Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Dr Shika nilivokuwa namfikiria kaniprove wrong kabisa baada ya kufatilia story yake hasa kwenye mitandao ambayo ni mahojiano ya ana kwa ana mzee ni mkweli na hana chembechembe za ubabaishaji ...very smart anajua anachokiongea na ndo kimenifanya niamini maneno yake ....

All in all i can sum up "ni maisha " tu kuchange ndo kumemfikisha hapo alipo

Respect to you Dr Shika
Nakubaliana na wewe mkuu,mzee akuwa anataka umaarufu alikuwa serious ila wengi tumemchukulia kama kachizika.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
mi nishazoea miaka 5 sasa,

mambo ya kujiepusha ni kutojihusisha katika movement yeyote ile ya kisiasa,

pili usionekane una hela sana,

Tatu kaa mbali na mabinti wa kirusia maana wanaume wana wivu kila siku wanaua sana, kuna maeneo hupaswi kufika kama Saratov
Mzee Upo Moscow Nini.
Unakaa ulitsa gani kama Upo Moscow mkuu.
Sema hao mademu gusa walio free kama wale wa club ya B52
 
Nakubaliana na wewe mkuu,mzee akuwa anataka umaarufu alikuwa serious ila wengi tumemchukulia kama kachizika.
Exactly kabisa japo na mimi nilikuwa miongoni mwa waliokuwa wanambeza
 
Kati yako na mleta thread nani zwazwa ,kwani spies ni wana siasa ?

Hv mwanasayansi aliyehukumiwa Iran kwasababu ya spying nae ni mwanasiasa ...


Nasikitika sana ,inasikitisha sana watu wengi utambuzi hawajui hata mm mfanyabiashara naweza kuwa CIA agent hapa dar na hata siasa siijui
Umenielewa kweli? Mkuu kabla hujam-quote mtu jaribu kujiridhisha. Nimekusamehe bure
 
hyo statement ni ya benk ya tanzania au ya benki ya nchi gani??? kama ni tanzania hapa kwa nini aisitumie hyo pesa kulipia hzo nyumba?? na kama yy ndiyo director wa kampuni hope kwa siku alizo kaa polisi pesa imeshawekwa kwenye a.c yake..kwa nini asiende..
mission planed hyo mkuu...akina bashite watu wa huko kanda ya ziwa /magu wanajua wanachokifanya.

P.O.BOX 9, MOSCOW , RUSSIA ........haaaa haaaaaa
bro huyo akili unazo ameshindwa kuwaza zaidi
 
ni mchana unajua urusi uku miji inatofautiana masaa kwa mtu aliyeko novosibiriskiye na aliyeko sochi au volga wanatofautiana masaa mawili,

hapa moscow ni mchana kawaida saa tisa
Daaa maana ntakutuma sehemu unipelekee salamu.
 
Lancefort Ltd ni kampuni iliyosajiliwa nchini Russia miaka kadhaa iliyopita, na kwasasa haifanyi kazi kwa kipindi kirefu baada ya watendaji wake kupotea gafla kwa mazingira ya kutatanisha.

Kutoka mjini Rostov on don napokaa mpaka Moscow ni mwendo mrefu kidogo ambao ni km 1200 na zaidi, kwa mwendo wa trein ni 5hrs,
nimefika mjini moscow na kuanza kuuliza hasa legality ya kampuni hiyo ndani ya moscow na Urusi kwa ujumla, nimefanikiwa kupata maelekezo ya kukutana na Mtanzania mmoja (Elibariki Dishon) anaisha mtaa wa Tverskaya Street, ambaye kanikaribisha na kuanza kufanya uchunguzi wangu, nikaamua kwanza nipate hifadhi ndani ya hotel ya Sputnik.

Baada ya kwenda kwa watanzania wanaoishi huku nimegundua huyu mzee alipata matatizo kwa kuhisiwa ni spy wa Marekani, ambaye kapandikizwa kutokea Afrika, na amekuwa akitafutwa na kufuatiliwa nyendo zake zote kuanzia kwenye kampuni yake na nyumbani alipokuwa anaishi.
Mke wake bi Luisa Kvonkov ndo alibanwa na kueleza kwao ni Tanzania Magu, Lakini inasemekana kwamba kuna kampuni kubwa la kimarekani aidha shirika la upelelezi ambalo liko nyuma ya kampuni ya Lancefort, ndio chanzo cha kutiwa msuko suko uko alikokuwa anamiliki kampuni hiyo.

