Baada ya kufuatilia kwanini Twaha Mwaipaya ameng'ang'ania ofisi za CHADEMA baada ya uongozi wake kuisha, kumbe biashara yake ni kufuga njiwa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema.

Njaa haina rafiki, bado anafukuzia posho za chama.

Kumbe huyu jamaa kazi yake nje ya siasa ni kufuga njiwa.

Njiwa hizo anazipandikiza bei za uongo zionekane zionekane gharama kumbe ni ujanja ujanja tu. Hivi maisha ya Dar unaweza kutoboa kwa kuuza njiwa?

Labda kwa waganga wa kienyeji wazitumie kurushia watu majini. Eti njiwa wanakuwa wakubwa kama kuku, helo maza!

Screenshot_20250217-111733.jpg
 
Nimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema.

Njaa haina rafiki, bado anafukuzia posho za chama......

Kumbe huyu jamaa kazi yake nje ya siasa ni kufuga njiwa.

Njiwa hizo anazipandikiza bei za uongo zionekane zionekane gharama kumbe ni ujanja ujanja tu. Hivi maisha ya Dar unaweza kutoboa kwa kuuza njiwa? Labda kwa waganga wa kienyeji wazitumie kurushia watu majini.
nijwa maalumu sio?🐒
 
Nimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema.

Njaa haina rafiki, bado anafukuzia posho za chama......

Kumbe huyu jamaa kazi yake nje ya siasa ni kufuga njiwa.

Njiwa hizo anazipandikiza bei za uongo zionekane zionekane gharama kumbe ni ujanja ujanja tu. Hivi maisha ya Dar unaweza kutoboa kwa kuuza njiwa? Labda kwa waganga wa kienyeji wazitumie kurushia watu majini. Eti njiwa wanakuwa wakubwa kama kuku, helo maza!

View attachment 3239007
Wacha umbea wewe dada
 
Attachments

  • FB_IMG_1737555749105.jpg
    FB_IMG_1737555749105.jpg
    18.6 KB · Views: 1
Kwa wanaoelewa kuhusu hao njiwa wakanunue. Pamoja na upuuzi wake naona hapo Mwaipaya hajavunja sheria za nchi wala za Mungu. Tumtakie kila la heri kwenye biashara yake huyo pandikizi la Mbowe.
Hao njiwa wana faida sana, njiwa wa 1.5M akitaga unatafuta njiwa wa kawaida analalia mayai akitotoa mayai ni 3M nyengine.

Ni risk business sababu paka ama kicheche anaweza ingia na kula milioni 10/20 ila ukiwa serious ina kutoa kimaisha.

Kuna watu wanafanya hio biashara na wana maisha mazuri mno.
 
Hao njiwa ni sawa na bei ya kiwanja chanika aisee!! aache utani na hela
 
Nimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema.

Njaa haina rafiki, bado anafukuzia posho za chama.

Kumbe huyu jamaa kazi yake nje ya siasa ni kufuga njiwa.

Njiwa hizo anazipandikiza bei za uongo zionekane zionekane gharama kumbe ni ujanja ujanja tu. Hivi maisha ya Dar unaweza kutoboa kwa kuuza njiwa?

Labda kwa waganga wa kienyeji wazitumie kurushia watu majini. Eti njiwa wanakuwa wakubwa kama kuku, helo maza!

View attachment 3239007
Hehehe
 
Back
Top Bottom