Baada ya kufatilia kwa muda mrefu nimegundua Waandishi wa Habari wa Kitaifa na Kimataifa wanajisikia furaha wakimhoji/kuzungumza na Tundu Lissu

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Nimefatilia sana nikaona Saikolojia ya Waandishi wa Habari yaani vile wanavyojisikia pindi wawapo na mazingumzo au mahojiano na Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu Antiphas Lissu.

Wanaonekana ni watu wenye furaha, wanajisikia huru na wacheshi wanapokuwa pamoja.

Kwenye vyombo vingi vya hapa Tanzania kama Itv, Star Tv, Clouds media hata Wasadi Media. Nimeona pia Hata Crown Fm hata Azam media.

Tukija kwenye hizi Freelancer kama Mwanahalisi media, Jambo Media, Global Tv Online, Wafafi Online na hata Chadema online Tv.

Huu utaratibu wakuita Waandishi na kuwakaribisha Nyumbani kwake unaleta raha na vionjo tofauti.

Ni Kama Mwl JK Nyerere amerudi kupitia roho na nafsu ya Lissu. John The Babptist atathibitisha hili. Linaleta utamu.

Moja ya mambo yanayovutia mtu kumsikiliza na kumhoji na pia ukajisikia huru kama mwandishi wa habari ni kati ya yafuatayo. Sifa hizi za Msemaji( anayehojiwa) zinaleta mvuto.

1. Utilivu wa mzungumzaji
2. Uhalisia wa mzungumzaji, halazikiki kubadilisha sauti yake au tone yake ili iwe kama ya R* Kelly
3. Ukweli wa jambo analoongelea na uhalisia wake kwa wasikilizaji, hapa hujikuta hata zile taarifa nyeti zibaruhusiwa kurushwa kwani ni mtambuka kwa Taifa na wananchi.

4. Mjuzi wa mambo mengi- multitarented

5. Mcheshi na utani kidogo
6. Kujiamini
7. Kukubali pasipokukubaliana
8. Kwenda Moja kwa moja kwenye point. Straight and Direct to point.
9. Majibu ya mkato na yenye kueleweka kwa uraisi.

Hata vyombo vya Kimataifa pia vinaonja Utamu wa mazungumzo na Tundu Lissu kama BBC, DW. Feance International, VOA
 
Pitia media hostage za Lissu utagundua ninalosema
 
Back
Top Bottom