Hivyo vingine zingatia ule vyamoto na kwa hali ya maisha ilivyo kwa sasa aise ujanjajanja umekua mwingi sana hata kwa hawa mamalishe bila kujali afya ya mlaji imagine ugali/wali unaekwa amila🙌Kama huwezi kubeba msosi wako kutoka nyumbani....basi acha kuchunguza utakutana na vitu vya ajabu sana
Wasafiri, wafanyakazi tunalishwa vingi sana hata hizi 5 star hotel bado Kuna vitu vya ajabu sana basi tu...we kula pita hivi 👉 au beba chakula kutoka kwako
Kitu kimenishinda ni juice ya kutengeneza usafi wake huwa ni 0% ila vingine ni Mungu tu
Uwiiii me ningeondokaKuna mgahawa nilienda walikuwa ndio wanaandaa cha mchana. Nikaagiza kiepe. Wakati nasubiria kiepe nikawa namtazama mdada jikoni (hakuwa mbali sana nilipokaa).
Alikuwa anachambua mboga za majani, ghafla akapiga ule uchafya ulioambatana na kikohozi cha kubanja. Pua ilitoa kamasi nzito na mdomoni kutoka makozi alizuia kwa kukamata/kufumba mdomo wake na kiganja ila it was too late kwasababu tayari vilikuwa vimeshamtoka.
So akawa amebakia kuyashika kiganjani asijue la kufanya akayarusha kwa pembeni fyaaaaaaa halafu akajifuta kwa kiganja na kujipangusa kwenye kanga then akaendelea kuchambua mboga aisee nilipatwa na hali fulani ya kama shock [emoji44] ambayo ni ngumu kuielezea.
Kumbe ndiyo maana kuna wakati unakuta kachakula kana ladha amazing 😍. Mchakato wake huhusisha mambo mengi kama hayo.Kuna mgahawa nilienda walikuwa ndio wanaandaa cha mchana. Nikaagiza kiepe. Wakati nasubiria kiepe nikawa namtazama mdada jikoni (hakuwa mbali sana nilipokaa).
Alikuwa anachambua mboga za majani, ghafla akapiga ule uchafya ulioambatana na kikohozi cha kubanja. Pua ilitoa kamasi nzito na mdomoni kutoka makozi alizuia kwa kukamata/kufumba mdomo wake na kiganja ila it was too late kwasababu tayari vilikuwa vimeshamtoka.
So akawa amebakia kuyashika kiganjani asijue la kufanya akayarusha kwa pembeni fyaaaaaaa halafu akajifuta kwa kiganja na kujipangusa kwenye kanga then akaendelea kuchambua mboga aisee nilipatwa na hali fulani ya kama shock [emoji44] ambayo ni ngumu kuielezea.
Mimi niliacha kunywa kahawa.mtoa mada umechelewa sana kugundua
mimi nishashuhudia mauchafu mengi sana kwenye iyo migahawa ila sikomi kula maana Mungu yupo, ule uji unaouzwa jioni ndo nilijiapiza sitokunywa tena ila mtu asiniulize kwanini maana ni majanga.
uko majumbani ndo usiseme, chai zinachujwa kwa kutumia chupi 😅
WAAFRIKA TUNAISHI KWA KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU
Chapati zingatia sana kinyaa ukiona zinavyoandaliwa.Huyo ni msafi.
Umewahi kuona mkaanga au mchoma chapati wewe? Sema hapana, hapa kijiweni yupo, akimsafisha mtoto ni kwamba kazi inaendelea.
Mungu tu analinda walaji
Heri ya ya wanawake hawana dubwasha la kulishika kuliko wakata makongoro wanaume wanaokwenda kulilengesha dubwasha kwenye tundu la choo kisha kuendelea kukata kongoro bila kunawa.Kwani anakojoa mkononi bro? Mungu atatulinda.
Na wanaosha na maji ya baridiUkienda mgahawani kuchunguza mazingira huwezi kurudi mgahawani,maana ukioangalia wale Binti wanvyoosha vyombo na vijiko huwezi kula,vijiko wanafanya kuchovya na maji huku kikiwa bado na mabaki ya vyakula,anakichomeka kwenye chakula ulichoagiza hivyo hivy kikiwa na mabaki ya vyakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kongoro inakaa jikoni sana...inachemka sanaaa na pia Mwanume hawezi kuwa mchafu km wa kike aiseeHeri ya ya wanawake hawana dubwasha la kulishika kuliko wakata makongoro wanaume wanaokwenda kulilengesha dubwasha kwenye tundu la choo kisha kuendelea kukata kongoro bila kunawa.
Wanaume tuko wachafu kupindukia, tunaweza kukaa wiki bila kuoga, chupi ndiyo usiseme kabisa.Kongoro inakaa jikoni sana...inachemka sanaaa na pia Mwanume hawezi kuwa mchafu km wa kike aisee