Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Acha mbwembwe kama unajua si utiririke..
Kwa kutunga mpo safi sana.
Mchezo wa kuigiza. Kunasiku nitashuha nondo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kutunga mpo safi sana.
Mchezo wa kuigiza. Kunasiku nitashuha nondo!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mi kanifundiha kitu kimoja tu kushika kengele ukikutana na mbwa mkali 😀😀😀😀😀😀
Dah!! Pole sana mkuu.mimi niliyeleta uzi huu niko uku nimwaka wa tano nimepata mateso yafuatayo
1. kuna baadhi ya mitaa mpaka uombe marafiki wakusindikize, na wawe marafiki wa kizungu,
2.Kuwa na girllfriend wa kizungu au russia unakuwa umetangaza vita,
3. Mwaka juzi nilienda kanisa moja kusali yaan kanisani wakanibagua, ni kwamba pale kanisani wasioelewa kirusia wanapewa headphones za kutranslate, sasa mimi somo la kwanza nilijifunza kilugha chao bila wao kujua ili wasinisengenye, sasa nilifika kanisani pale, wakamgombeza yule demu alonipeleka eti NANI KAKWAMBIA HII NI MASS YA WAAFRIKA? AU NYANI WNATAMKA NENO обезьяна WAKIMAANISHA NYANI ukisikia BOREKGHRA jua ushaitwa nyani, NILIELEWA LAKIN YULE DADA AKAWA NA AIBU AKANIFUATA NA KUNISIHI KWAMBA HEAD SET ZA KUTAFSIRI HAZIPO WATATUPANGIA MASS YA WASIOJUA KIRUSSIA, ikabidi niondoke kwa kujifanya sijaelewa
4.kusimamisha bus hizi pertanduu hawasimami kama ni mwafrica mpaka kituoni labda awepo mzungu msimamishe kwa pamoja, naye huyo wa kituoni anasimama mbali na wewe,
5. Viwanja vya ndege hasa rostov on don na moscow mara nyingi waafrica husimamishwa kukaguliwa ndani ya msafara wanakagua wana sample waafrica tu,
6. ku book flight baadhi ya office unaambiwa imejaa wakati ukiwepo hapo hapo wengine wana book,
Mkuu Molembe, kati ya vitu ambavyo kabila langu, huwa hatuwazii kabisa, ni wanawake!, kwetu wanawake ni kitu routine, huwazi kama usivyowaza kunywa maji, ukisikia tuu kiu, unajua maji yalipo, unakunywa, majani ya chai usitake kuyafanya ni bidhaa adimu, ukisikia njaa, unakula tuu, popote, yoyote na ndio maana tuna wengi.We paskali akili yako inawaza wanawake tu sijui umelogwa.
Mikluho maklaya,metro belyaeva,stesheni ya VDX kule Parke mkuu kwenye kumbukumbu za yurin gagalin. Mitaa ya ashan, na kule IKEA nimezulu sana mkuu.member wa rudnhahahahaha we unayajua maeneo hayo kumbe gonga glass , mademu hao wako free ukigonga occupied , kabuli lina ku occupy haraka haha
Swali ni je CIA wamemtelekeza mtu wao au la, kama sivyo basi huyu jamaa ni habari nyingineUnamuongelea Mudi Bilali?
Anyway ..to cut the story short ...hao jamaa wako wengi sana.nawafahamu baadhi yao.
Mitaa Fulani mkuuwapi uko usije ukawa usiyejulikana mkuu
Sasa hapo hujapata jibu tu , kupoteza Mali zote hizo atabaki salama kweli mkuu.Swali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
Nyandandu nini mkuu? Nahisi jina lake nimepatia au nimekosea spelling?ila sasa kwa Tanzania amebaki mheshimiwa aliyehamia juzi juzi chama fulani naye ni spy
mi bado siamini kama this guy ni CIA...Ni mtu aliyekuwa russia anafanya kazi somewhere...kuna kitu hakikwenda sawa mahali..wakamfanya hakuna..akapoteza nati fulani..he is genius ambaye nati zimecheza..wakati nati zinakata ilikuwa kipindi alichodhulumiwa...na haikuwa such billions...Swali ni je CIA wamemtelekeza mtu wao au la, kama sivyo basi huyu jamaa ni habari nyingine
Ni kweli mkuuSasa hapo hujapata jibu tu , kupoteza Mali zote hizo atabaki salama kweli mkuu.
Dah Kumbe Urusi ni nchi ya Kishenzi hivi nilikua naikubali bure tumimi niliyeleta uzi huu niko uku nimwaka wa tano nimepata mateso yafuatayo
1. kuna baadhi ya mitaa mpaka uombe marafiki wakusindikize, na wawe marafiki wa kizungu,
2.Kuwa na girllfriend wa kizungu au russia unakuwa umetangaza vita,
3. Mwaka juzi nilienda kanisa moja kusali yaan kanisani wakanibagua, ni kwamba pale kanisani wasioelewa kirusia wanapewa headphones za kutranslate, sasa mimi somo la kwanza nilijifunza kilugha chao bila wao kujua ili wasinisengenye, sasa nilifika kanisani pale, wakamgombeza yule demu alonipeleka eti NANI KAKWAMBIA HII NI MASS YA WAAFRIKA? AU NYANI WNATAMKA NENO обезьяна WAKIMAANISHA NYANI ukisikia BOREKGHRA jua ushaitwa nyani, NILIELEWA LAKIN YULE DADA AKAWA NA AIBU AKANIFUATA NA KUNISIHI KWAMBA HEAD SET ZA KUTAFSIRI HAZIPO WATATUPANGIA MASS YA WASIOJUA KIRUSSIA, ikabidi niondoke kwa kujifanya sijaelewa
4.kusimamisha bus hizi pertanduu hawasimami kama ni mwafrica mpaka kituoni labda awepo mzungu msimamishe kwa pamoja, naye huyo wa kituoni anasimama mbali na wewe,
5. Viwanja vya ndege hasa rostov on don na moscow mara nyingi waafrica husimamishwa kukaguliwa ndani ya msafara wanakagua wana sample waafrica tu,
6. ku book flight baadhi ya office unaambiwa imejaa wakati ukiwepo hapo hapo wengine wana book,
Controversy: Dr. Louis Kid Shika and Lancefort LtdhUYU MZEE hizi story ana hallucinate atakuwa aliwapa hizo hadithi hao wenzake huko Russia,CIA FBI hawawezi kumtumia mtu kama yule wakawasiliana naye direct lazima awe na HANDLER wa ku exchange infos,sio wajinga eti waache traces za kijinga hivyo.
Ata mimi mkuu ila tokea atoke lupango nimeanza kumfuatilia habari zake nimegundua ana vitu vingi vya kuwaeleza watanzania ila alitafuta chance haikuwezekana ndio maana akapitia kule kwa Lugumi mkuu.Exactly kabisa japo na mimi nilikuwa miongoni mwa waliokuwa wanambeza
Kweli Dr shika katushika