denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Ningependa fursa ya kukaa naye karibu hata siku moja, ningeeleza kitu pia. Ila kwa sasa ngoja niendelee kuwa msoma taarifa zake na ku take note.ndo maana haeleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningependa fursa ya kukaa naye karibu hata siku moja, ningeeleza kitu pia. Ila kwa sasa ngoja niendelee kuwa msoma taarifa zake na ku take note.ndo maana haeleweki
Hiyo picha hapo uliyoiweka hapo juu ni ya Fuat Kurbanov na sio Max. Fuat kwa sasa yupo Baltimore, Maryland US.
niliweka ya fuati niliupload different kimakosa.Hiyo picha hapo uliyoiweka hapo juu ni ya Fuat Kurbanov na sio Max. Fuat kwa sasa yupo Baltimore, Maryland US.
haha itapendeza sanaNingependa fursa ya kukaa naye karibu hata siku moja, ningeeleza kitu pia. Ila kwa sasa ngoja niendelee kuwa msoma taarifa zake na ku take note.
Hana undugu na Falzliddin. Lakini nakuacha uendelee kuwalisha vijana wenzako matango pori.niliweka ya fuati niliupload different kimakosa.
We nawe!Hana undugu na Falzliddin. Lakini nakuacha uendelee kuwalisha vijana wenzako matango pori.
Kwanini kama unajua lolote jambo usituwekee hapa ?Hana undugu na Falzliddin. Lakini nakuacha uendelee kuwalisha vijana wenzako matango pori.
Nimeshaacha watu walishwe matango pori. Mimi sipo.We nawe!
Sina huo muda.Kwanini kama unajua lolote jambo usituwekee hapa ?
So huu muda wa kuandika hapa unautoa wapi?Sina huo muda.
achana naye huyo, aliyeleta habari ni mimi kutoka chanzo cha moja kwa moja,So huu muda wa kuandika hapa unautoa wapi?
Sasa nn faida ya uwepo wako? ubinafsi huoNimeshaacha watu walishwe matango pori. Mimi sipo.
hapa tunaoingelea kurbashnov yeye anasema kurbanov wapi na wapi?We nawe!
Endeleeni kuburudika. Ha ha ha, matango pori ni matamu sana.Sasa nn faida ya uwepo wako? ubinafsi huo
matango pori yapi kurbashnov na kurbanov ni watu wawili tofauti baada ya kuangalia vema nikaenda kutafta jina nakuta ni wawili tofaut unachanganyaNimeshaacha watu walishwe matango pori. Mimi sipo.
hajui kitu huyo, angalia anachobish ulinganishe na uzi ,majina anayosema ni kudanganya tu hayafanani na niliyosemaWe nawe!
umeeleweka! piga kazihapa tunaoingelea kurbashnov yeye anasema kurbanov wapi na wapi?
Wewe; ni vyema ukaacha kujifanya mjuaji. Lakini kama umeamua kuburudisha jukwaa basi endelea.matango pori yapi kurbashnov na kurbanov ni watu wawili tofauti baada ya kuangalia vema nikaenda kutafta jina nakuta ni wawili tofaut unachanganya
hahahaha mjuaji ni yule anayefanya kukosoa wakati hajui au mjuaji ni yule anayeleta alichoambiwa, hahaha Tanzania tuna kazi MEMKWA siku hizi hakuna sijui?Wewe; ni vyema ukaacha kujifanya mjuaji. Lakini kama umeamua kuburudisha jukwaa basi endelea.