Asante sana kwa kunitia moyo!Mko wachache sana kwenye dunia hii mnaotia moyo hasa kunapokuwa na hali ngumu!!!Pole sana ndugu yangu,,,unayoyapitia magumu sana tatizo lako ni tofauti na mimi ila njia tunayopitia ya mateso ni moja ipo siku yatatuachilia pia tushukuru hata kwa huu uhai tulionao
Acha tu ndugu yangu,,,,mungu atufanyie tu wepesi nas tuish kwa furahaMkuu mpaka umefufua huu uzi kuna mazito unapitia pole sana,
Mimi mwenyewe nishafukua uzi zote za vidonda vya tumbo baada ya kupatwa na balaa hili 😑
Umepatwa na nini? Pole sana.Acha tu ndugu yangu,,,,mungu atufanyie tu wepesi nas tuish kwa furaha
Pole mnooo...ni miaka 7 bado unateseka.Hali si nzuri!Siku moja nilimkuta Daktari mmoja hapo Rufaa Mbeya akadai eti Nina kansa ya tumbo!Akaniandikia dawa nyingi kweli na akaniamuru nirejee baada ya mwezi!Niliporudi sikumkuta niliyemkuta akadai majibu niliyopewa kuwa nina kansa si sahihi!!Akaniandikia kipimo cha OGD!Nikaenda kukipimia Muhimbili kwani rufaa mbeya hakipo!Nilipopimwa Muhimbili wakadai tumboni Nina vidonda ila siyo vidonda vya tumbo daktari kaniandikia dawa za kutumia kwa miezi Tisa!Nimejaribu kutumia hizo dawa ila hakuna nafuu yoyote!
Nashukuru sana!Kiufupi katika dunia hii bora uwe na matatizo mengine siyo ya afya!Ndugu zangu asiwadanganye yeyote kuwa mzima wa afya ndiyo kila kitu!!Nimetumia dawa nyingi mno zingine nilikuwa nikizinunua kwa dola za kimarekani!Nikiri hadi hapa nimesalimu amri!Wapo walionishauri kuwa nitumie na tiba asilia nako nimefika!Kwa hao watu wa tiba mbadala nao wamenitibu lakini wapi!Pole mnooo...ni miaka 7 bado unateseka.
Mungu akupe nafuu kama binadamu wanashindwa kusaidia kwa akili zao..
Unaweza kunitajia ratiba yako ya siku ikoje ya chakula unakula nini na mara ngapi ?Nashukuru sana!Kiufupi katika dunia hii bora uwe na matatizo mengine siyo ya afya!Ndugu zangu asiwadanganye yeyote kuwa mzima wa afya ndiyo kila kitu!!Nimetumia dawa nyingi mno zingine nilikuwa nikizinunua kwa dola za kimarekani!Nikiri hadi hapa nimesalimu amri!Wapo walionishauri kuwa nitumie na tiba asilia nako nimefika!Kwa hao watu wa tiba mbadala nao wamenitibu lakini wapi!
Pole sana mkuu...kuna shida mahala...Nashukuru sana!Kiufupi katika dunia hii bora uwe na matatizo mengine siyo ya afya!Ndugu zangu asiwadanganye yeyote kuwa mzima wa afya ndiyo kila kitu!!Nimetumia dawa nyingi mno zingine nilikuwa nikizinunua kwa dola za kimarekani!Nikiri hadi hapa nimesalimu amri!Wapo walionishauri kuwa nitumie na tiba asilia nako nimefika!Kwa hao watu wa tiba mbadala nao wamenitibu lakini wapi!
Chakula ninakula Mara 3!Kiamsha kinywa napendelea viazi au chapati au maandazi na supu ya mboga za majani!Kiuzito nina kilo 70.Mirungi situmii!Kiimani Mimi ni Shahidi wa Yehova!Karibu kama utakuwa na maswali mengine niko tayari kukujibuUnaweza kunitajia ratiba yako ya siku ikoje ya chakula unakula nini na mara ngapi ?
Je wewe ni mtu wa Dini gani ?
