Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Pia pima ini na Figo Kama viko vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri!Kiufupi Muhimbili kipimo cha OGD nilichoandikiwa kilionyesha nina vidonda tumboni "ILA SIYO VIDONDA VYA TUMBONI" hilo ndiyo jibu la daktari aliyenisomea majibu!!!Sijafafuatilia uzi wako toka mwanzo lakini nina jamaa yangu alikuwa na historia ya gas tumboni,nadhani pia alikuwa na case ya vidonda vya tumbo nahisi na wewe vinavyokusumbua ni hivi vitu.
Yeye alikuwa na 83kg amezipunguza kwa mazoezi last time kuzungumza nae aliniambia ana 62,ameacha kabisa kula chapati maandazi na vifananavyo na hivyo,yeye anakula supu ya samaki asubuhi mchana yote anagusa gusa matunda chungwa ndizi dafu etc alimradi tumbo lisikae bila chochote usiku anakula either wali kidogo au juice ya matunda analala ndiyo ratiba yake ya kila siku na imemsaidia simsikii akilalamika kama zamani.
Nitaomba ruhusa kwake nikutumie namba yake pm kama ataniruhusu umuulize mawili matatu yanaweza yakakusaidia,pole sana kwa changamoto.
Nimepima sana hicho kipimo!Test H. Pylory mkuu , ukikutwa nayo tumia Pylory kit box 2
So vinaweza kuwa vimesababishwa na amoeba au?Asante kwa ushauri!Kiufupi Muhimbili kipimo cha OGD nilichoandikiwa kilionyesha nina vidonda tumboni "ILA SIYO VIDONDA VYA TUMBONI" hilo ndiyo jibu la daktari aliyenisomea majibu!!!
Dakatari aliyenisomea majibu ni bingwa wa magonjwa ya tumbo,nilipomuuliza sababu hasa ya kupata hilo tatizo,naye alinijibu kuwa "hajui!!". Ila akaongeza kusema kuwa " NI KAZI SANA KUTIBU AINA HII YA VIDONDA"!!!So vinaweza kuwa vimesababishwa na amoeba au?
Brother, possibly umepigwa kipapai hapoHali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
Upo tayari kufanyiwa total gastrectomy with esophagojujenostomy mkuuDakatari aliyenisomea majibu ni bingwa wa magonjwa ya tumbo,nilipomuuliza sababu hasa ya kupata hilo tatizo,naye alinijibu kuwa "hajui!!". Ila akaongeza kusema kuwa " NI KAZI SANA KUTIBU AINA HII YA VIDONDA"!!!
Daktari wa kwanza inawezekana aliona cell zako zinaanza kuwa Malignant kwenye biopsy aliyofanya na unavyomkandia sasa (alikuamuru) bladifakenHali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
Shida ya hospital hii ni moja madaktari wanafunzi ni wengi mno. Wale madaktari Bingwa kukutana nao ni mara chache. Ni hili pia lipo hospital nyingi za Rufaa.Mpaka hapa nina attend medical clinic ya hapa rufaa Mbeya.Cha ajabu ni kwa kuwa hadi leo siujui ugonjwa unaonisumbua.
Madaktari wenyewe huwa wanaitana na kujadili hali yangu huishia kubishana tu.Hali ninayoexperience sasa hivi ni kuwa daktari wa leo unamkuta anatofautiana na aliyemtangulia.
Hapa nilipo nimeandikiwa dozi za dawa nikipima hivi vidonge kwenye mzani vinakarikia robo tatu ya kilo!!!