Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

Sijafafuatilia uzi wako toka mwanzo lakini nina jamaa yangu alikuwa na historia ya gas tumboni,nadhani pia alikuwa na case ya vidonda vya tumbo nahisi na wewe vinavyokusumbua ni hivi vitu.

Yeye alikuwa na 83kg amezipunguza kwa mazoezi last time kuzungumza nae aliniambia ana 62,ameacha kabisa kula chapati maandazi na vifananavyo na hivyo,yeye anakula supu ya samaki asubuhi mchana yote anagusa gusa matunda chungwa ndizi dafu etc alimradi tumbo lisikae bila chochote usiku anakula either wali kidogo au juice ya matunda analala ndiyo ratiba yake ya kila siku na imemsaidia simsikii akilalamika kama zamani.

Nitaomba ruhusa kwake nikutumie namba yake pm kama ataniruhusu umuulize mawili matatu yanaweza yakakusaidia,pole sana kwa changamoto.
Asante kwa ushauri!Kiufupi Muhimbili kipimo cha OGD nilichoandikiwa kilionyesha nina vidonda tumboni "ILA SIYO VIDONDA VYA TUMBONI" hilo ndiyo jibu la daktari aliyenisomea majibu!!!
 
Asante kwa ushauri!Kiufupi Muhimbili kipimo cha OGD nilichoandikiwa kilionyesha nina vidonda tumboni "ILA SIYO VIDONDA VYA TUMBONI" hilo ndiyo jibu la daktari aliyenisomea majibu!!!
So vinaweza kuwa vimesababishwa na amoeba au?
 
So vinaweza kuwa vimesababishwa na amoeba au?
Dakatari aliyenisomea majibu ni bingwa wa magonjwa ya tumbo,nilipomuuliza sababu hasa ya kupata hilo tatizo,naye alinijibu kuwa "hajui!!". Ila akaongeza kusema kuwa " NI KAZI SANA KUTIBU AINA HII YA VIDONDA"!!!
 
Hali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
Brother, possibly umepigwa kipapai hapo
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Dakatari aliyenisomea majibu ni bingwa wa magonjwa ya tumbo,nilipomuuliza sababu hasa ya kupata hilo tatizo,naye alinijibu kuwa "hajui!!". Ila akaongeza kusema kuwa " NI KAZI SANA KUTIBU AINA HII YA VIDONDA"!!!
Upo tayari kufanyiwa total gastrectomy with esophagojujenostomy mkuu
 
Au unahisi anatania gastrojejunostomy or gastroduedenostomy na complication zake mpaka wanatumia
Heinecke mikulicz pyroloplasty, au jaboulay na finney for drainage procedure unahisi masihara

Utaweza kuendana na postcibal syndrome mkuu au afferent loop syndrome au post vagotomy diarrhea

Anyway tumbo linauma baada ya kula au usipokula

Na choo chako ni cheusi ?

Tumbo linauma juu ya kitovu au kwenye kitovu au upande wa kulia wa tumbo

Una historia ya kunywa maji yasiyochemshwa ?

Au matunda yasiyooshwa ?
Au mgahawa uliokua unakula kama unakula mgahawani ni msafi ?

Group lako la damu je ?
 
Hali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
Daktari wa kwanza inawezekana aliona cell zako zinaanza kuwa Malignant kwenye biopsy aliyofanya na unavyomkandia sasa (alikuamuru) bladifaken
Na vidonda havipo tumboni tu

Tuna duodenal ulcer
Bulbar, post bulbar na vingine ni 3 cm from pyloric channel

Ingawa vidonda type 2 / 3 vina behave kama chronic duodenal ulcers

Anyways mzee wasikilize madaktari wako ukileta ujuaji utakufa

Na nakwambia kweli utakufa sio utani hii maana ikiperforate ni

Peritonitis... Peritonitis ni kisanga wakianza vi op tayari wana ku predispose na IO

Yaani kuwa makini sana na usipende kukandia madaktari

Nb : mimi sio daktari

Ni muuza maandazi hapa chanika ila fuata ushauri wangu
 
Mwaka 2020 niliumwa na tumbo kupitiliza, pain killer niliyokua napewa Ni Ile ya ku spray mdomoni ili angalau nipate usingizi hata masaa mawili.
Kama kawaida nilijisalimisha Mloganzila (the best hospital in the country)

Uzuri wa Mloganzila wakati wa rounds wanakuja mpaka madaktari nane wakiongozwa na mbobezi/professor.
 
Mpaka hapa nina attend medical clinic ya hapa rufaa Mbeya.Cha ajabu ni kwa kuwa hadi leo siujui ugonjwa unaonisumbua.

Madaktari wenyewe huwa wanaitana na kujadili hali yangu huishia kubishana tu.Hali ninayoexperience sasa hivi ni kuwa daktari wa leo unamkuta anatofautiana na aliyemtangulia.

Hapa nilipo nimeandikiwa dozi za dawa nikipima hivi vidonge kwenye mzani vinakarikia robo tatu ya kilo!!!
Shida ya hospital hii ni moja madaktari wanafunzi ni wengi mno. Wale madaktari Bingwa kukutana nao ni mara chache. Ni hili pia lipo hospital nyingi za Rufaa.
 
Back
Top Bottom