zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
nilicho furahi bado kuna watu wachache wana akili timamu humu, ila wengi ni watu wa kuitikia tu ndiooo na akili ya kusahau wamesoma nini dk 3 nyuma.
mtoa bandiko anakwambia jamaa hawezi kukupa habari za dr. shika ni siri mno hapo hapo anasema ye kaonana nae kampa. (imekuwa tena sio ngumu tena kwa wiki chache tu.
amefika na kuonana na wahusika ila picha anaenda okota za mitandaoni aaaaaaaahhh mkuu kuwa siriasi basi.
hizi ni stori za kwenye kahawa tu hazina ukweli wowote