Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

hUYU MZEE hizi story ana hallucinate atakuwa aliwapa hizo hadithi hao wenzake huko Russia,CIA FBI hawawezi kumtumia mtu kama yule wakawasiliana naye direct lazima awe na HANDLER wa ku exchange infos,sio wajinga eti waache traces za kijinga hivyo.
Umesoma cheo alichokuwa nacho? Hii inamuwezesha kutuma na kupokea Intel direct
 
Kuna Dr. Mmoja nilikutana nae miaka Fulani ambaye alisomaga Urusi, Mtanzania aliwai nisimulia kuwa akiwa Urusi alikamatwaga na kuhukumia kunywongwa kwa tuhuma za ujasusi akaja okolewa na Amnesty International!! Alirudi yupo .Naanza amini kuwa kweli hii dunia INA mambo
 
kama vile ni agent wa CIA nikiunganisha dots

maana tuliambiwa/kuna uzi ulisema ubalozi wa tanzania ulimtelekeza lakini ubalozi wa marekani ulimtembelea akiwa hospitali kama sijakosea
Yaaap, kuna something behind kwa kuunganisha habari zake na tactical katika kuongea japo haendi strait either kwa kuogopa RUSSIA kumfuatilia lakini sasa huyu mpka BBC swahili ametangazwa tujiandae kusikia mengi zaidi kama ndio hivyo,kuhusu ubalozi kumsusa ni kwamba kwa ukipelekwa na serikali kusoma nje lazima urudi kulitumikia taifa ukiamua kubaki na shughuli zako unahesabiwa wewe mtoro kwa hiyo hapo lazima ubalozi hautambui uwepo wako huko na ukijulikana unakamatwa kuchukuliwa hatua, kwa hiyo kusaidiwa na ubalozi wa marekani kuna alarm watanzania hili jambo ni very serious sio la kuchekesha tena mi nime note na tena hatari kwa yeye maana ameshakuwa famous kila media,
ahsante mtoa thready umeeleweka.
 
Ahaa kumbe ndio maana kichwani kwake kwa nyuma ana kama kovu hivi au kile ni kipara. Ila toka awali nilihisi ingawa huyu mzee anaonekana ana matatizo ya kiakili, lakini kuna uwezekano alikua apate fedha flani, ndio maana anazitaja taja kila mara.
 
DUH.

DR KUMBE NAYE NI MTU SASA.

SERIKALI ISILALE, IFUATILIE HAKI ZAKE ZIPATIKANE.

WAANDISHI NA WATANGAZAJI HUU NI MUDA WA KUKAA NA DR. MFANYE NAYE MAZUNGUMZO MTUJUZE KIUNDANI.

ANA KITU NA MKIMUHOJI VIZURI ATATUELEZA NA TUTAJIFUNZA. NA KAMA NI SHUSHUSHU HUENDA IKAWA ILE ILIKUWA MBINU YA KUPATA ATTENTION ILI ATOE YALIYO MOYONI.
 
mawazo yangu cku tangu siku ya kwanza nilijua huyu jamaa ni kitengo, ila nilikuwa nna wasi wasi na kitengo cha TZ maana kwa miaka hiyo hatukuw a na mpango Urusi, huyu ni informer wa CIA ndio maana hana meno wala vidole, nna shaka hana pumbu pia
 
du kuna mambo hawa jamaa wanafanya kama jamaa zetu wa kijani aisee, naomba tusifike huko, mie kaka zangu wamesoma huko, wanaongea kirusi ile mbaya
 
Kama hii habari ni ya kweli.
Naanza kumtilia mashaka Dr. Kuwa si MTU wa mchezo mchezo.
Unajua nilishangaa siku Ile wakati anapelekwa rumande. alikuwa MTU ambaye Hana wasiwasi. Wala presha.
KUNA KITU.
MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU.
KAMA AMEWEZA KUWATINGISHA WARUSI. huyu MTU wa kumuangalia kwa jicho la tatu.
 
kweli
 
kwa hiyo unatuaminisha dk. shika alijitengenezea hii website kabla ya kwenda mnadani?then he is smthn else
 
Mazwazwa wapo wengi humu mkuu, muda wote wanawaza siasa, kila kitu wao ni siasa tu, sasa Dr. Shika na siasa wapi na wapi?
Kati yako na mleta thread nani zwazwa ,kwani spies ni wana siasa ?

Hv mwanasayansi aliyehukumiwa Iran kwasababu ya spying nae ni mwanasiasa ...


Nasikitika sana ,inasikitisha sana watu wengi utambuzi hawajui hata mm mfanyabiashara naweza kuwa CIA agent hapa dar na hata siasa siijui
 
ivi unadhani kama angekuwa anatakiwa kuuawa agekuwa hai hadi leo??? tehteh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…