Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Acha upuuzi nawewe anzisha uzi wako ueleze unachokijua acha kutuchanganya
Jamaa ni lipumbavu sana Russia linaona jehanam, hapa tunapeana story ya dk shika km una ya kwako share,sio kutukata stimu
 
Jamaa ni lipumbavu sana Russia linaona jehanam, hapa tunapeana story ya dk shika km una ya kwako share,sio kutukata stimu
hahaaa watanzania wabishi unaweza mwambia mi mzaliwa wa kigoma akabisha akasema mbona una pua kama watu wa tanga, hapana we ni wa tanga haa
 
Lengo sikuharibu uzi, ila ni kuonyesha tatizo...
Soon nitakuwekea reference kuanzia picha alizotumia mfano hiyo picha za ya huyo anayedai ni max nitakuwekea alipoitoa.
Amedai kafika eneo iliko hiyo nyumba Lukhovitsy japo yeye hata spelling kakosea ila hata kupiga picha hakupiga kaenda kuchukua picha toka mtandaoni ndiyo kawawekea.
Na hiyo ni guest house inaitwa Distantsiya iko hapo Lukhovitsy.
Na hakuna mtu anaitwa Falz kurbashnov hata utafute google hakuna mtu yoyote aliyewahi tuhumiwa ugaidi kwa hilo jina bali kuna Fazliddin Kurbanov ndiye mwenye scandal ambayo walau inataka kufanana na hii kitu.
Sasa jiulize kwanini hizi story za hawa watu haya majima hayana reference yoyote ina maana stories zao ndizo za siri sana kiasi kwamba huwezi pata redfrence kokote?
Hakuna tukio lolote la kigaidi au gaidi yoyote utakayemskia ukamtafuta mtandaoni usipate habari zake kasoro majina ya huyu mleta mada.
Any way enjoy the story.
Kumbuka siyo kwamba naharibu story ila hii ni forum na forum ni sehemu ambayo people debate na ku debate ni kutofautiana mawazo.
Kwani mleta mada.
Amesema huyo jamaa ni gaidi?
Au Mimi ndo sielewi?
 
Hahahaha nimecheka kweli, si anaenda kutafuta hela kwani Russia hakuna hela ile yote si ulaya mkuu ???
 
yes dola moja ni 59.6 russian rubles mpaka now lazima return ifike 20 bils
Si mlisema kampuni haifanyi kazi sahizi?
Hiyo hela alitengeneza kwa kipindi gani?
Kwahiyo nawe diaspora unatuaminisha kuwa kwa kulipa dola 100 ndo kutafanya Mzee atumiwe hizo bilioni zake 20?
 
Urusi sio taifa la kwenda kuishi hasa sisi waafrika,lakini hata baadhi ya westerners hawapendi kwenda kuishi au kuwekeza kule kwani ni watu vigeugeu sana na hasa wakishakushuku una mahusiano na secret services za magharibi..
 
Hii series inanikumbusha ile tamthiliya ya The Bolday And The Beautiful.

Mimi hii story kwa kweli imenifungua mambo mengi i.e kuna family friend mmoja alienda urusi kkusoma zaidi ya miaka nane baadaye akaenda America kufanya kazi takribani miaka mitano kisha akaamua kurudi nyumbani kuoa. Baada ya process za ndoa kuisha akafanya process arudi America loooh wakampiga ban ya kutokurudi tena America sasa hivi yupo nchi za ulaya na Asia...kuingia America imekuwa marufuku.

Nimeelewa uhasama wa haya mataifa mawili ni mkubwa mno kiasi kwamba kama umesoma katika taifa mojawapo kati ya haya mawili na wakawa hawakuelewi lazima wakunyooshe.

Najiuliza kwanini Mwl aliwaruhusu mataifa haya kuchukuwa vijana wake pure na kwenda kuyatumikia mataifa haya ilihali sisi kuachiwa kina sie tunaojipiga vifua eti tumelitoa mbali taifa hili....
 
Mbishiii.ongea naye kirusi ila ukimuuliza mambo ya shika hatakujibu ni secret na hatoi habari ovyo ovyo
Usitoe kiki, wengine wagonjwa wa akili wameokota simu wakaingia kwa bahati mbaya humu! Km vp mpotezee, wadau tushamstukia...
 
yes ipo urusi hapa na ninaogopa ku associate nao kwa mwanzo

Bro naomba kuuliza. Pamoja na kuwa na shahuku kujua kuhusu Dr Shika na maisha yake alipokuwa Urusi. Dhumuni lako hasa la kufukua makaburi ni lipi?
Je unataka kuaminisha kuwa shirika la ujasusi Tanzania hatujui hilo?
 
Back
Top Bottom