Shirika la Lancerfort limekuwa likimiliki asset kubwa nchini urusi na kwingineko duniani wakati chanzo cha hela yao hakijulikani, hivyo moja kwa moja kuhisiwa ni miongoni mwa mashirika ma spy ambao wafadhili wake ni wamarekani ambao wana uhasama wa mda mrefu na Urusi.

Wametelekeza mali nyingi kukiwemo na private jets na magari ya thamani.

Kupitia wapelelezi wa ndani ya urusi ambao walilichunguza shirika ambalo inasemekana rais wake ni Dr Luis Shika kwa kipindi kile, waligundua mawasiliano ya karibu na baadhi ya mashirika yafuatayo AMNESTY INTERNATIONAL, CIA, FBI , HGRE, OKLE, ambayo mara nyingi huwa ni waanzilishi wa upelelezi katiKa nchi nyingi,

Baada ya kugundua hayo walitekwa na kuwekwa mateka na wawili kuuwawa, mmoja wapo akiwa mkenya Edward Koinange na mwingine wa Siera Leone Yunusu AKhbu, Na wawili kukimbilia Tanzania lakini Rais wao akapelekwa hospitali baada ya kuwatoroka akiwa ameumizwa vibaya, hakutibiwa Urusi alitoroshwa kinyemela mpaka mjini Dnipro Ukraine, na kutoroshewa Tanzania,
Baada ya kufika Tanzania hakuenda moja kwa moja kwao akajificha mjini Dar es salaam, (Haya ni maelezo kwa mujibu wa mtu wake wa karibu)
Baadae kutorokea Uhispania Mjini Malaga , amekaa malaga miez 8 Na kurudi Tanzania,

Mwaka 2012 wakaidhinisha malipo kutoka marekani ambayo bado yapo kwenye mlolongo wa
kukamilisha mchakato,

WITO KWA BALOZI ZETU TUNAOMBA MUWASAIDIE HAWA WATANZANIA WANAOKUWA NA MATATIZO MUWASAIDIE

Tukiachana na Shika wapo watanzania wengi wanaokosa msaada wa karibu sana kutoka Kwa balozi zetu hizi ,

Ukisoma ukatafakari haitadhuru

Tufanye nimemaliza

KUNA MENGI SITAYAANDIKA HAPA KUTOKANA NA KUJUA KWAMBA KUMBE HII ISHU NI CRUCIAL , NA KULINDA USALAMA WA DR,

PIA YATAENDELEA KUWA KUMBUKUMBU ZANGU NA KUZIPELEKA MAALI ZITAITAJIKA KWA KUMSAIDIA DR,

USIKURUPUKE KUKOPI HABARI HII, MAANA CODES ZOTE NINAZO MIMI UTASHINDWA KUITETEA,MTU PEKEE MWENYE UWEZO WA KUWEKA EVIDENCE NI MIMI, IKITOKEA UKAKOPI SEMA UMEITOA WAPI,

Britanicca

Kwa kutunga mpo safi sana.

Mchezo wa kuigiza. Kunasiku nitashuha nondo!
 
Naunga dots kazi za ligumu na huyu jamaa spy 100% true
 
tukubaliane sasa dk. shika anatutumia wote kwa his personal gain, iwe ni nyumba ama malipo yake kwa wadau wake wa siku nyingi, huyu ni jasusi tena aliyekubuhu
 
passport yake imeandikwa dr ,uhamiaji wanahoji hata ukisema wewe ni msanii? passport inasema kazaliwa 1969 by 1978 yupo mbeya anafanya kazi kama medical doctor kabla ya kupata scholarship ya Russia..Nooooo
Kitu kimoja hapa ni kwamba,huyu mzee ni genius wa zamani ila kachanganyikiwa kidogo,akili za uweledi zimebaki humohumo,ana hallucinate sana,hna tofauti na yule lecturer wa cbe aliyegeuka kichaa lakini ukikutana naye anatema madini hatari
Tafuta Uzi umo humu uusome mkuu una sema kuwa uhusiano kati ya ukichaa na ugenious
 
Mkuu huyu Mzee hajachanganyikiwa hata Chembe moja ..... Yaani hapo nitapingana na wewe Ukimsikia alivyowabana Polisi mpaka wameshindwa kumtuhumu na kuendelea kukaa naye mbali zaidi wamekubali ajidhamini bado unatia shakaa hapo????
Ila hapo kwenye kujidhamini mwenyewe Nina mashaka napo.
Polisi wa bongo wakwambie ujidhamini mwenyewe? Sijuiii
 
Back
Top Bottom