Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanaume tulivyo jasiri bado tutamtafuta tu na kuendelea kumuhonga
binamu mie nilimchokozaje..... haaaaaaa team yake wacha wanijie juu
mie nawa enjoy tu.......wakinijibu najibu
ni lulu jamani msiwe wabishi, mbona mastaa jana walimpost kumtambulisha, na ndugu yake muna kathibitisha ni lulu mwenyewe, ata anavyochamba ni lulu kabisa michambo yake naijua
Hatukatai Akaunti Ni Yake Kweli.Lakini Kuna Mtu Wake Wa Karibu Anamsaidia Kumjibia.Huyo Ni Mtu Wake Wa Karibu Sana Na Anauzoefu Wa Jinsi Lulu Anavyorespond Na Ndomana Hauoni Tofauti.
Lakini Lulu Kama Lulu Hana uwezo Wa Kuiface Jamii Na Kulopoka Maneno Yote Hayo Kwasasa
Kwa nini asiwe na jasiri huo? Kama aliweza kumjibu kunya mama kanumba aliyemsababishia ajali ya kifo cha mwanae atashindwa kuwajibu mburulaz wa mitandaoni ambao hawampi gari wala kumlipigia kodi ya nyumba? Mimi mwenyewe sioni sababu ya kuwaogopa watu kwani kaua?
Khaaaaa!Ujue jana mlivyokua mnasema lulu karudi nilikua siamini,sasa hivi mnavyosema hapa ndio naanza kuelewa.Ngoja nikashangae umbea insta mie.
Mmmmh!.Kama Ni Kweli Ni Yeye Basi Huyu Mtoto Ana Laana.Na Kumbe Yanayomtokea Sio Bure Amedhamilia Na Amejitoa Muhanga Kweli Kweli.Na Ndomana Wala Hajutii Yanayomtokea.
Hatukatai Akaunti Ni Yake Kweli.Lakini Kuna Mtu Wake Wa Karibu Anamsaidia Kumjibia.Huyo Ni Mtu Wake Wa Karibu Sana Na Anauzoefu Wa Jinsi Lulu Anavyorespond Na Ndomana Hauoni Tofauti.
Lakini Lulu Kama Lulu Hana uwezo Wa Kuiface Jamii Na Kulopoka Maneno Yote Hayo Kwasasa
Yes, ni yeye mimi niliamini baada ya ndugu wake wa karibu muna kuthibitisha ni yeye, khaa sio michambo jana lulu kagawa dozi ya maana, dah naona stress zimeshamuisha yule