Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

4d4f49b668b0f58dd4308de368a58682.jpg
Nataka nione picha yake wakati yupo kijana za kuanzia 1980 - 2000
 
DUH.

DR KUMBE NAYE NI MTU SASA.

SERIKALI ISILALE, IFUATILIE HAKI ZAKE ZIPATIKANE.

WAANDISHI NA WATANGAZAJI HUU NI MUDA WA KUKAA NA DR. MFANYE NAYE MAZUNGUMZO MTUJUZE KIUNDANI.

ANA KITU NA MKIMUHOJI VIZURI ATATUELEZA NA TUTAJIFUNZA. NA KAMA NI SHUSHUSHU HUENDA IKAWA ILE ILIKUWA MBINU YA KUPATA ATTENTION ILI ATOE YALIYO MOYONI.
Usije kushangaa waandishi wakapigwa marufuku kwenda kumuhoji.
 
huyu mzee nahisi ni tunu ya taifa wanapaswa waandishi wa habari wasimzongeee
 
Dola bilioni 10 za marekani!?? Yet still hana dola $150 za insurance....yeye hana personal account ya hela zake??
Hizo hela zimekaa huko zinafanya nini na yeye huku anaishi kihohehae??
 
mimi niliyeleta uzi huu niko uku nimwaka wa tano nimepata mateso yafuatayo

1. kuna baadhi ya mitaa mpaka uombe marafiki wakusindikize, na wawe marafiki wa kizungu,
2.Kuwa na girllfriend wa kizungu au russia unakuwa umetangaza vita,
3. Mwaka juzi nilienda kanisa moja kusali yaan kanisani wakanibagua, ni kwamba pale kanisani wasioelewa kirusia wanapewa headphones za kutranslate, sasa mimi somo la kwanza nilijifunza kilugha chao bila wao kujua ili wasinisengenye, sasa nilifika kanisani pale, wakamgombeza yule demu alonipeleka eti NANI KAKWAMBIA HII NI MASS YA WAAFRIKA? AU NYANI WNATAMKA NENO обезьяна WAKIMAANISHA NYANI ukisikia BOREKGHRA jua ushaitwa nyani, NILIELEWA LAKIN YULE DADA AKAWA NA AIBU AKANIFUATA NA KUNISIHI KWAMBA HEAD SET ZA KUTAFSIRI HAZIPO WATATUPANGIA MASS YA WASIOJUA KIRUSSIA, ikabidi niondoke kwa kujifanya sijaelewa

4.kusimamisha bus hizi pertanduu hawasimami kama ni mwafrica mpaka kituoni labda awepo mzungu msimamishe kwa pamoja, naye huyo wa kituoni anasimama mbali na wewe,
5. Viwanja vya ndege hasa rostov on don na moscow mara nyingi waafrica husimamishwa kukaguliwa ndani ya msafara wanakagua wana sample waafrica tu,
6. ku book flight baadhi ya office unaambiwa imejaa wakati ukiwepo hapo hapo wengine wana book,
Pole sana mkuu,nimevuta taswira unayoielezea nimechoka,ni ngumu sana kuishi huko.
 
Dola bilioni 10 za marekani!?? Yet still hana dola $150 za insurance....yeye hana personal account ya hela zake??
Hizo hela zimekaa huko zinafanya nini na yeye huku anaishi kihohehae??
Yaani watu ni wabishi sijawahi kuona... Polisi wamechukua benki statement worth and with said amount na hakuna aliyebisha on top wameweza kumuachia kwa kujidhamini still kuna mtu anawasiwasi na huyu Jamaa... Ulizeni waliokuwa wanaenda Urusi Miaka yake na kazi gani walikuwa wakiifanya..
 
Back
Top Bottom