Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Maisha ni tofauti na unavyofikiria binafsi nilijapata nikiwa na miaka 27 nilijipata haswa ila mambo yakaja kuharibika nikiwa na miaka 34.
Sasa hivi nipo 40+ mambo yapo vizuri ila sio kama nilivyokuwa nina miaka 27.
Hii sasa ndio comment zinatokana na experience...Big up mkuu. Nafikir na mimi na trend kama wewe.. i was fine... nika/nime drop mbayaaa and now and levelling
 
maisha kwenye hii miaka ya 20s Bado sana,maana mtu Bado hajajua maumivu ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maumivu ni machungu sanaaa ila somo lake hutakaa usahau maisha yoote.
Ma sio maumivu yanayoukupa direct but yale maumivu ambayo wanayapata watu kwasababu yako wewe, hukurudia kwa uzito x100.

Yan una mke au watoto then life limekuchapa halaf unaona wanao na mkeo jinsi wanakosa mahitaji ya msingi kuishi gud life kisa tuu wewe mambo yamekukwamia..aisee halaf mbaya zaid unapowatazama wanao wao kwakua hawaelewi basi wanajionea sawa tuu ,hii ndio hutia UCHUNGU ZAID machoz unaenda kulilia nje peke yako.

Hapa ndio mtu anaweza kubali hata kuwa mpiga deal hatar.
 
Hapana. Wewe ni wangu kamanda.. ni moja kati ya watu walinipa msukumo na presha ya kutoka nje ya box kuhusu masuala ya maisha mdogo angu. ushawah kuona mtu anashaur mtu aache kaz wakat hana kazi? πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nimekusoma budaaa. Nilikuwa najiuliza mbona sikuoni

Halafu sio kwamba sikuwa na kazi Ila niliacha kazi Ila si unaona mambo 😁😁
 
Nilifikisha miaka 30 nikiwa tayari nimejenga mjini nyumba za wapangaji tano na za kuishi na wazazi wangu 2 na nimenunua viwanja ambavyo sikuwa nimejenga 3 ila sikuwa na mke wala mtoto
Hii comment itawapa watu depression au sonona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Mkuu big up japo sio poa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Siri yamaisha ni.πŸ‘‰helayako yakazi yakwanza kabisa iwe ndogo au kubwa ndio yakufanyia malengo sasa wewe kalewee au kahonge au kulavizuri halafu badae utajilaumu sanaa
Hii technique ndio angalau inanipa afuheni kipindi hiki cha mdondoko wa kiuchumi.
The moment tu nimetoka shule nikaanza kupata pesa nilitumia nguvu kubwa kwa kila senti nayopata
- kujenga family na mahala pao pa kuishi.
 
Hii sasa ndio comment zinatokana na experience...Big up mkuu. Nafikir na mimi na trend kama wewe.. i was fine... nika/nime drop mbayaaa and now and levelling
Ukiwa na pesa halafu ukaja ukadrop kuja kurudi kileleni ni kipengele sana tena sana na usipokuwa makini unajikuta umeangukia katika ulevi,kikubwa ukipata nafasi itumie vizuri
 
Ukiwa na pesa halafu ukaja ukadrop kuja kurudi kileleni ni kipengele sana tena sana na usipokuwa makini unajikuta umeangukia katika ulevi,kikubwa ukipata nafasi itumie vizuri
Binfasi siku na pesa ila nilikua na kipato kwakua nilikua nafanya kazi. Nikaamua kuacha kazi nankuanza kufanya biashara kulingana na proffesion yangu so kipato kikakata ngaaa!!! now am fighting to build new income channels ambazo zitakua endelevu even after am no longer. Hii kandanda sasa ya buznes establishment ndio kasheshe yenyewe
 
Upo sahihi Sana Self awareness ni silaha muhimu katika MAISHA maana TANZANIA watu wanafanya Kazi ila kwa kuikosa self-awereness unajikuta you end up being broke

To be smarter matter most in this life.
Tatizo laanzia utotoni na familia zetu.
Tumekuzwa kwenye familia ambazo hazina bajeti wala hazina malengo
 
Back
Top Bottom