Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Brittanica huyo kijana atakuwa anasomea mambo ya hali ya hewa nadhan namfahamu huyo kijana anafanya kaz airport moja wapo kanda ya ziwa
Hafu mtu kwa maslahi ya kuwa na ukibaraka wake wa taasisi fulani anakurupuka tu eti hayupo?? Kwa taarifa yake mwambie huyo jamaa namjua mpaka kwao hapa tz na huko nimeonana mara nyingi sana japo mimi alikuwa hajui kama ni kama yeye na hata mimi nilimjua nikamkaushia tuu
 
dr shika sio mtu wa mchezomchezo kwa kesi ya kutaka kutapeli nani alishaambiwa ajidhamini
Mniambie tuu kwa kesi yoyote ni watanzania wangapi walifanikiwa kujidhamini?? Embu fuatilia abavyoongea na wandishi wa habari na anavyowamudu. Pili fuatilia uzooefu wake wa kamela machoni utagundua huyu jamaa ni level nyingine.


Usijashangaa serikali ikapiga marufuku midahalo yoote inayomuhusu huyu Dr.
 
Umeuliza hili swali kwa mshangao mkubwa uliochanganyika na unyonge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahah, nimetamani na mie niwe huko nipumzike hii minyoo na taifodi za hapa nyumbani Tanzania
 
Watu wepesi sana kudanganyika...ndyo maana hata babu wa loliondo aliwapiga.....
 
You never know huenda on the other side the gvt has all story about the man which may probably not concur with his and that's why they ignore him
 
Kwani huo u spy wake alikuwa anafanya kwa interest ya Tanzania tuliza ubongo usome tena basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…