Baada ya kufuatilia uendaji wa chooni wa huyu dada muuza mgahawa, nimejiapiza sili tena migahawa ya uswahilini

Usafi Ni kipengele Sana kea watu wengi, especially kwenye maeneo ya vyakula
 
Nikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%. Nitasimulia cha mgahawa mmoja, kwa niaba ya mingine. Ikawa hivi;

Katoka chooni moja kwa moja hadi kwenye dishi lenye maji anayooshea vyombo na kutosa mkono wake wa kulia kujichuuzia maji kwa kutumia kiganja cha huo mkono wa kulia.......nilishangaa!

Kachukua sabuni ya unga ya kuoshea vyombo kwa mtindo wa kupamba (maana aliiweka tu katika chombo cha wazi (sahani) kwa kutumia mkono wake wa kushoto na kuendelea kujisuuzia maji na sasa akijihesabu ndo ananawa na sabuni.

Nikasema ngoja nifike na huko chooni kwenyewe kwanza nikaangalie mazingira. Nikaomba ruhusa kwamba naenda kujisaidia haja ndogo. Kwakuwa mi ni mzoefu wakaniruhusu......kufika huko Mungu wangu!!! Inye zinaonekana hovyo hovyo, uchafu mtupu.

Sili tena migahawani.
Utafiti ungekuja na picha ingependeza ila huu ni uchochezi umenyimwa papa na mama muuza chakula sasa unawaharibia biashara
 
Nikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%. Nitasimulia cha mgahawa mmoja, kwa niaba ya mingine. Ikawa hivi;

Katoka chooni moja kwa moja hadi kwenye dishi lenye maji anayooshea vyombo na kutosa mkono wake wa kulia kujichuuzia maji kwa kutumia kiganja cha huo mkono wa kulia.......nilishangaa!

Kachukua sabuni ya unga ya kuoshea vyombo kwa mtindo wa kupamba (maana aliiweka tu katika chombo cha wazi (sahani) kwa kutumia mkono wake wa kushoto na kuendelea kujisuuzia maji na sasa akijihesabu ndo ananawa na sabuni.

Nikasema ngoja nifike na huko chooni kwenyewe kwanza nikaangalie mazingira. Nikaomba ruhusa kwamba naenda kujisaidia haja ndogo. Kwakuwa mi ni mzoefu wakaniruhusu......kufika huko Mungu wangu!!! Inye zinaonekana hovyo hovyo, uchafu mtupu.

Sili tena migahawani.
Aaaaghhrrrrr!!! Yaaaani hovyohovyo tu aaah!!! (In lupyana classic's voice
 
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
 
Migahawani generally tunalishwa uchafu mwingi sana

Ukifatilia vizuri ni kinyaa sana.

Msosi wa nyumbani ni salama na safi zaidi.
 
Naunga mkono hoja..
Mwanaume Unaaga/uaacha kazi zako kabisa mchana eti unaenda Geto kujipikia ni Upungufu wa akili mwilini, upotezaji pesa na muda.
Usifanye maisha kuwa magumu.

Pika geto kwako weka kwenye container ukikika job kama mna microwave unapasha safi kabisa

Kula ni IBADA usile vyakula vyenye uchafu uchafu hujui vimepikwaje
 
Kreluu siyo alipigwa risasi na Mwamwindi?
Kuna mwaka mkuu wa mkoa wa lringa , kreluuu alifariki na kipindupindu, jiulize kwake vijakazi wangapi wa usafi, kwenye magonjwa kuomba mungu tu.
 
Endelea kujifariji na kuwafiriji hivyo uswahilini
Ukiona mtu ana tabia za uchafu elewa kuwa huyo si mswahili, huyo ni mshenzi anaeongea Kiswahili.

Waswa hili tunafundisha kuanzia wadogo kuwa "annadha minnal iman", Unadhifu upo kwenye imani.
 
