Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Unampenda nini?
Kumbe ana mke wa ki-Russia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ana mke wa ki-Russia
Mkuu nimeolewa lakini ninaangalia future kwa single ladies, kuwa mke wa billionaire ni sawa na ku-win lotteryUnampenda nini?
Mi nakusoma tu...Mkuu nimeolewa lakini ninaangalia future kwa single ladies, kuwa mke wa billionaire ni sawa na kiwis lottery
Sio Uzi, ni maneno yake mwenyewe dokta amesema alitelekezwa lakini wamarekani walimsaidiakama vile ni agent wa CIA nikiunganisha dots
maana tuliambiwa/kuna uzi ulisema ubalozi wa tanzania ulimtelekeza lakini ubalozi wa marekani ulimtembelea akiwa hospitali kama sijakosea
Mimi ni mke wako lakini mume ninaangalia tu mapema ya dr wa ki-SukumaMi nakusoma tu...
Aspirin mume wangu ninakupenda sanaMi nakusoma tu...
Niletee na vitumbua viwili sawaChai tuu hii kwa hiyo vingunguti ndio kajificha FBI wasimpate...
Well well ....mzee yuko vzuri na anakwambia kati ya maadui watatu mmoja wapo amebahatika kuepukana nae ..degree 4 si mchezo hiki kichwa ni lulu kwa taifa sema ndo hivo "maisha " tuNDO MANA TOKA NIMSIKIE SHIKA. SIKUWAHI KUPOSTI KEBEHI AGAINST HIM.
NAAMINI "USIMDHARAU USIYEMJUA.
MZEE ANA HAIBA YA KISOMI KABISA.
HII NI LESSON
Ndivyo watanzania wenye akili pumbavu kama zako walivyo.hakuna kitu, chai hiii
Naomba nikuoe tena mke wangu...Aspirin mume wangu ninakupenda sana
Usiyaangalie sana, shetani asije akakupitia...Mimi ni mke wako lakini mume ninaangalia tu mapema ya dr wa ki-Sukuma
Nyie CCM jamaniLisahaulike Mara mbili?
may be ilikuwa mission ya CIA kumkomboa mtu waoAisee, maneno mengi yanaungana na ukweli, ila in reality unawezaje kuwatoroka KGB kindezi ndezi kama alivyosema yeye?
ebwana iyo ni kudivert attention za watu....lissu plus nyalandu hakuna tension kwaoSwali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
Okebwana iyo ni kudivert attention za watu....lissu plus nyalandu hakuna tension kwao