Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
True mkuu..nchi nyng za europe hua hvyo..Kuna muda tunakuwa mbele ama nyuma kwa lisaa limoja
Mfano rahis uefa champions league match schedule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True mkuu..nchi nyng za europe hua hvyo..Kuna muda tunakuwa mbele ama nyuma kwa lisaa limoja
Ni dollars million 10, siyo billion 10, alisema ni sawa na tz. 22billions.Dola bilioni 10 za marekani!?? Yet still hana dola $150 za insurance....yeye hana personal account ya hela zake??
Hizo hela zimekaa huko zinafanya nini na yeye huku anaishi kihohehae??
Kwa kweli. Ile ya kupelekwa rumande akiwa Hana waswas. Na kurudi uraiani. Waandishi wanamuuliza unatoka wapi. Anawajibu natoka polisi Central.baba yangu ni kachero mstaafu,anasema walikua nae kwenye mafunzo ya ukachero nchini urusi miaka kadhaa iliyopita
Akaunti mojawapo ya Dr ina dollar 10,000,000Mkuu hebu rudia hapo kwenye bilion 20
Unamanisha kwenye acount ya dk kuna bilion 20 au sijakupata mkuu
Ila wanakuwa kama abunuasi aliyekuwa akikata mti wakati Akiwa ameupandaWengi ni wazushi tu mitandaoni na ukute wanalipwa kwa kusambaza uongo.
Wamrudishie Dr tai yake tafadhaliPicha hii hapa....
Ametuma sms kwa mabosi nipeni changu,Kwa maelezo haya (ikiwa yana ukweli) umekumbusha jambo moja muhimu sana: ‘Kwa kila jambo kuna majira yake…’
Nimejaribu kwenda mbali zaidi katika tafakuri (hasa kiimani), naamini kabisa kuwa kila jambo linalokutokea hutokea kwa lengo maalumu (haijalishi unajua au hujui).
Jambo ninaloamini kila siku ni kwamba Mungu anatuwazia mawazo ya amani, kutupatia tumaini katika siku zetu za mwisho.
1 Wakorintho 10:13 – “Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.”
Inawezekana kabisa ya kwamba wakati huu unapitia majaribu mengi; kwa mfano magonjwa yameiandama familia yako, unazidi kufeli katika masomo yako, biashara yako imekwama kabisa, kukataliwa kila unakokwenda na kila unalofanya (au kama yaliyomtokea Dk. Luis Shika)… bado Mungu anakuwazia mema.
Kwa nini nimeandika ‘Kwa kila jambo kuna majira yake’? Moja ya mambo ambayo Mungu anayaangalia sana ni suala la Wakati, ndiyo maana anasema: “mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.” – Efeso 5:16. Shida inakuja kwetu wanadamu katika suala la kutambua haya majira na kuwa na tahadhari.
Kwa kila jambo, yanayokupata ni majira tu na yanapita. Kila jambo linakuja katika maisha yako kwa lengo maalumu, ikiwemo kukua kiimani zaidi (kwa watu wa imani za kiroho).
Yusufu (mwana wa Yakobo) baada ya kupitia shida mbalimbali kutoka kwa ndugu zake na pia kule utumwani Misri, Mungu alimstarehesha na kumfanya kuwa wa muhimu sana katika taifa la Misri kwa sababu Majira ya kusumbuka kwake yalikuwa yamepita.
Urefu wa majira katika jambo litakalotokea katika maisha yako ni Mungu ndiye ajuaye, lakini mwisho wa jambo hilo upo… unachotakiwa ni kuwa mwenye Imani na Mvumilivu siku zote (kama ilivyokuwa kwa Dk. Shika – kwa mujibu wa jirani zake anaoishi nao).
Kwa kumalizia, imeandikwa katika: Mhubiri 3.1 – “Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.”
Ninaamini kabisa kuwa hiki kilichotokea kwa Dk. Luis Shika kuhusu mnada wa nyumba za Lugumi, kukamatwa kwake na hizi habari zinazotolewa, ni jambo ambalo limetokea kwa kuwa kusudi lake limetimia ili Dk. Luis Shika apate haki yake.
😵 🙄 😳 😱 Hmm!...Ametuma sms kwa mabosi nipeni changu,
Spain mji wa Malaga ofisi CIA North Africa Operation zipo pale,
Hata counter terrarism operation za Niger,Nigeria,Libya,Morroco,Misri etc,misheni nyingi za africa ya kaskazin zinaanzia pale
atawindwa na KGB hadi wammalize!Ndio maana ana uhakika wa kununua ile mijengo,kumbe hela iko kwenye process!atapata hela yake,wamarekani wakisha kutumia kwenye mission kubwa kama hiyo lazima wakuwezeshe...
Baba yako ni kachero mbea.baba yangu ni kachero mstaafu,anasema walikua nae kwenye mafunzo ya ukachero nchini urusi miaka kadhaa iliyopita
Kwa maneno hayo tu, inaonesha Dr. Luis siyo wa mchezo, hasa hilo la kubana kengele ukimwona mbwa na kutomwangalia aliyelala.Nimeokota moja kwake, aliyelala ukimwangalia machoni anaamka
Tukio la lissu litasahaulikaje mkuu? Mbona umewaza ndani ya boxSwali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
Kwani Mkuu babu wa Loliondo nae ni spy?siwezi sema ni mbinu za ccm, ila mm niachotaka kusema hapa..huyu shika, ni mtu makini sana na ambaye anatumiwa na watu wasiojulikana kwa mission isiyojulikana hadi sasa.
Kwa website aliyoitaja jana , ukiingia huko huwezi amini ukubwa wa kampuni yake ambayo kwa maelezo yake anasema iko nchi nyingi. Pia, pale chini kwenye hyo website kuna address yao..sina hakika km huko Moscow nako wanatumia P.O.BOX... Anyway.. kwa ufupi kuna maswali mengi kuliko majibu.
Ila hyo mission ilikuwa pia planned na hao YONO.. kwani walianza kutoa warning kuwa atakaye vuruga huo munada atawajibishwa kisheria..walijuaje km siyo kuwa nao walikuwa part of the mission?? Anyway itafahamika tu..km babu wa loliyondo. Time will tell.
Kichwani zimo sanaHizi ni assets za Nyerere zilizopoteza direction ....