Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

nilicho furahi bado kuna watu wachache wana akili timamu humu, ila wengi ni watu wa kuitikia tu ndiooo na akili ya kusahau wamesoma nini dk 3 nyuma.

mtoa bandiko anakwambia jamaa hawezi kukupa habari za dr. shika ni siri mno hapo hapo anasema ye kaonana nae kampa. (imekuwa tena sio ngumu tena kwa wiki chache tu.

amefika na kuonana na wahusika ila picha anaenda okota za mitandaoni aaaaaaaahhh mkuu kuwa siriasi basi.

hizi ni stori za kwenye kahawa tu hazina ukweli wowote
 
Lengo sikuharibu uzi, ila ni kuonyesha tatizo...
Soon nitakuwekea reference kuanzia picha alizotumia mfano hiyo picha za ya huyo anayedai ni max nitakuwekea alipoitoa.
Amedai kafika eneo iliko hiyo nyumba Lukhovitsy japo yeye hata spelling kakosea ila hata kupiga picha hakupiga kaenda kuchukua picha toka mtandaoni ndiyo kawawekea.
Na hiyo ni guest house inaitwa Distantsiya iko hapo Lukhovitsy.
Na hakuna mtu anaitwa Falz kurbashnov hata utafute google hakuna mtu yoyote aliyewahi tuhumiwa ugaidi kwa hilo jina bali kuna Fazliddin Kurbanov ndiye mwenye scandal ambayo walau inataka kufanana na hii kitu.
Sasa jiulize kwanini hizi story za hawa watu haya majima hayana reference yoyote ina maana stories zao ndizo za siri sana kiasi kwamba huwezi pata redfrence kokote?
Hakuna tukio lolote la kigaidi au gaidi yoyote utakayemskia ukamtafuta mtandaoni usipate habari zake kasoro majina ya huyu mleta mada.
Any way enjoy the story.
Kumbuka siyo kwamba naharibu story ila hii ni forum na forum ni sehemu ambayo people debate na ku debate ni kutofautiana mawazo.
Kuna tatizo kubwa kwenye jamii hasa wewe Elmagnifico unaongelea spelling error za maneno badala ya kujibu hoja amekwambia mleta thread ni mzaliwa wa urusi, Mbona sisi wengine tumezaliwa huko lakini lugha za huko tunakosea sana sana kimaandishi tena ambao wamesoma tu lugha wapo vizuri kuliko sisi tuliozaliwa sehemu husika

Andikeni uzi wenu jibuni kwa facts, Kwani picha za magufuli kwenye magazeti ni lazima iwe imepigwa siku hiyo?

Naweza tumia picha ya Jk Jeshini kumuelezea yeye kwa mambo ya sasa sio lazima nikamtafute msoga nimpige picha

Mnaandika takataka hapa Jf za kumpinga Britanicca bila hoja, Toeni hoja kwa facts sio kuleta story za takataka hapa, Kama mpo urusi basi mna matatizo vichwani ni wakati muafaka wa kuzuia watu msiende huko
 
umejibu vyema mkuu, damn
 
Mkuu watu humu wanaenjoy kupigwa kamba, hakuna kitu chochote ambacho kimeandikwa humu chenye reference hata moja mtandaoni zaidi ya kale ka web ka lancedort ambako hata hakajalipiwa.
Ukiwauliza wanakwambia ilikuwa mambo ya siri sijui ongelea yote lakini siyo shika ukiwa urussi.
Yani unaweza dhania kuwa shika ndiye aliyewahi kufanya uspy au mission kubwa na ya siri kuliko zote duniani kiasi kwamba huwezi kupata andishi lake mtandaoni.
Wakati kuna watu walikuwa maspy na mission zao zikabuma ukigoogle utakutana na taarifa zao za uspy au na taarifa za kukamatwa kwao kuhusu masuala flani.
Ila kwa shika eti ni rahisi kupata details za mambo ya North Korea na refefrences mbalimbali lakini siyo shika na washirika wake.
Hizi mtu ukisoma tu unajua kabisa ni story hata flow yake inaonyesha kuwa ni story.
Hebu endelea kuuweka ukweli kila mara watu labda watakuelewa
Hizi ni kamba kabisa sema watu walishajiwekea kichwani matheory yao kuhusu dr shika so ukiwahadithia kitu kuhusu sijui CIA basi watakuamini. But mleta uzi anajitahidi kuendeleza story ya mr.shika ili iendelee kutrend na watu kuiongelea so inambidi aweke na uongo kidogo ndio maana hakuna cha source wala nini bali soga lake alilopiga na huyo sijui Max.....
Turudi kujadili mambo ya kitaifa.....tuachane na hizi.porojo za kutengeneza za dr shika
Dr shika=Babu wa Loliondo
 
Daah..., bila shaka uchunguzi huu umekugharimu muda na pesa nyingi sana, thanks bro!
 
