Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Apunguze saut kabisa.
Ongea taratibu mwanetu, usitoe sauti😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea taratibu mwanetu, usitoe sauti😂
Noma kweli 😀Ongea taratibu mwanetu, usitoe sauti😂
Hana baya huyo anasomekaKabisa yuko real alegeze vikwazo tu.
Dr una mtoto ana 20s? If yes hongera Sana Mungu aendelee kukubariki ili tuvune hekima zako.Hujambo Mwanangu?
PRoo wa nyeto. Wewe utazee unanyetuka bila shakaNakubali Sana Mada Zako
Welcome ..am right here. Ila ukifika hapa acha nyeto kijana utakichomoa kidude hichoNakimbilia 34
Atakuja na uzi mwingine.Ngoja ifike sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa mkuu kwa hii comment mbona kama unataka kuhamisha magoli tubali mchezo!? 😂😂😂😍Hiyo miaka 30 kwa mwanamke tayari kashakuwa msimbe au kibungo kwa ambao hado hawajaolewa huwa wanahaha sana kutafuta mume kwa manabii, wengine kwa waganga
Utawasikia wengine wakijifariji kwanza kuolewa sio lazima
Ikitokea akapata ZALI la kuolewa kwenye harusi anaruka ruka kama ndama na nyimbo za vijembee kibao
Ndo unajua kumbee alikuwa anaitaka😂😂
Unauza kumbe???Umri huo unatakiwa angalau uwe umeshaonja KIJAMBIO CHA BICHWA KOMWE
Unafeli wapi
Yan balaa.Binafsi mimi siku hiz nataman angalau siku iwe japo na masaa 34..Yan naona siku zinakimbia balaaUkiwa unasindikiza jua tu bila cha kufanya, miaka huwa haisogei ila ukiwa busy, utaona miaka inakimbia.
By the way, ukishavuka 25 hapo presha za maisha zinaanza kuwa intensive
Wewe hata 30 umesema hauna halaf 34 uione ndogo.Kwakifup 34 tushakua vikongwe tayariBado dogo sana,msalimie wifi wese.
Ahahah pambana bwana mdogo acha hizi habar ! 😂😂😂Unakosa nauli ya kupanda boda usafiri ukisumbua halafu unawaona classmates kila siku wanapost flights tu. Lazma uchanganyikiwe lakini kama unamuamini Mungu walo, na kujua kila mtu ana safari yake.
Utaweka akili zaidi kwenye michakato
Kuwa staa (hasa kibongo bongo) wala kusikushtue maana hakuendani kabisaa na uhalisia wa maisha. Watu maarufu kibao tu bongo ni maarufu ila ni masikini mpaka hurumaYani Aslay, Janjaro, Elizabeth Michael ndio agemate wangu ila wao mastaa kitamboo
JItahid uvuke hii hatua ya fikra ili ujiwekee mazingira ya kufanikiwa..live your life and let no one mess up with your confidence.. and last, no one cares. They dont even think about you.Ukiwa hujatoboa kwa kiasi ambacho ulitarajia au ukiwa unabangaiza unakosa confidence, unahisi kama dunia inakuzomea
Kwa asilimia kubwa kibongo bongo hii ni kwel.Kwa mtindo wa Maisha yetu Uchumi na hatakati za kujitafuta na kujipata 30 naona hapana may be 40 ndio muda sahihi wa kujifanyia self evaluation
Yaan kitaa mtu ako na 32 lakini bado 0_0
Azingatie huu ushauriCalm down kijana. Ukifika 45 njoo hapa tujadili.
Yeah Mkuu, Mtoto wangu wa Kwanza kamaliza chuo mwaka Jana 😅😅 ana miaka 23Dr una mtoto ana 20s? If yes hongera Sana Mungu aendelee kukubariki ili tuvune hekima zako.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kaka unanisagia kunguniAhahah pambana bwana mdogo acha hizi habar ! 😂😂😂