Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Ahaa kumbe ndio maana kichwani kwake kwa nyuma ana kama kovu hivi au kile ni kipara. Ila toka awali nilihisi ingawa huyu mzee anaonekana ana matatizo ya kiakili, lakini kuna uwezekano alikua apate fedha flani, ndio maana anazitaja taja kila mara.
yeahhh..au wakati nati zinalegea alidhulumiwa kitu flani
 
Na sijawahi ona mtu mwenye akili za kupindukia na very smart akawa materials guys! mfano mzuri tu ni mafundi uashi, kaangalie nyumba wanazoishi na zile walizotujengea, mara nyingi watu smart huamini katika visions na achievements! Na kwa kawaida ya watu wanamna hii ni watu wenye imani ya kupindukia, akiamini kuwa taa ya maono iliyowaka kichwani mwake basi, kinachofuata nikuushirikisha moyo wake na kuanza kufuata process au formular inayomuongoza kufikia malengo yake! Respect for all you people, you have or not!
Kweli aisee
 
Hii habari kesho itapamba Magazeti ya Udaku sipati picha!

Utasikia wakiandika....
"Kwa mujibu wa uchunguzi wa kina wa gazeti hili, Dr. Shaka......."

Kumbe wameikuta habari JF
Kumbe mkuu umeshayashtukia magazeti mkuu huwa yanavutia na ni mazuri kwa nje ila zama ndani mapicha kurasa nzima
 
Hili bashite hawezi kuamini kabisa ila jazia nyama Kwa kuweka na picha

Cold war iliwaumiza wengi mm luis nakubaliana naye 100%

Lakni balozi zetu za kiafrika suala kama hili hawawezi kuliona hata kidogo

Balozi zetu zenyewe huko marekani haziko salama nyendo zao zinafuatiliwa kila kukicha hapa kwetu mabalozi wao wanakula shumbwela na kuonekana miungu watu umasikini na ushamba utatumaliza afrika

Nasema tena Kwa kujiamini Tanzania hakuna spy anaweza kupandikizwa na kulifanikisha suala la shika tuache maigizo .shika apambane na umaarufu wake mungu ammbariki sana aendelee kuwa hai mpaka hapo atakapo ipata mizigo yake

Watu kama akina shika ni wengi na hili kosa alilifanya Mwl.J.K.Nyerere
Aliuamini sana mfumo wa kikomunist mpaka akawa anatoa vijana wetu kwenda nje bila document zozote
Mmh!!
 
Haiwezi fahamika tena na Dr. amekwambia hao Polisi walienda kumpekua na walikuta na bank statement ya Kampuni yao sijui ya Dr which had alot of Money... na wakaondoka nayo na baada ya kukukotoa amesema the statement tu kwenye akaunti moja ilikuwa na hela equivalent na 20 Billion na akasema TRA wanted only 3Bill plus sasa kwa nini tunaendelea kujiuliza muonekano wake na ukweli wa kazi yake.

Pia kwenye mahojiano amesema aliweza kuwatoroka watekaji japo aliteswa sana .. Kwa aina ya uteswaji aliofanyiwa mtu pekee ambaye anaweza kutoroka ni Mtu mwenye mafunzo ya hali ya juu ambayo Dr ameyapitia. kwa hiyo na ukiangalia anavyoongea yupe well organized na anaakili zake zote timamu na kwa utani tu aliwatania kuwa Kapuku kwa lengo la kuwakejeli.
Maisha ya Spy siyo Maisha ya akina Bashite .. Spy wa kweli hajikwezi , na moja ya sifa kuu zao hawapendi kupitwa na taarifa yoyote na kama umemsikia na kufuatilia mienendo yake yeye na kijiwe cheenye magazeti ni uji na Mgonjwa. Bado kuna watu wenye vichwa ngumu kwenye hiloo.....

Hiyo ni hazina tosha ambayo Nyerere pekee ndiye anayejua thamani yake ila sisi wachumia tumbo tutaendelea kuwaza na kumuwaza na kumuwazua kwa kuwa hatujui misingi ya Usalama wa Taifa
Kula tano mkuu na kwa 100% nakubaliana na wewe mkuu.

