Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

Tafuta dawa ya asili inaitwa Aswat, ila utaharisha sana ila baada ya hapo unapona kabisa.

Nenda kwenye misikiti humo wanzo dawa hizo afu utaleta mrejesho hapa. Ila ukiziendekeza hizo hospitali ujue unakitafuta kifo mapema sana.

Wa Tanzania bwana, kwa ujasiri kabisa ukasema tatizo litaisha karibu sana kana kwamba umempima kabisa! Mnachukuliaga wepesi sana kushauri watu wenye shida!
 
Mpaka hapa nina attend medical clinic ya hapa rufaa Mbeya.Cha ajabu ni kwa kuwa hadi leo siujui ugonjwa unaonisumbua.

Madaktari wenyewe huwa wanaitana na kujadili hali yangu huishia kubishana tu.Hali ninayoexperience sasa hivi ni kuwa daktari wa leo unamkuta anatofautiana na aliyemtangulia.

Hapa nilipo nimeandikiwa dozi za dawa nikipima hivi vidonge kwenye mzani vinakarikia robo tatu ya kilo!!!
Duuh pole sn mkuu, vp hali yako kwa sasa?
 
Hali bado,rufaa Mbeya wanadai huenda nina vidonda vya tumbo.Toka 2017 walinianzishia clinic ya medicine ndipo nahudhuria hadi leo dawa wanazonipa ni nyingi sana kiasi kwamba nimeamua kutozimeza kwa sababu madaktari wenyewe wanapingana.Hali bado ni tete
Vipi hali yako kwa sasa hivi?
 
Wanajf ni siku ya tatu leo toka nifanyiwe ct scan ya tumbo. Ajabu tumbo sasa limebadilika. Linawaka moto.Kiuno sasa kinauma sana. Tumbo linaunguruma sana utafikiri vyura vinafanya mazoezi.

Kelele zinasikika hadi nje ya tumbo. Mgongo una maumivu mpaka leo.Kichwa ndiyo usiseme. Sasa nimekuwa mchovu mno kiasi cha kushindwa kufanya hata yale masuala yetu ya usiku ya baba na mama. Jamani nisaidieni tatizo ni kipimo au ni maradhi yanayonisumbua ambayo bado sijayagundua?

Msaada tafadhari
Rudi kwa daktar wako, mweleze hayo na upewe majibu ya kipimo chako, naamini tatizo lako linatatulika.,,huku kuwa makini na ushauri unaopewa, upo wa kukusaidia, upo pia wa kukuangamiza.
 
Vipi hali yako kwa sasa hivi?
Hali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
 
Rudi kwa daktar wako, mweleze hayo na upewe majibu ya kipimo chako, naamini tatizo lako linatatulika.,,huku kuwa makini na ushauri unaopewa, upo wa kukusaidia, upo pia wa kukuangamiza.
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi
 
Tumbo linanisumbua sana huu mwaka wa 13.Nimetibiwa sana iwe tiba mbadala au tiba hizi za kisasa.

Daktari huyu mpya ndiyo kadai nifanyiwe CT SCAN TUONE KAMA TUMBO LIKO SALAMA AU LILISHAOZA.

Maana hata haja ninazotoa zina harufu kali sana ningekuwa naweza kuipaste hapa hiyo harufu ningeweka ili mnisaidie.Kiufupi tatizo ni tumbo!!!!!
Pole sana aisee
 
Asee kama hospital kubwa zote amna kitu.jeh uli jaribu hadi hospital za private maana wana care kidogo kuliko government
 
Asee kama hospital kubwa zote amna kitu.jeh uli jaribu hadi hospital za private maana wana care kidogo kuliko government
Huko ndiko usiseme!Ndiko nilikoanzia!Nikiri,tofauti na vipimo nilivyofanyiwa hospitali za serikali ambavyo vilikuwa vinaniletea majibu mawili ya ama kuwepo na tatizo ama la huko private kila nilipokwenda walidai Mimi ni mgonjwa tu Mara typhoid, amoeba,kichocho cha tumbo n.k!Nimekula madawa yao kwa miaka mitano mfululizo ndipo nilipoamua kuhamia hospitali za serikali!!
 
Pima H pylori
Huko private hospitals ndiyo kitu waliyokuwa wanadai ninayo!Nimemeza dawa kwa miaka kadhaa mpaka baadhi yao wakaanza kudai kuwa kwa sasa dawa nyingi ni feki ndiyo maana tunatumia hatuponi!!Hospitali za serikali walinipima kipimo kikubwa cha vidonda tumbo wao wanakiita "barium meal" lakini nacho kikaonesha sina shida yoyote
 
Dawa feki sikatai zipo lkn tiba isipoendana na guide line ya tiba huwezi tibika
Wewe ukipenda pima
 
Rudi kule kule walikokufanyia kipimo cha CT Scan! Nadhani hizo ni side effects.
 
