Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

Mkuu UMUNYU , vipi maendeleo yako kiafya? Ulishapona?
Hapana!!!Mara ya mwisho madaktari walipendekeza nifanyiwe kipimo cha OGD,mbacho kiliingizwa tumboni ambapo walibaini uwepo wa 'vidonda" ila siyo "vidonda vya tumbo".Waliniandikia dozi za vidonda vingi sana ambavyo havijaleta unafuu wowote!Kwa sasa nimeanza tiba asilia na tiba lishe
 
Pole sana aisee...Mungu atakuponya
 
Back
Top Bottom