Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Shukrani kwa taarifa muhimu
 
Sijaona mantic ya ninyi kubishana... Mmoja katoa maelezo na mwingine anakazana kupinga akisisitiza 'hujui mimi ni nani'... Kama unaamini una right info, share. Haikupunguzii chochote.
powa powa
 
mi ni mjanga , sigusi wanawake wao, nawagusa kwa kuiba, sigusi hela yao na hawajui hela yangu basi, na sichangii mjadala wa kisiasa au melngo wa ubepari na ujamaa , niko kimya
Britanicca nami nataka kuja huko mkuu, naomba muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…