Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

By Britanicca,
Baada ya kaka yangu Falzliddin kurbashnov kuajiriwa pale kama mweka hazina msaidizi alisingiziwa kesi akafungwa miaka 20 jela kwa kosa la ugaidi, na kusaidia maspy wa nje,
alifuatwa kazini tulipouliza majirani walisema wameskia akisema kama amekabwa na watu akitamka
“I’m not a terrorist. I’ve never been one,” mbaya zaidi marekani iliweka shinikizo kumfunga jela za kwao kwamba kuna mambo wanayataka toka kwake, ilileta mzozo kidogo lakin baadae wakawekeana masharti na Rusia, urusi nayo ilisema wanamtaka, lakini marekani wakampeleka kwa kubadirishana wafungwa,....

Britannica,
Maelezo yako hapo juu yanafanana na kesi ya hii hapa chini ambapo huyo Falzliddin Kurbashnov alikuwa mkimbizi Marekani na baadaye kufunga kwa ugaidi Marekani. Ni suala baya sana kuandika masuala mazito kumhusisha Dr. Shika na watu hawa (kina Falzliddin Kurbashnov) bila kuonesha ushahidi wa waziwazi hapa mtandaoni

Fact check: U.S. refugees, immigrants and terrorism | McClatchy ...

7 Feb 2017 - Only one involved a refugee: Fazliddin Kurbanov, an Uzbekistan national who was admitted to the U.S. in August 2009 and resettled in Boise,
Only one involved a refugee: Fazliddin Kurbanov, an Uzbekistan national who was admitted to the U.S. in August 2009 and resettled in Boise, was arrested by federal agents at his Boise apartment on May 16, 2013, on terrorism charges after being indicted by Idaho and Utah grand juries.

The Idaho jury indicted him on charges of conspiracy, possession of an unregistered destructive device and providing support to terrorists. The Utah jury indicted him on charges of providing instruction on the construction and use of an improvised explosive device.

Prosecutors said Kurbanov, a Russian-speaking truck driver, worked to support an Uzbek terrorist organization and gathered explosive materials in his Boise apartment.

Following a 20-day trial and two days of deliberations, a federal jury in Boise found Kurbanov guilty on three charges: conspiracy, possession of an unregistered destructive device and providing support to terrorists. U.S. District Judge Edward

Read more here: Are refugees a source of terrorism or crime? A fact check of ongoing fears and rumors
...
 
Huna lolote wewe, uongo tu umekujaa. Ni Luhkovitsky na sio Lhukovitsky ambako hilo jengo la Distantsiya Guest house lilipo.
Mkuu watu humu wanaenjoy kupigwa kamba, hakuna kitu chochote ambacho kimeandikwa humu chenye reference hata moja mtandaoni zaidi ya kale ka web ka lancefort ambako hata hakajalipiwa.
Ukiwauliza wanakwambia ilikuwa mambo ya siri sijui ongelea yote lakini siyo shika ukiwa urussi.
Yani unaweza dhania kuwa shika ndiye aliyewahi kufanya uspy au mission kubwa na ya siri kuliko zote duniani kiasi kwamba huwezi kupata andishi lake mtandaoni.
Wakati kuna watu walikuwa maspy na mission zao zikabuma ukigoogle utakutana na taarifa zao za uspy au na taarifa za kukamatwa kwao kuhusu masuala flani.
Ila kwa shika eti ni rahisi kupata details za mambo ya North Korea na refefrences mbalimbali lakini siyo shika na washirika wake.
Hizi mtu ukisoma tu unajua kabisa ni story hata flow yake inaonyesha kuwa ni story.
Hebu endelea kuuweka ukweli kila mara watu labda watakuelewa
 
Mkuu watu humu wanaenjoy kupigwa kamba, hakuna kitu chochote ambacho kimeandikwa humu chenye reference hata moja mtandaoni zaidi ya kale ka web ka lancedort ambako hata hakajalipiwa.
Ukiwauliza wanakwambia ilikuwa mambo ya siri sijui ongelea yote lakini siyo shika ukiwa urussi.
Yani unaweza dhania kuwa shika ndiye aliyewahi kufanya uspy au mission kubwa na ya siri kuliko zote duniani kiasi kwamba huwezi kupata andishi lake mtandaoni.
Wakati kuna watu walikuwa maspy na mission zao zikabuma ukigoogle utakutana na taarifa zao za uspy au na taarifa za kukamatwa kwao kuhusu masuala flani.
Ila kwa shika eti ni rahisi kupata details za mambo ya North Korea na refefrences mbalimbali lakini siyo shika na washirika wake.
Hizi mtu ukisoma tu unajua kabisa ni story hata flow yake inaonyesha kuwa ni story.
Hebu endelea kuuweka ukweli kila mara watu labda watakuelewa
Naona mmealikana kuja kuharibu uzi wa mwenzenu, anzisheni wenu mtaeleweka!
 
