Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Ulivyoandika utadhani ulishafika hiyo miaka 30, kumbe bado.
Nikupe tu siri, umri hauna maana yoyote katika namba bali katika uhalisia wa maumbile, maisha na majukumu.

Kwa mfano, binti aliyefikisha miaka 30 na bado hajaolewa, hiyo inaweza kumpa shida wakati mvulana wa umri huo huo anaendelea kula maisha ya ubachela kwa raha, furaha na amani.

Kijana aliyemaliza shule ya msingi na kuingia mtaani akifikisha miaka 20 na bado hajafikia malengo yake ya msingi (ajira, mke/mtoto, kujitegemea) anaweza kujihisi umri umemtupa mkono na bado hajafanya kitu. Wakati huo huo msomi wa chuo kikuu anaweza kuwa amefikisha miaka 30 ana ajira ya kudumu, bado anakula na kulala kwa wazazi wake, hajui lini atachumbia na kila kitu anaona bado.

Age with life is a complex parabox.
 
Daaah
 
JItahid uvuke hii hatua ya fikra ili ujiwekee mazingira ya kufanikiwa..live your life and let no one mess up with your confidence.. and last, no one cares. They dont even think about you.
Just live ur hustles
Dunia kukuzomea am not necessarily speaking about people naongelea tu mtu binafsi namna unajisikia,
Mfano una miaka 30 na mke na mtoto halafu unakaa kwenye mazingira ambayo sio mazuri na huna namna as a person unajisikia vibaya hata bila mtu kukwambia
Fikiria umetokea ukoo wa watu wengi mmekutana kusanyiko la sikuu among your peers wewe peke yako ndo unabangaiza (ndugu zako hawaihitaju kukusimanga but wewe as a person unajikuta tu you feel out of place)
 
Sasa hii ni rahis zaid. Jikubali kwa situation ulionayo kwa wakat huo. Kujiskia vibaya kupo tu but kunabadilisha nni baada ya kujisikia vibaya.

Mimi binafsi niliacha kujichanganya kwenye vitu kama hivyo ambavyo najua kabisa nikienda nitakua disapointed so i pulled myself off - every interaction ambazo zitanifanya ni feel down..
 
✌🏿
 
Nikiwa na miaka 19 tayari nilikua nchi jirani nikifanya mazoezi ya uandishi wa habari.

Nilibahatika kufika maeneo mbali mbali kwa kazi hiyo.

Kabla ya huko mbeleni kuja kubadili taaluma.

Nashukuru Mungu sana mpaka sasa nimefanya mambo mengi tu.


I am happy.
 
Ipo siku nitaacha ubishani hapa jukwaani maana kuna muda utabishana na kaka zako na baba zako na mwisho unawashushia heshima waliokuzidi au uliowazidi ilihali sikufunzwa hivyo .

God bless you DR HAYA LAND lakini asikubariki wewe pekee yako aibariki na timu ya Manchester United .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi kujisikia vibaya makes me work harder in every area nnayotaka kuimprove.
Progress inaleta furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…