Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Usafi Ni kipengele Sana kea watu wengi, especially kwenye maeneo ya vyakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti ungekuja na picha ingependeza ila huu ni uchochezi umenyimwa papa na mama muuza chakula sasa unawaharibia biasharaNikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%. Nitasimulia cha mgahawa mmoja, kwa niaba ya mingine. Ikawa hivi;
Katoka chooni moja kwa moja hadi kwenye dishi lenye maji anayooshea vyombo na kutosa mkono wake wa kulia kujichuuzia maji kwa kutumia kiganja cha huo mkono wa kulia.......nilishangaa!
Kachukua sabuni ya unga ya kuoshea vyombo kwa mtindo wa kupamba (maana aliiweka tu katika chombo cha wazi (sahani) kwa kutumia mkono wake wa kushoto na kuendelea kujisuuzia maji na sasa akijihesabu ndo ananawa na sabuni.
Nikasema ngoja nifike na huko chooni kwenyewe kwanza nikaangalie mazingira. Nikaomba ruhusa kwamba naenda kujisaidia haja ndogo. Kwakuwa mi ni mzoefu wakaniruhusu......kufika huko Mungu wangu!!! Inye zinaonekana hovyo hovyo, uchafu mtupu.
Sili tena migahawani.
Aaaaghhrrrrr!!! Yaaaani hovyohovyo tu aaah!!! (In lupyana classic's voiceNikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%. Nitasimulia cha mgahawa mmoja, kwa niaba ya mingine. Ikawa hivi;
Katoka chooni moja kwa moja hadi kwenye dishi lenye maji anayooshea vyombo na kutosa mkono wake wa kulia kujichuuzia maji kwa kutumia kiganja cha huo mkono wa kulia.......nilishangaa!
Kachukua sabuni ya unga ya kuoshea vyombo kwa mtindo wa kupamba (maana aliiweka tu katika chombo cha wazi (sahani) kwa kutumia mkono wake wa kushoto na kuendelea kujisuuzia maji na sasa akijihesabu ndo ananawa na sabuni.
Nikasema ngoja nifike na huko chooni kwenyewe kwanza nikaangalie mazingira. Nikaomba ruhusa kwamba naenda kujisaidia haja ndogo. Kwakuwa mi ni mzoefu wakaniruhusu......kufika huko Mungu wangu!!! Inye zinaonekana hovyo hovyo, uchafu mtupu.
Sili tena migahawani.
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunichekiNikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%. Nitasimulia cha mgahawa mmoja, kwa niaba ya mingine. Ikawa hivi;
Katoka chooni moja kwa moja hadi kwenye dishi lenye maji anayooshea vyombo na kutosa mkono wake wa kulia kujichuuzia maji kwa kutumia kiganja cha huo mkono wa kulia.......nilishangaa!
Kachukua sabuni ya unga ya kuoshea vyombo kwa mtindo wa kupamba (maana aliiweka tu katika chombo cha wazi (sahani) kwa kutumia mkono wake wa kushoto na kuendelea kujisuuzia maji na sasa akijihesabu ndo ananawa na sabuni.
Nikasema ngoja nifike na huko chooni kwenyewe kwanza nikaangalie mazingira. Nikaomba ruhusa kwamba naenda kujisaidia haja ndogo. Kwakuwa mi ni mzoefu wakaniruhusu......kufika huko Mungu wangu!!! Inye zinaonekana hovyo hovyo, uchafu mtupu.
Sili tena migahawani.
Usifanye maisha kuwa magumu.Naunga mkono hoja..
Mwanaume Unaaga/uaacha kazi zako kabisa mchana eti unaenda Geto kujipikia ni Upungufu wa akili mwilini, upotezaji pesa na muda.
Kuna mwaka mkuu wa mkoa wa lringa , kreluuu alifariki na kipindupindu, jiulize kwake vijakazi wangapi wa usafi, kwenye magonjwa kuomba mungu tu.