Britannica,
Maelezo yako hapo juu yanafanana na kesi ya hii hapa chini ambapo huyo Falzliddin Kurbashnov alikuwa mkimbizi Marekani na baadaye kufunga kwa ugaidi Marekani. Ni suala baya sana kuandika masuala mazito kumhusisha Dr. Shika na watu hawa (kina Falzliddin Kurbashnov) bila kuonesha ushahidi wa waziwazi hapa mtandaoni

Fact check: U.S. refugees, immigrants and terrorism | McClatchy ...

7 Feb 2017 - Only one involved a refugee: Fazliddin Kurbanov, an Uzbekistan national who was admitted to the U.S. in August 2009 and resettled in Boise,
Only one involved a refugee: Fazliddin Kurbanov, an Uzbekistan national who was admitted to the U.S. in August 2009 and resettled in Boise, was arrested by federal agents at his Boise apartment on May 16, 2013, on terrorism charges after being indicted by Idaho and Utah grand juries.

The Idaho jury indicted him on charges of conspiracy, possession of an unregistered destructive device and providing support to terrorists. The Utah jury indicted him on charges of providing instruction on the construction and use of an improvised explosive device.

Prosecutors said Kurbanov, a Russian-speaking truck driver, worked to support an Uzbek terrorist organization and gathered explosive materials in his Boise apartment.

Following a 20-day trial and two days of deliberations, a federal jury in Boise found Kurbanov guilty on three charges: conspiracy, possession of an unregistered destructive device and providing support to terrorists. U.S. District Judge Edward

Read more here: Are refugees a source of terrorism or crime? A fact check of ongoing fears and rumors
...
mkuu angalia majina uliyotaja na yaliyoandikwa
 
kurbashnov Max Ni Kijana mwenye Umri wa miaka 34, ambaye ni mdogo wa Bwana Falz kurbashnov ambao wote walikuwa wameshaanza kujitambua mwaka 2001 na kujua kilichoendelea baina ya baba yao na Dr Luis Shika mwanafunzi aliyetokea Africa Akitaka kuwekeza wakati akisoma, nimekutana naye baada ya kuuliza ni kina nani walikuwa na hisa katika kampuni ya Lanceford na kupelekwa moja kwa moja kwa kijana ambaye baba yake alikuwa na hisa,
ambaye kanipa mkasa mzima ulivyoenda mpaka familia yake kuhusika kwenye Biashara hiyo na kuingia matatizoni, aeleza uhusiano wa Shika na kikosi cha marekani,
Anaanza
"Mara ya mwanzo walikutana na Baba yetu bwana Kurbashnov katika mgahawa unaoitwa Istoriya unaopatikana,Verkhnyaya Krasnoselskaya ulitsa, Krasnoselsky, 107140 Moscow,

''Baba yetu alipenda sana uwekezaji hasa kujificha nyuma ya wawekezaji kutoka nje ya Urrusi ni jambo ambalo lilimfanya kila anapokutana na mtu anayeonekana kutoka nje ya Rusia lazima amuulize juu ya Fursa za kufanya au kuwekeza kwa kutumia jina la mgeni, maana kwa kipindi kile kulikuwa ni vigumu kuanzisha biashara kwenye sera za kikomunist na ukiangalia ndipo tulikuwa tuna mda mchache tumejitenga katika USSR hivo nchi nyingi zilizojitoa mfano uzerbakistan tunapotokea sisi walikuwa na ushirikiano na Slovenia, na macedonia, ziliona kama zimekosa soko la uwekezaji na wakitaka kurudi hapa walichajiwa hela nyingi kwa kuwakomoa, ndiyo maana warusi wengi waliona ni bora kuwekeza kwa kutumia majina ya wageni ila kwa makubaliano maalumu,''
alielezea bwana kurbashnov Max
anaendelea
"Baba yeye ni mbobezi wa masuala ya finance aliyosoma chuo kikuu cha moscow university touro kwahiyo alihisi ni vema kupata mwekezaji ambaye ni mtaalamu wa upande wa finance pia, ila kwa bahati Mbaya Dr shika alionekana kutaka kuwekeza zaidi kwenye chemical na mbolea suala ambalo baba hakulipenda maana watu wa kilimo walipata moja kwa moja msaada toka serikalin hivyo ilikuwa ni ngumu kupata wateja." anaeleza