Hali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
Mungu akufanyie wepesi upone
 
Mungu akufanyie wepesi upon

Ila madaktari wa Tz Mungu tu atusaidie unamwambiaje mtu ana kansa wakati huna uhakika
 
Nashukuru kwa ushauri!Lakini wale walishindwa wakanipa rufaa kuja Mbeya
Pole sana ndugu yangu,,,unayoyapitia magumu sana tatizo lako ni tofauti na mimi ila njia tunayopitia ya mateso ni moja ipo siku yatatuachilia pia tushukuru hata kwa huu uhai tulionao
 
Pole sana ndugu yangu,,,unayoyapitia magumu sana tatizo lako ni tofauti na mimi ila njia tunayopitia ya mateso ni moja ipo siku yatatuachilia pia tushukuru hata kwa huu uhai tulionao
Mkuu mpaka umefufua huu uzi kuna mazito unapitia pole sana,
Mimi mwenyewe nishafukua uzi zote za vidonda vya tumbo baada ya kupatwa na balaa hili 😑
 
Nawashukuru sana jf kwa mawazo na ushauri wenu.CT SCAN YANGU IMEONYESHA KUTANUKA KWA MISHIPA YANGU YA TUMBO.Dr. KANIAMBIA UGONJWA ULIOSABABISHA HILO BADO HAUJAJULIKANA.NIMEPEWA DAWA ZA KUTUMIA MWEZI MZIMA NDIYO NIRUDI HOSPITAL.

Hello ndugu , pole sana kwa changamoto hiyo !
Mimi kama Tabibu wa dawa asili zenye uwezo wa hali ya juu #1 duniani kutoka Marekani!

Iko hivi :

Hakuna jambo lisilokuwa na sababu , Nature inaeleza kila kitu ,

Katika vipimo vya hospitali haviwezi baini kitu kinachoitwa “Energy imbalance” kwenye Mifumo ,ambapo ndio chanzo cha magonjwa yote yaliyopo duniani

Mfano la huyu ndugu , katika Natural knowledge kupitia watu wa jamhuri ya China [emoji630], mfumo wa Tumbo unajumuisha “Tumbo & Bandama / Stomach & Spleen system, huku mfumo wa Ini & Nyongo ukisaidia Mifumo mingine kufanya Kazi vizuri , maana mfumo wa Ini & Nyongo ndio Hucontrol energy katika mwili wa binadamu hivyo kuwezesha Mifumo mingine kufanya Kazi vizuri !

Sasa mfumo wa Ini & Nyongo unapokuwa na Energy stasis / energy stuck , unaenda kuathiri utendaji Kazi wa Mifumo mingine kama Tumbo , hivyo Tumbo litakosa uwezo wake wa kuchakata chakula na kuwa dhaifu , maumivu mbalimbali ya Tumbo yatatokea kama hivyo ,

Sasa kwa namna hiyo vipimo vya Hospitali haviwezi ona , maana shida hiyo iko connected na Energy imbalance kuzalisha toxin na kusababisha madhara , hiyo hali isipotibiwa inaenda hatua nyingine mbaya , kuweza ku damage Mifumo / internal organs , hapo vipimo vya hospital vitaona lakini mtu atakuwa kwenye hali mbaya sana tayari , na itakuwa ngumu sana kutibu !

Sisi tunachofanya ni kusikiliza mwili unasemaje ( Symptoms) , kile mwili unacholalamikia ndio tatizo lenyewe , kwa hiyo tunaamini kuwa Kipimo sahihi cha magonjwa ni mwili wenyewe / Mind / Spirit

Hakuna kipimo kitakachoweza shindana na Spirit yako / Mind .

TIBA :
Tutahitaji ku detox liver & gallbladder system, kama choo ni kigumu pia

2. Clear hot dampness toxin kwenye Mfumo wa Tumbo

3. Imarisha mfumo wa Tumbo !

Hiyo treatment plan , itaondoa tatizo lako kabisa na mwili utarudi sawa !

Kila plan hapo ina dawa yake asili kuweza kuondosha hiyo shida moja kwa moja !

Dawa zetu tunatuma popote Tanzania na nje ya nchi maana ni International standard!

Tupigie : 0757577995 / 0653048888

www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Back
Top Bottom