nijwa maalumu sio?🐒Nimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema.
Njaa haina rafiki, bado anafukuzia posho za chama......
Kumbe huyu jamaa kazi yake nje ya siasa ni kufuga njiwa.
Njiwa hizo anazipandikiza bei za uongo zionekane zionekane gharama kumbe ni ujanja ujanja tu. Hivi maisha ya Dar unaweza kutoboa kwa kuuza njiwa? Labda kwa waganga wa kienyeji wazitumie kurushia watu majini.
Wacha umbea wewe dadaNimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema.
Njaa haina rafiki, bado anafukuzia posho za chama......
Kumbe huyu jamaa kazi yake nje ya siasa ni kufuga njiwa.
Njiwa hizo anazipandikiza bei za uongo zionekane zionekane gharama kumbe ni ujanja ujanja tu. Hivi maisha ya Dar unaweza kutoboa kwa kuuza njiwa? Labda kwa waganga wa kienyeji wazitumie kurushia watu majini. Eti njiwa wanakuwa wakubwa kama kuku, helo maza!
View attachment 3239007
Hao njiwa wana faida sana, njiwa wa 1.5M akitaga unatafuta njiwa wa kawaida analalia mayai akitotoa mayai ni 3M nyengine.Kwa wanaoelewa kuhusu hao njiwa wakanunue. Pamoja na upuuzi wake naona hapo Mwaipaya hajavunja sheria za nchi wala za Mungu. Tumtakie kila la heri kwenye biashara yake huyo pandikizi la Mbowe.
Sasa kuileta humu inasaidia nini au wewe ndiye afisa masoko wake?Ni ukweli, sio umbeya
Au UDUVIWatu wanauzA paka sembuse njiwa
Ova
HeheheNimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema.
Njaa haina rafiki, bado anafukuzia posho za chama.
Kumbe huyu jamaa kazi yake nje ya siasa ni kufuga njiwa.
Njiwa hizo anazipandikiza bei za uongo zionekane zionekane gharama kumbe ni ujanja ujanja tu. Hivi maisha ya Dar unaweza kutoboa kwa kuuza njiwa?
Labda kwa waganga wa kienyeji wazitumie kurushia watu majini. Eti njiwa wanakuwa wakubwa kama kuku, helo maza!
View attachment 3239007
Hii kusema au kumwambia umemuita mara tatu sio kauli ya kiume. ManMtoto wa kiume, mtoto wa kiume mtoto wa kiume, nime kuita mara tatu!