Sijui hii biashara hufanywa na watu waliokata tamaa na Maisha. Da, siku Fulani nipo kwenye mgahawa wa taasisi Fulani, Sasa kwenye lile eneo la kunawia mikono c Huwa kuna ndoo yenye maji tiririka na ndoo kwa ajili ya kupokea maji machafu. Kilichonishangaza baada ya watu kunawa Huwa wanajifuta na tishu then wanatupa kwenye ndoo inayopokea maji machafu. Ghafla namuona mhudumu anazitoa zile tishu kwa mikono kutoka kwenye Yale maji na kukazikamua alafu akazitupa, alafu alochokifanya akajifuta mikono kwa kanga then namuona kachukua nyanya anakata kachumbari bila hata ya kunawa. Ilibidi nimuite nimwambie mbona hakunawa mikono akanijibu nimejifuta vizuri na kanga kwa hiyo Haina shida. Ndio ulikuwa mwisho wa mazoea ya kula migahawani lamda iwe imebidi
 
Kuna mgahawa nilikua nikila lazima niendeshe[emoji28],walikua na chakula kitamu ila ilinibidi niache kula hapo.
 
Sijui hii biashara hufanywa na watu waliokata tamaa na Maisha. Da, siku Fulani nipo kwenye mgahawa wa taasisi Fulani, Sasa kwenye lile eneo la kunawia mikono c Huwa kuna ndoo yenye maji tiririka na ndoo kwa ajili ya kupokea maji machafu. Kilichonishangaza baada ya watu kunawa Huwa wanajifuta na tishu then wanatupa kwenye ndoo inayopokea maji machafu. Ghafla namuona mhudumu anazitoa zile tishu kwa mikono kutoka kwenye Yale maji na kukazikamua alafu akazitupa, alafu alochokifanya akajifuta mikono kwa kanga then namuona kachukua nyanya anakata kachumbari bila hata ya kunawa. Ilibidi nimuite nimwambie mbona hakunawa mikono akanijibu nimejifuta vizuri na kanga kwa hiyo Haina shida. Ndio ulikuwa mwisho wa mazoea ya kula migahawani lamda iwe imebidi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukiona mtu ana tabia za uchafu elewa kuwa huyo si mswahili, huyo ni mshenzi anaeongea Kiswahili.

Waswa hili tunafundisha kuanzia wadogo kuwa "annadha minnal iman", Unadhifu upo kwenye imani.
Unaweza kuwa nadhifu ila hujui "hygiene" ya chakula.
Kuna waswahili wengi sana walio nadhifu ila hawajui umuhimu wa kunawa mikono na sabuni kabla ya kula, barabarani watashika shika mahindi yanayochomwa kuchagua kabla ya kununua na pia kama ni wahudumu utakuta wanajishika shika pua, masikio na kuchokonoa meno huku wanahudumia wateja.
 
Kaka kuwa mpole ukifuatilia kila unachokula jinsi kinavyoandalia hata cha mkeo au dada wa ndani hutokula. Ni bora ujifanye hujaona wala hujui utaishia maisha safi.

Mama yangu aliwahi kuniambia kuwa hakuna sababu wala umuhimu wa kwenda kupima afya zetu kila mara hata kama hauumwi kwani tunatembea na magonjwa mengi mwilini bila kujua.
Huu ni ujinga.
 
Nikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%.

Nitasimulia cha mgahawa mmoja, kwa niaba ya mingine. Ikawa hivi;

Katoka chooni moja kwa moja hadi kwenye dishi lenye maji anayooshea vyombo na kutosa mkono wake wa kulia kujichuuzia maji kwa kutumia kiganja cha huo mkono wa kulia. Nilishangaa!

Kachukua sabuni ya unga ya kuoshea vyombo kwa mtindo wa kupamba (maana aliiweka tu katika chombo cha wazi (sahani) kwa kutumia mkono wake wa kushoto na kuendelea kujisuuzia maji na sasa akijihesabu ndo ananawa na sabuni.

Nikasema ngoja nifike na huko chooni kwenyewe kwanza nikaangalie mazingira. Nikaomba ruhusa kwamba naenda kujisaidia haja ndogo. Kwakuwa mi ni mzoefu wakaniruhusu......kufika huko Mungu wangu!!! Inye zinaonekana hovyo hovyo, uchafu mtupu.

Sili tena migahawani.
Vipi lakini ukimcheki yeye, huyo mdada/mmama, analipa kwa matumizi ya binadamu? Hilo ndiyo ulipaswa kufungua nalo mjadala mkuu.
 
Back
Top Bottom