Uzito wako ni kilo ngapi ?
Je unatumia mirungi ?
Kwa kuongezea Mimi ni mlaji wa dona,maharage,mchele n.k.Sinywi soda wala pombe kwani kwa upande wa vinywaji Mimi huwa natumia maji tu!Unaweza kunitajia ratiba yako ya siku ikoje ya chakula unakula nini na mara ngapi ?
Je wewe ni mtu wa Dini gani ?
Uzito wako ni kilo ngapi ?
Je unatumia mirungi ?
Hicho kipimo mm mwenyewe niliandikiwaga Hindu mandal nilipopewa ABC na wasamaria wema niliteleza sikwwnda tena kufanyiwa hicho kipimo.Kipimo hiki binafsi niliwahi kuandikiwa ila kuna daktar mmoja akanishauri nisifanye coz kitaniongezea matatizo hasa kuumizwa kuta za tumbo niliogopa sana
Mkuu unabvidonda vya tumbo wala usijipe matatizo na hayo mavipimo makubwa makubwa tafuta dawa za kienyeji unyweWanajf ni siku ya tatu leo toka nifanyiwe ct scan ya tumbo. Ajabu tumbo sasa limebadilika. Linawaka moto.Kiuno sasa kinauma sana. Tumbo linaunguruma sana utafikiri vyura vinafanya mazoezi.
Kelele zinasikika hadi nje ya tumbo. Mgongo una maumivu mpaka leo.Kichwa ndiyo usiseme. Sasa nimekuwa mchovu mno kiasi cha kushindwa kufanya hata yale masuala yetu ya usiku ya baba na mama. Jamani nisaidieni tatizo ni kipimo au ni maradhi yanayonisumbua ambayo bado sijayagundua?
Msaada tafadhari
Hiyo ni ultrasound kawaida unakunywa ule uji unaenda kushika sehem palipo na kidonda wakipiga picha unaonekanaNaomba unieleweshe hicho kipimo kinakuwaje maana nimeshafanyiwa vingi mpaka ninavichanganya!Ila kuna kuna kipimo ninakumbuka dawa ilichanganywa na maji.Ikawekwa kwenye tubes fulani ikaingizwa tumboni mwangu kupitia haja kubwa picha ikachukuliwa.
Mm nilitakaga kupoteza fahami nikiwa ndani ya MRI aisee nilikuwa nimevaa mkanda ss nafanyiwa MRI ya kichwa kumuuliza daktari vp nitoe mkanda akasema achana nao ile nimeingizwa machine kuwashwa naona suruali inavutwA mpaka inataka kufika shingoni na hapo niliambiwa nifumbe macho aisee nilifumbua baada ya mambo kuwa mazito.Nakumbuka nilifanyiwa hiki kipimo Regency Hospital I felt horrible nililia sana that day. Madokta hata hawakwambii kipimo kiko vipi.
Back to topic Mkuu pole sana kwa matatizo yako. Njoo hata Dar ukutane na maspecialist zaidi
Kivipi suruali ifike shingoniMm nilitakaga kupoteza fahami nikiwa ndani ya MRI aisee nilikuwa nimevaa mkanda ss nafanyiwa MRI ya kichwa kumuuliza daktari vp nitoe mkanda akasema achana nao ile nimeingizwa machine kuwashwa naona suruali inavutwA mpaka inataka kufika shingoni na hapo niliambiwa nifumbe macho aisee nilifumbua baada ya mambo kuwa mazito.
Sijafafuatilia uzi wako toka mwanzo lakini nina jamaa yangu alikuwa na historia ya gas tumboni,nadhani pia alikuwa na case ya vidonda vya tumbo nahisi na wewe vinavyokusumbua ni hivi vitu.Chakula ninakula Mara 3!Kiamsha kinywa napendelea viazi au chapati au maandazi na supu ya mboga za majani!Kiuzito nina kilo 70.Mirungi situmii!Kiimani Mimi ni Shahidi wa Yehova!Karibu kama utakuwa na maswali mengine niko tayari kukujibu