Kuna tatizo kubwa kwenye jamii hasa wewe Elmagnifico unaongelea spelling error za maneno badala ya kujibu hoja amekwambia mleta thread ni mzaliwa wa urusi, Mbona sisi wengine tumezaliwa huko lakini lugha za huko tunakosea sana sana kimaandishi tena ambao wamesoma tu lugha wapo vizuri kuliko sisi tuliozaliwa sehemu husika

Andikeni uzi wenu jibuni kwa facts, Kwani picha za magufuli kwenye magazeti ni lazima iwe imepigwa siku hiyo?

Naweza tumia picha ya Jk Jeshini kumuelezea yeye kwa mambo ya sasa sio lazima nikamtafute msoga nimpige picha

Mnaandika takataka hapa Jf za kumpinga Britanicca bila hoja, Toeni hoja kwa facts sio kuleta story za takataka hapa, Kama mpo urusi basi mna matatizo vichwani ni wakati muafaka wa kuzuia watu msiende huko
Hoja ya spelling haikuwa hoja kubwa ila niliwambia kuwa hata spelling kaikosea japo amesharekebisha.
Pili hoja kubwa ni picha aliyotumia siyo ya max au waoan hiyo siyo hoja ni picha ya mtu mwingine kabisa.
Tatu Falz Kurbashnov hakuna mtu mwenye jina kama hilo ambaye aliwahi kuwa gaidi. Nimeuliza hivi kuna mtu gani ambaye aliwahi kushitakiwa kwa ugaidi ukose details zake mtandaoni? Hata yule mtz wa zenj ukigoogle utapata details zake lakini siyo huyo wa mtoa mada. Au hiyo siyo hoja.
Nne, yani ufunge safari kufanya research uende mpaka ufike eneo la tukio hata kupiga picha yako mwenyewe ushindwe uishie kuchukua picha mtandao utuwekee? Sasa lengo la kufika hapo lilikuwa nini? (Kwangu haimake sense)
Mwisho narudia tena kukwambia kuwa hii inaitwa jamiiforums, maana ya forum ni sehemu ambapo watu wanadebate kuhusu hoja mbalimbali.
Debate haijawahi kuwa na mawazo yanafanana kuna watakaounga mkono na kuna watakaopinga ndiyo maana ya forum.
So usikasirike na kuhisi labda kupinga ni dhambi as long as jambo limewekwa kwenye forum tegemea hilo jambo kutokea.
 
Kwenye clip ya Dr niliyosikia namna aliyotekwa kuna mahali amekatwa vidole vitatu Na amevunjwa mbavu tano..lakini aliweza kutembea km nyinyi tu..Na walipomrudisha kijijini akapewa Gari la kumpeleka hospital alishindwa kukaa sababu ya miguu kuchoka akalala..sijui alilalia upande wa mbavu mbili zilizovunjika au tatu..
 
Hoja ya spelling haikuwa hoja kubwa ila niliwambia kuwa hata spelling kaikosea japo amesharekebisha.
Pili hoja kubwa ni picha aliyotumia siyo ya max au waoan hiyo siyo hoja ni picha ya mtu mwingine kabisa.
Tatu Falz Kurbashnov hakuna mtu mwenye jina kama hilo ambaye aliwahi kuwa gaidi. Nimeuliza hivi kuna mtu gani ambaye aliwahi kushitakiwa kwa ugaidi ukose details zake mtandaoni? Hata yule mtz wa zenj ukigoogle utapata details zake lakini siyo huyo wa mtoa mada. Au hiyo siyo hoja.
Nne, yani ufunge safari kufanya research uende mpaka ufike eneo la tukio hata kupiga picha yako mwenyewe ushindwe uishie kuchukua picha mtandao utuwekee? Sasa lengo la kufika hapo lilikuwa nini? (Kwangu haimake sense)
Mwisho narudia tena kukwambia kuwa hii inaitwa jamiiforums, maana ya forum ni sehemu ambapo watu wanadebate kuhusu hoja mbalimbali.
Debate haijawahi kuwa na mawazo yanafanana kuna watakaounga mkono na kuna watakaopinga ndiyo maana ya forum.
So usikasirike na kuhisi labda kupinga ni dhambi as long as jambo limewekwa kwenye forum tegemea hilo jambo kutokea.
sijarekebisha spelling yeyote bado nimeziacha vile vile makusudi
 
Unapinga kwa kuropoka au? Kama ulilijua hilo basi ungejibu kwa facts na kuelezea historia kamili ya huyo Dr shika akiwa urusi, Watu story za hapa Tanzania wanazo wanafuatilia na kutaka kulinganisha anayoongea shika yana ukweli thats all

Hakuna story ya shika huko google, Pengine hata wewe hakuna story zako zaidi ya mambo ya Facebook registration
Mleta mada anatoa facts zake na wewe ungejibu facts zako kwa kuandika maisha ya shika huko urusi yalikuwaje
 
Back
Top Bottom