Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

kama vile ni agent wa CIA nikiunganisha dots

maana tuliambiwa/kuna uzi ulisema ubalozi wa tanzania ulimtelekeza lakini ubalozi wa marekani ulimtembelea akiwa hospitali kama sijakosea
Sio Uzi, ni maneno yake mwenyewe dokta amesema alitelekezwa lakini wamarekani walimsaidia
 
Dr shika ni mpiganaji na ndoto zake ni kubwa,ukimsikiliza anavyoongea he thinks big nyumba ya bilioni moja kwake si kitu japo maisha magumu lakini anaishi mjini tena ndani ya geti, IF YOU ACCEPT POVERTY IN YOUR MIND YOU WILL BE ALWAYS POOR,THiNK BIG LIKE DR SHIKA.
 
NDO MANA TOKA NIMSIKIE SHIKA. SIKUWAHI KUPOSTI KEBEHI AGAINST HIM.

NAAMINI "USIMDHARAU USIYEMJUA.

MZEE ANA HAIBA YA KISOMI KABISA.
HII NI LESSON
Well well ....mzee yuko vzuri na anakwambia kati ya maadui watatu mmoja wapo amebahatika kuepukana nae ..degree 4 si mchezo hiki kichwa ni lulu kwa taifa sema ndo hivo "maisha " tu
 
Uspy ni kazi ninayo ichukia sana. Unaweka rehani maisha yako, familia hata ndugu wakati mwingine. Huyu jamaa imebidi aishi kama mwendawazimu ili kuwakwepa Russia na sasa sijui kama watamwacha salama. Marekani je wameshaacha kumtumia?
 
Back
Top Bottom