kubwa picha ikachukuliwa.
Nenda rabininsia kule tegeta kuna dr special wa tumbo kuna camera wanaiingiza tumboni kupitia haja kubwa inaonyesha kila kitu. Kuna nyama kidogo wataikata na kuifanyia vipimo zaidi
 
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi!!
 
Yaani linasumbua vipi kabla hujafanya T scan?,
maana mi nimeambulia ukienda haja unatoa harufu kali,so nikashangaa hivi unachukua vipimo vyote kwa ajili ya haja kubwa ina harufu mbaya?,

pia ujue kuna ugonjwa humo tumboni ukiupata haunaga dawa,yaani unaishi nao miaka nenda rudi labda ndo tatizo lako,
kama madoctor hawajui ugonjwa jikite kureseach mwenyewe A To Z ya magonjwa ya tumbo,na kwakuwa wewe ndo mgonjwa utakuwa rahisi kupinpoint tatizo kule mtu mwingine yeyote
Naomba unieleweshe ni ugonjwa gani huo ambao ukiupata haunaga tiba?
 
Kamuone daktari. Huku utaingizwa chaka tu.
Kuna madaktari watatu wananitibu,ni madaktari bingwa kwa hapa Mbeya.ILA NAFUU HAKUNA KABISA.MMOJA AMEKUWA MKWELI KWA KUNIAMBIA INABIDI NIFIKIRIE KWENDA DAR
 
Endoscopy ni kipimo kinacho piga picha tumbo lote kwa ndani.......ili picha ipigwe unamezeshwa kimpira na picha ya tumbo lako unaiona kwenye screen.... Nakama kunatatizo linaonekana Live nawewe unaliona, jitahidi kutafuta hiko kipimo.....!!!!
Nakumbuka nilifanyiwa hiki kipimo Regency Hospital I felt horrible nililia sana that day. Madokta hata hawakwambii kipimo kiko vipi.

Back to topic Mkuu pole sana kwa matatizo yako. Njoo hata Dar ukutane na maspecialist zaidi
 
Ila pamoja na hayo bado hujatoa maelezo yako vizuri ya maumivu ya tumbo ndo maana labda hupati matibabu sahihi. Unaumwa tumbo lipi sehemu ya juu au chini au lote? Je choo chako kikoje? kama umeangaliwa na ct scan na hawajaona hata cancer(tumor) Basi inawezekana ni life style yako mbovu, ningefahamu pia physiology yako ulivyo na namna unavyokula na kunywa, na huwa tumbo lako linauma wakati gani au muda wote...ili usaidiwe lazima diagnosis ya kutosha ifanyike. Ila nakushauri tu epuka sana dawa za hospitali kabla hujajua unaumwa nini yawezekana hizo dawa ndo zikakupa ugonjwa zaidi. na pia umri wako ungefahamika pia...
Mimi tumbo haliumi sana ila kuharisha ni mara kwa mara.MIUNGURUMO TUMBONI NI KAMA NILIVYOELEZA.CHAKULA CHOCHOTE NIKILA TUMBO LINAJAA KAMA PUTO.USHUZI UNAOTOKA HAUNA MFANO.KINYESI HARUFU NI KALI MNOOOO!
 
mbona huyu jamaa anafanana na deogratius kisandu.au Kaja kwa id ingine!!hahahahahahaha duh!
 
Limepimwa "UMUNYU, post: 19986611, member: 412171"]Mimi tumbo haliumi sana ila kuharisha ni mara kwa mara.MIUNGURUMO TUMBONI NI KAMA NILIVYOELEZA.CHAKULA CHOCHOTE NIKILA TUMBO LINAJAA KAMA PUTO.USHUZI UNAOTOKA HAUNA MFANO.KINYESI HARUFU NI KALI MNOOOO![/QUOTE]
Umepima Amoeba
 
Kuna madaktari watatu wananitibu,ni madaktari bingwa kwa hapa Mbeya.ILA NAFUU HAKUNA KABISA.MMOJA AMEKUWA MKWELI KWA KUNIAMBIA INABIDI NIFIKIRIE KWENDA DAR
Ni daktari nani na nani kama hutojali? Maana nina shaka kabisa na hizo dalili zako!!!
 
Nakumbuka nilifanyiwa hiki kipimo Regency Hospital I felt horrible nililia sana that day. Madokta hata hawakwambii kipimo kiko vipi.

Back to topic Mkuu pole sana kwa matatizo yako. Njoo hata Dar ukutane na maspecialist zaidi
Dar kuna access ya vipimo. Lakin si kwamba specialist aliyepo Dar ni bora zaidi ya hao wa mikoani. Wote wanatumia kichwa kilekile cha mambo waliyosomea.
 
Endoscopy kweli ni nzuri niliwahi Fanya kipimo hicho bugando. Jaribu kuchukua kipimo hicho
 
Back
Top Bottom