chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema.
Njaa haina rafiki, bado anafukuzia posho za chama.
Kumbe huyu jamaa kazi yake nje ya siasa ni kufuga njiwa.
Njiwa hizo anazipandikiza bei za uongo zionekane zionekane gharama kumbe ni ujanja ujanja tu. Hivi maisha ya Dar unaweza kutoboa kwa kuuza njiwa?
Labda kwa waganga wa kienyeji wazitumie kurushia watu majini. Eti njiwa wanakuwa wakubwa kama kuku, helo maza!