Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Pia angalia madegree aliyoyasoma... tena mfululizo from 1st Degree to fourth Degree. na akafungua Kampuni with all legal documents halafu mtu analeta hoja nyepesi ya kutomuamni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yukoje Mkuu? una maana ya mwonekano au?hUYU MZEE hizi story ana hallucinate atakuwa aliwapa hizo hadithi hao wenzake huko Russia,CIA FBI hawawezi kumtumia mtu kama yule wakawasiliana naye direct lazima awe na HANDLER wa ku exchange infos,sio wajinga eti waache traces za kijinga hivyo.
watu hawaamini kabisa huyu mtu alikuwa mkubwa mnooooPia angalia madegree aliyoyasoma... tena mfululizo from 1st Degree to fourth Degree. na akafungua Kampuni with all legal documents halafu mtu analeta hoja nyepesi ya kutomuamni
Kupitia hili nimethibitisha asilimia kubwa ya Watanzania wanaishi kwa kubisha tu yaani ni wepesi kubisha hata kitu kilicho wazi. Nilikuwa naambiwa watu wanaotoka Mkoa wa Kigoma ndiyo wabishi lakini kupitia hili asilimia kubwa ya Watanzania ni wabishi na wengi wanajifanya wajuaji mno.. Kwa hiyo hata kama kitu kimekutestified na all approved document bado kuna mtu atabisha tu na kuhusisha na siasa.watu hawaamini kabisa huyu mtu alikuwa mkubwa mnoooo
Duh kuna ukweli ndani yake.Huyu bwana ana akili timamu, hajarukwa akili kama wengi tulivyoamini.
Mkuu alafu usiwe unaingiza siasa kwenye kila mamboWell noted
Mkuu hebu rudia hapo kwenye bilion 20Haiwezi fahamika tena na Dr. amekwambia hao Polisi walienda kumpekua na walikuta na bank statement ya Kampuni yao sijui ya Dr which had alot of Money... na wakaondoka nayo na baada ya kukukotoa amesema the statement tu kwenye akaunti moja ilikuwa na hela equivalent na 20 Billion na akasema TRA wanted only 3Bill plus sasa kwa nini tunaendelea kujiuliza muonekano wake na ukweli wa kazi yake.
Pia kwenye mahojiano amesema aliweza kuwatoroka watekaji japo aliteswa sana .. Kwa aina ya uteswaji aliofanyiwa mtu pekee ambaye anaweza kutoroka ni Mtu mwenye mafunzo ya hali ya juu ambayo Dr ameyapitia. kwa hiyo na ukiangalia anavyoongea yupe well organized na anaakili zake zote timamu na kwa utani tu aliwatania kuwa Kapuku kwa lengo la kuwakejeli.
Maisha ya Spy siyo Maisha ya akina Bashite .. Spy wa kweli hajikwezi , na moja ya sifa kuu zao hawapendi kupitwa na taarifa yoyote na kama umemsikia na kufuatilia mienendo yake yeye na kijiwe cheenye magazeti ni uji na Mgonjwa. Bado kuna watu wenye vichwa ngumu kwenye hiloo.....
Hiyo ni hazina tosha ambayo Nyerere pekee ndiye anayejua thamani yake ila sisi wachumia tumbo tutaendelea kuwaza na kumuwaza na kumuwazua kwa kuwa hatujui misingi ya Usalama wa Taifa
Tukiunga story labda atakua CIA aliekamatwa na warusi wakamtesa mpaka wakamuharibu akili ili kmuvuruga,Mara paap, Dr. Shika CIA.
Swali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?