Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Nimeshaacha watu walishwe matango pori. Mimi sipo.
Huna lolote pimbi tu uonekane unajua sana kupitia migongo ya wengine. Sie hatuhitaji kujua wewe ni nani.

Hapa ni khs Dr Shika. Kama unataka kuchangia ili isiwe tango pori sema, vinginevyo piga kimya.
 
matango pori yapi kurbashnov na kurbanov ni watu wawili tofauti baada ya kuangalia vema nikaenda kutafta jina nakuta ni wawili tofaut unachanganya
Achana na mgonjwa huyo, naona ugonjwa wake umepanda kukichwa.
 
Inawezekana Magonjwa Mtambuka akawa na hoja ila tatizo lake hajui kuadress issue kwa fact na busara naona amekaa kmpasho mpasho hivi kama vile ugonjwa mtambuka umepanda kichwani hivi.

Halafu kusema yeye ni nani anaonyesha jonsi gani watu wakishindwa kwa hoja hutumia bunduki...
 
 
Kama unataka wasijadili Dr shika kuna majukwaa mengi humu sana nenda huko mkuu muda huu wanajadili mambo ya Robert comrade Mugabe Jembe muzee
 
Kama unataka wasijadili Dr shika kuna majukwaa mengi humu sana nenda huko mkuu muda huu wanajadili mambo ya Robert comrade Mugabe Jembe muzee
Hivi umesoma ukaelewa nilichoandika kweli?
Nahisi hujaelewa na hakuna sehemu yoyote niliyoasema Dr asijadiliwe maana huo ubavu sina.
 
No information is valid here. Watch out and never consume every thing. There is much of fake news and probably this could be the one.
 
Huna lolote wewe, uongo tu umekujaa. Ni Luhkovitsky na sio Lhukovitsky ambako hilo jengo la Distantsiya Guest house lilipo.
Ninachokiona kwako ni kwamba unaleta ujuaje tu usio na faida
Sioni sababu ya kuleta ligi hapa
Kama upo maeneo husika basi pale unapoona kuna typing error au vinginevyo unarekebisha lakini si kwa style unayokuja nayo wewe ni ya kishamba kabisa unataka kuonesha watu kuwa nawe uko urusi
Kama ulijua ABC ya anachokisimulia mwenzako basi ungeanzisha Uzi wako au ungekuwa unaongezea pale anapoishia mwenzako na siyo kejeli
Eti unajua mi nani? Sasa akujue we nani ili iweje? Acha utoto mkuu maana naamini we MTU mzima
Sioni faida ya ligi unayoleta hapa kama unataka wenzako uku TZ wajue zaidi basi mwaga madini hapa
Acha hizo tambo zisizo na maana yeyote labda jukwaa la MM Kule Nahisi we ni wa bukoba eti? Maana umekezana sana kusema unajua mimi nani? Sifa hazina maana hizo
 
Kama ni hivyo, unafikiri mleta uzi ana faidika na nini kwa kutulisha matango pori??

Kama ni story poa tu kajitolea muda wake kuandika na si kwamba kuna ujira anapata ili atajirike.
 
Kama ni hivyo, unafikiri mleta uzi ana faidika na nini kwa kutulisha matango pori??

Kama ni story poa tu kajitolea muda wake kuandika na si kwamba kuna ujira anapata ili atajirike.
Hii inaitwa forum hata siyo jambo la kushangaza kupingwa kwa bandiko lolote.
A forum is where people debate mkuu...
Kwani hujawahi kutana na mtu kaandika kitu ambacho si kweli? Kama ndiyo uwa wanafaidika na nini?
Uwa ni burudani pale watu wanapocheza tune yako...
 
hahahaha mjuaji ni yule anayefanya kukosoa wakati hajui au mjuaji ni yule anayeleta alichoambiwa, hahaha Tanzania tuna kazi MEMKWA siku hizi hakuna sijui?
Ipo sema huyu jamaa ni jeuri hataki kujiunga
 
Huna lolote pimbi tu uonekane unajua sana kupitia migongo ya wengine. Sie hatuhitaji kujua wewe ni nani.

Hapa ni khs Dr Shika. Kama unataka kuchangia ili isiwe tango pori sema, vinginevyo piga kimya.
Ha ha ha........jf bana!! Usikute unayemjibu ndio Dr Shika[emoji1]
Umechek hlo jina lake analotumia lakin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…