Ukiona mtu ana tabia za uchafu elewa kuwa huyo si mswahili, huyo ni mshenzi anaeongea Kiswahili.Endelea kujifariji na kuwafiriji hivyo uswahilini
Labda, Ila nilisikia sehemu watu wa iringa wanasema Kuna mwaka mkuu wa mkoa alikufa na kip..Kreluu siyo alipigwa risasi na Mwamwindi?
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
Sijui hii biashara hufanywa na watu waliokata tamaa na Maisha. Da, siku Fulani nipo kwenye mgahawa wa taasisi Fulani, Sasa kwenye lile eneo la kunawia mikono c Huwa kuna ndoo yenye maji tiririka na ndoo kwa ajili ya kupokea maji machafu. Kilichonishangaza baada ya watu kunawa Huwa wanajifuta na tishu then wanatupa kwenye ndoo inayopokea maji machafu. Ghafla namuona mhudumu anazitoa zile tishu kwa mikono kutoka kwenye Yale maji na kukazikamua alafu akazitupa, alafu alochokifanya akajifuta mikono kwa kanga then namuona kachukua nyanya anakata kachumbari bila hata ya kunawa. Ilibidi nimuite nimwambie mbona hakunawa mikono akanijibu nimejifuta vizuri na kanga kwa hiyo Haina shida. Ndio ulikuwa mwisho wa mazoea ya kula migahawani lamda iwe imebidi
Kweli kabisa,hata hoteli restaurant kubwa sjui 10 stars nk..yanayofanyikaUkimchunguza sana bata, hutokuja kumla kamwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui hii biashara hufanywa na watu waliokata tamaa na Maisha. Da, siku Fulani nipo kwenye mgahawa wa taasisi Fulani, Sasa kwenye lile eneo la kunawia mikono c Huwa kuna ndoo yenye maji tiririka na ndoo kwa ajili ya kupokea maji machafu. Kilichonishangaza baada ya watu kunawa Huwa wanajifuta na tishu then wanatupa kwenye ndoo inayopokea maji machafu. Ghafla namuona mhudumu anazitoa zile tishu kwa mikono kutoka kwenye Yale maji na kukazikamua alafu akazitupa, alafu alochokifanya akajifuta mikono kwa kanga then namuona kachukua nyanya anakata kachumbari bila hata ya kunawa. Ilibidi nimuite nimwambie mbona hakunawa mikono akanijibu nimejifuta vizuri na kanga kwa hiyo Haina shida. Ndio ulikuwa mwisho wa mazoea ya kula migahawani lamda iwe imebidi
Unaweza kuwa nadhifu ila hujui "hygiene" ya chakula.Ukiona mtu ana tabia za uchafu elewa kuwa huyo si mswahili, huyo ni mshenzi anaeongea Kiswahili.
Waswa hili tunafundisha kuanzia wadogo kuwa "annadha minnal iman", Unadhifu upo kwenye imani.
HeheheBadala ya kuonesha upendo kwa kumuelimisha ili sisi walaji sugu wa migahawani tuepushwe kulishwa masalia ya malowatoni, wewe unawaaka na kujiapiza.
Bana eeh kila mtu ashinde mechi zake
Huu ni ujinga.Kaka kuwa mpole ukifuatilia kila unachokula jinsi kinavyoandalia hata cha mkeo au dada wa ndani hutokula. Ni bora ujifanye hujaona wala hujui utaishia maisha safi.
Mama yangu aliwahi kuniambia kuwa hakuna sababu wala umuhimu wa kwenda kupima afya zetu kila mara hata kama hauumwi kwani tunatembea na magonjwa mengi mwilini bila kujua.
Vipi lakini ukimcheki yeye, huyo mdada/mmama, analipa kwa matumizi ya binadamu? Hilo ndiyo ulipaswa kufungua nalo mjadala mkuu.Nikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%.
Nitasimulia cha mgahawa mmoja, kwa niaba ya mingine. Ikawa hivi;
Katoka chooni moja kwa moja hadi kwenye dishi lenye maji anayooshea vyombo na kutosa mkono wake wa kulia kujichuuzia maji kwa kutumia kiganja cha huo mkono wa kulia. Nilishangaa!