Kuna mtu eti anahoji KBG anaweza kuwatoroka kindezi ndezi,naweza kusema Dr Louis kwa maelezo yake na kwa appearance yake unaweza kumuona kama mtu dhaifu. Lakini anaweza mtu aliyepitia mafunzo makubwa sana.
 
nakataa kabisa,ukiangalia hiyo website hakuna picha za ofisi,adress ya kampouni hakuna, e mail wanatumia msn wakati proffesionally ilitakiwa labda drshika@lancefortltd.ru then angalia vizuri website yao..www.lancefort.narod.ru ni free hosting sio za kulipia thats why kuna narod katikati ni kama .blogspot.com au .yola.com,website kwa mjanja akiingalia kwa macho tu changa la macho
Uki search google hawana rekodi ya kueleweka no results kabisa,kampuni moja inafanya shughuli kama 40,kuanzia fertilisers,petroleum,pharmaceutical hakuna hata picha za ma executives,mnadanganyika sababu kuna website tena ya free hosting?
CIA,FBI watengeneze bogus company in a foreign soil ambayo ina deal hadi na gesi na petrol?they must be crazy,CIA,FBI wakitaka info nzuri za nchi kama Russia huwa wanatumia wan KGB wa kulekule ndani(MOLES)refer story ya OLEG KALUGIN
nakataaa nakataaaa nakataaaaa ,mtoa mada hata kama kaeleza alichoambiwa simply ni kwamba mzee LUNYALULA KIDOLA aliwanywesha chai ya moto wabongo wa huko ku explain issue yake ya kukatwa vidole na kupoteza meno aka acome up with a fascinating story. NOOOOO
Unaweza ukawa una point ya msingi!
 
Administration.

Company: Lancefort Ltd.

Type of Business: Manufacture, Export, Import.

Banker: Bank for foreign trade Vneshtorgbank

Working hours: 12-16 GMT

17-20 GMT.

Phones: words 7-095-139-91-86

Fax 7-095-246-20-20

Web Site: Lancefort

E- mail: Lancefort@msn.com

Snail mail: 125284 Moscow, P. O. Box 9, Moscow � Russia.

President: Louis S Kid

General Director: Dr. Lunyalula KRS

Executive Director: Butina Nataly Alexandrovna

Director for International Affairs and First PS to the President: Gracheva Olga Mihailovna

Production and Sales Director:Krasnoborova Julia Sergeevna

Chief Accountant: Shaova Iren Yurievna

Board of Directorate: The board of directorate consists of all the above under the chairmanship of Gorbachev MS

NB: All correspondence should be addressed to: The Director for International Affairs.

Back to the general list

Сайт управляется системой uCoz
 
Haiwezi fahamika tena na Dr. amekwambia hao Polisi walienda kumpekua na walikuta na bank statement ya Kampuni yao sijui ya Dr which had alot of Money... na wakaondoka nayo na baada ya kukukotoa amesema the statement tu kwenye akaunti moja ilikuwa na hela equivalent na 20 Billion na akasema TRA wanted only 3Bill plus sasa kwa nini tunaendelea kujiuliza muonekano wake na ukweli wa kazi yake.

Pia kwenye mahojiano amesema aliweza kuwatoroka watekaji japo aliteswa sana .. Kwa aina ya uteswaji aliofanyiwa mtu pekee ambaye anaweza kutoroka ni Mtu mwenye mafunzo ya hali ya juu ambayo Dr ameyapitia. kwa hiyo na ukiangalia anavyoongea yupe well organized na anaakili zake zote timamu na kwa utani tu aliwatania kuwa Kapuku kwa lengo la kuwakejeli.
Maisha ya Spy siyo Maisha ya akina Bashite .. Spy wa kweli hajikwezi , na moja ya sifa kuu zao hawapendi kupitwa na taarifa yoyote na kama umemsikia na kufuatilia mienendo yake yeye na kijiwe cheenye magazeti ni uji na Mgonjwa. Bado kuna watu wenye vichwa ngumu kwenye hiloo.....

Hiyo ni hazina tosha ambayo Nyerere pekee ndiye anayejua thamani yake ila sisi wachumia tumbo tutaendelea kuwaza na kumuwaza na kumuwazua kwa kuwa hatujui misingi ya Usalama wa Taifa
inatosha chief...usiseme yote!
 
Nami kwa nafasi yangu nimechambua na kukutana na hii video akihojiwa na Ayo Tv...
mnaweza kuifungua hii link na kupata chochote"maelezo" binafsi bado sijui chochote nawe angalia huenda ukapa chochote kulingana na hii thread
unaweza angalau kuhusianisha mambo hafuatayo au ukawaza yafuatayo
1.Utajiri wake wa zaidi ya 10 billions USD Kwenye account mbali mbali
2.Kampuni yake
3.Kuhusishwa na CIA
4.KGB
Na mengine utakayoweza kuyafikiria kutokana na video/mahojiano na Ayo TV.

Huyu bwana ana akili timamu, hajarukwa akili kama wengi tulivyoamini.
 
Back
Top Bottom