anaendelea
"Baada ya Dr shika kuonekana ana hela kulingana na maelezo ya mzee Shika alikuwa na Russian ruble 2,900,000 ambayo ni sawa na dollars 50,000 za marekani kwa kipindi hicho ambayo ingetosha mtaji mzee wangu akaona ni fursa wangeweza kuchanganya na kupata mtaji mkubwa na hiyo ndo ilikuwa njia iliyomshawish baba yangu kuwekeza kwa kampuni ya mbolea ila aliweka asilimia 25 tu kama jaribio na Dr Shika akaweka 75,"
Baada ya miez kadhaa wakafungua kampuni kwa jina Lancerford ambayo ilikuwa maarufu kwa sababu iliendeshwa na mtu mweusi maana ilikuwa vigumu kupata mweusi anamiliki kampuni wengi wao walikuwa mawazo yao ni kuajiriwa kwenye migahawa kama waiters na kusafisha kama celaners au hotel attendant hata kama ana masters, maana kutokana na ubaguzi wa rangi ilikuwa vigumu kupata kazi za juu"

Kaka yangu Falz kurbashnov akaanza kupata msuko suko kutoka kwa watu wa usalama wakihisi kwamba anatumika na watu wa nje na anapanga mashambulizi ya kigaidi Kutokana na habari hizo kusambaa baba familia nzima ilianza kuyumbbishwa hata miradi yetu ikafungwa na baba mdogo akafungwa jela miaka 10 , baba yangu akakimbia nchi , akabaki Mr shika tu kwenye kampuni ile,

Mama yangu alijuana na afisa mmoja na akataka kufuatilia stahiki za mme wake yaan mzee wetu, lakin afisa mmoja ambaye alimwambia kwamba kuna vijana wameajiriwa katika kampuni ya Lanceford kama maspy wa KGB kujua ni nani hasa mmiliki na amepata wapi hela,mmoja ni muhasibu na mwingine ni wa security,

Baada ya kaka yangu Falz kurbashnov kuajiriwa pale kama mweka hazina msaidizi alisingiziwa kesi akafungwa miaka 20 jela kwa kosa la ugaidi, na kusaidia maspy wa nje,
alifuatwa kazini tulipouliza majirani walisema wameskia akisema kama amekabwa na watu akitamka
“I’m not a terrorist. I’ve never been one,” mbaya zaidi marekani iliweka shinikizo kumfunga jela za kwao kwamba kuna mambo wanayataka toka kwake, ilileta mzozo kidogo lakin baadae wakawekeana masharti na Rusia, urusi nayo ilisema wanamtaka, lakini marekani wakampeleka kwa kubadirishana wafungwa,

siku wametekeleza ilo tukio ndipo tukaogopa kusogelea maeneo yale kabisa na baadae kuona ofisi imefungwa Tiyari na hatukumuona Tena Dk shika na tulidhani amekufa maana tumepoteza mawasiliano yake,"

Maeneo ambayo Dr shika alipenda kuyatembelea sana ni pamoja na pirogoviskiy ,Pushkino na nikorina gola uko ndipo walipokuwa wamarekani weusi ambao walikuwa marafiki zake na wengi walikuwa command force ya USA kikosi 32 ambacho ni kikosi cha ushirikiano na russia kwa wakati uo,

hayo ndo maelezo ya kurbashnov Max ambaye anaonekana kwenye picha chini

183959_190614917637048_3326971_n.jpg

Nimefanikiwa kufika maeneo yote ya matukio kwanza nimefika eneo ambalo kulikuwa na office ile bameshabomolewa na kujengwa nyumba nyinginezo
pili
Eneo ambalo limesemekana alitekwa nimefika lhukovisty nje ya mji wa moscow na kupaona ila liyetuonesha hakusema ndipo alipata mateso dr shika ila ametueleza tukio lililotokea maeneo hayo na muafrica aliyelipotiwa kuwa billionea aliyetekwa na kuwekwa hapo tukaoanisha picha na kuconect dot

picha yake ni hii
99820967.jpg

Nyumba inasemekana ni ile ile ila imefanyiwa marekebisho mara kadhaa

imeadaliwa na Britanicca

acknowledgement muhimu unapokopi plz

Itaendelea baadae na nitasimulia nani alimtorosha na alitumia mbinu zipi, nani anashikiria hela yake na kwanini anaambiwa ailipie bima,
Ninakutana na muhusika kesho Jumatatu asubuhi njema
 
Back
Top Bottom