Baada ya kufiwa na mpenzi wake, Lulu arudi Instagram kwa kishindo

Na wanaume tulivyo jasiri bado tutamtafuta tu na kuendelea kumuhonga
 
binamu mie nilimchokozaje..... haaaaaaa team yake wacha wanijie juu
mie nawa enjoy tu.......wakinijibu najibu

JAna palikuwa patamu aseeh, khaa lulu anajiamini yule mmh!! ,maana yaliyomkuta makubwa ila ndo kwanZa hajali anatoa mitusi, kuna mtu alimchamba akamwambia ata yeye anaweza kuwa mama mdogo wake akimpa baba ake, dah jana nahis alionja
 
ni lulu jamani msiwe wabishi, mbona mastaa jana walimpost kumtambulisha, na ndugu yake muna kathibitisha ni lulu mwenyewe, ata anavyochamba ni lulu kabisa michambo yake naijua

yule ni lulu na atakuwa kaomba s/o kwa watu wake wa karibu
 
Hatukatai Akaunti Ni Yake Kweli.Lakini Kuna Mtu Wake Wa Karibu Anamsaidia Kumjibia.Huyo Ni Mtu Wake Wa Karibu Sana Na Anauzoefu Wa Jinsi Lulu Anavyorespond Na Ndomana Hauoni Tofauti.

Lakini Lulu Kama Lulu Hana uwezo Wa Kuiface Jamii Na Kulopoka Maneno Yote Hayo Kwasasa

Kwa nini asiwe na jasiri huo? Kama aliweza kumjibu kunya mama kanumba aliyemsababishia ajali ya kifo cha mwanae atashindwa kuwajibu mburulaz wa mitandaoni ambao hawampi gari wala kumlipigia kodi ya nyumba? Mimi mwenyewe sioni sababu ya kuwaogopa watu kwani kaua?
 
Yes, ni yeye mimi niliamini baada ya ndugu wake wa karibu muna kuthibitisha ni yeye, khaa sio michambo jana lulu kagawa dozi ya maana, dah naona stress zimeshamuisha yule
 
Khaaaaa!Ujue jana mlivyokua mnasema lulu karudi nilikua siamini,sasa hivi mnavyosema hapa ndio naanza kuelewa.Ngoja nikashangae umbea insta mie.
 
Mmmmh!.Kama Ni Kweli Ni Yeye Basi Huyu Mtoto Ana Laana.Na Kumbe Yanayomtokea Sio Bure Amedhamilia Na Amejitoa Muhanga Kweli Kweli.Na Ndomana Wala Hajutii Yanayomtokea.
 
Angalia usije kuzimia maana kuna michambo uko hatar, lulu kiboko, chezeya swahili products ***** wataomha poo
 
Mmmmh!.Kama Ni Kweli Ni Yeye Basi Huyu Mtoto Ana Laana.Na Kumbe Yanayomtokea Sio Bure Amedhamilia Na Amejitoa Muhanga Kweli Kweli.Na Ndomana Wala Hajutii Yanayomtokea.

Ila binadamu tunaudhi sana, ata wewe ungekuwa lulu usingevumilia aseeh, wacha tu awashikishe adabu uko wasimzoee, dah jana katoa dozi matata, hapana chezeya jeshi la mtu mmoja
 
Hatukatai Akaunti Ni Yake Kweli.Lakini Kuna Mtu Wake Wa Karibu Anamsaidia Kumjibia.Huyo Ni Mtu Wake Wa Karibu Sana Na Anauzoefu Wa Jinsi Lulu Anavyorespond Na Ndomana Hauoni Tofauti.

Lakini Lulu Kama Lulu Hana uwezo Wa Kuiface Jamii Na Kulopoka Maneno Yote Hayo Kwasasa

Sasa kwa nini ampe mtu a respond kwenye account yake kama si na yeye wanashauriana ujinga hajifunzi kutukana na makosa kwanini anaendeleza ujeuri wa kijinga na kuruhusu konja akutwe na majanga ka ya kanumba hatapata mteteuzi sijui Hana washauri.
 
wala sio lulu na zipo akaunti nyingi zimeanzishwa na watu wanaotafuta wakuwafollow
 
Yes, ni yeye mimi niliamini baada ya ndugu wake wa karibu muna kuthibitisha ni yeye, khaa sio michambo jana lulu kagawa dozi ya maana, dah naona stress zimeshamuisha yule

Kwan ufoo saro baada ya majanga na mume wake ilichukua muda gani kusikia tena ufoo saro ITV?
 
Duh!! Shikamoo Lulu, wameshakuelewa... umetishaa

Screenshot from 2015-04-24 13:28:20.png
 
Back
Top Bottom