Baada ya kufuatilia uendaji wa chooni wa huyu dada muuza mgahawa, nimejiapiza sili tena migahawa ya uswahilini

Nadhani ndio maana waafrika tupo immune sana miili yetu sababu ya kula vyakula asili na sio GMO's lakini muhimu zaidi tunalishwa vyakula vyenye vimelea wa magonjwa bila kujua na mwili unavisoma na kujenga antibiotics kupambana navyo hadi vinatoweka.
 
Kuna mgahawa nilienda walikuwa ndio wanaandaa cha mchana. Nikaagiza kiepe. Wakati nasubiria kiepe nikawa namtazama mdada jikoni (hakuwa mbali sana nilipokaa).

Alikuwa anachambua mboga za majani, ghafla akapiga ule uchafya ulioambatana na kikohozi cha kubanja. Pua ilitoa kamasi nzito na mdomoni kutoka makozi alizuia kwa kukamata/kufumba mdomo wake na kiganja ila it was too late kwasababu tayari vilikuwa vimeshamtoka.

So akawa amebakia kuyashika kiganjani asijue la kufanya akayarusha kwa pembeni fyaaaaaaa halafu akajifuta kwa kiganja na kujipangusa kwenye kanga then akaendelea kuchambua mboga aisee nilipatwa na hali fulani ya kama shock [emoji44] ambayo ni ngumu kuielezea.
 
Kama huwezi kubeba msosi wako kutoka nyumbani....basi acha kuchunguza utakutana na vitu vya ajabu sana
Wasafiri, wafanyakazi tunalishwa vingi sana hata hizi 5 star hotel bado Kuna vitu vya ajabu sana basi tu...we kula pita hivi 👉 au beba chakula kutoka kwako

Kitu kimenishinda ni juice ya kutengeneza usafi wake huwa ni 0% ila vingine ni Mungu tu
Hivyo vingine zingatia ule vyamoto na kwa hali ya maisha ilivyo kwa sasa aise ujanjajanja umekua mwingi sana hata kwa hawa mamalishe bila kujali afya ya mlaji imagine ugali/wali unaekwa amila🙌
 
Kuna mgahawa nilienda walikuwa ndio wanaandaa cha mchana. Nikaagiza kiepe. Wakati nasubiria kiepe nikawa namtazama mdada jikoni (hakuwa mbali sana nilipokaa).

Alikuwa anachambua mboga za majani, ghafla akapiga ule uchafya ulioambatana na kikohozi cha kubanja. Pua ilitoa kamasi nzito na mdomoni kutoka makozi alizuia kwa kukamata/kufumba mdomo wake na kiganja ila it was too late kwasababu tayari vilikuwa vimeshamtoka.

So akawa amebakia kuyashika kiganjani asijue la kufanya akayarusha kwa pembeni fyaaaaaaa halafu akajifuta kwa kiganja na kujipangusa kwenye kanga then akaendelea kuchambua mboga aisee nilipatwa na hali fulani ya kama shock [emoji44] ambayo ni ngumu kuielezea.
Uwiiii me ningeondoka
 
mtoa mada umechelewa sana kugundua

mimi nishashuhudia mauchafu mengi sana kwenye iyo migahawa ila sikomi kula maana Mungu yupo, ule uji unaouzwa jioni ndo nilijiapiza sitokunywa tena ila mtu asiniulize kwanini maana ni majanga.

uko majumbani ndo usiseme, chai zinachujwa kwa kutumia chupi 😅

WAAFRIKA TUNAISHI KWA KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU
 
Kumbe ndiyo maana kuna wakati unakuta kachakula kana ladha amazing 😍. Mchakato wake huhusisha mambo mengi kama hayo.
 
mtoa mada umechelewa sana kugundua

mimi nishashuhudia mauchafu mengi sana kwenye iyo migahawa ila sikomi kula maana Mungu yupo, ule uji unaouzwa jioni ndo nilijiapiza sitokunywa tena ila mtu asiniulize kwanini maana ni majanga.

uko majumbani ndo usiseme, chai zinachujwa kwa kutumia chupi 😅

WAAFRIKA TUNAISHI KWA KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU
Mimi niliacha kunywa kahawa.
 
Huyo ni msafi.

Umewahi kuona mkaanga au mchoma chapati wewe? Sema hapana, hapa kijiweni yupo, akimsafisha mtoto ni kwamba kazi inaendelea.

Mungu tu analinda walaji
Chapati zingatia sana kinyaa ukiona zinavyoandaliwa.
 
We jamaa ni limbukeni. Unaendaje kufanya utafiti wa ishu za usafi uswahilini? Inaonekana hupendi kabisa kuishi kwa amani. Kuanzia leo acha kabisa kuchunguza mambo ya jikoni. Subiria mezani kula. Mambo ya utafiti wa kipumbavu achana nayo.
 
Kwani anakojoa mkononi bro? Mungu atatulinda.
Heri ya ya wanawake hawana dubwasha la kulishika kuliko wakata makongoro wanaume wanaokwenda kulilengesha dubwasha kwenye tundu la choo kisha kuendelea kukata kongoro bila kunawa.
 
Uswahilini kama nikibanwa na njaa sana huwa naagiza chai ya rangi yenye tangawizi TU, na iwe yamoto haswaa
 
Ukienda mgahawani kuchunguza mazingira huwezi kurudi mgahawani,maana ukioangalia wale Binti wanvyoosha vyombo na vijiko huwezi kula,vijiko wanafanya kuchovya na maji huku kikiwa bado na mabaki ya vyakula,anakichomeka kwenye chakula ulichoagiza hivyo hivy kikiwa na mabaki ya vyakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanaosha na maji ya baridi
 
Heri ya ya wanawake hawana dubwasha la kulishika kuliko wakata makongoro wanaume wanaokwenda kulilengesha dubwasha kwenye tundu la choo kisha kuendelea kukata kongoro bila kunawa.
Kongoro inakaa jikoni sana...inachemka sanaaa na pia Mwanume hawezi kuwa mchafu km wa kike aisee
 
Kumbe umesema uswahilini😄😄😄.

Sie ndo maisha yetu mkuu,maisha bam bam.
Mtu ukirandana na mazingira,pia mazingira yatakulinda bosi.

Hakuna sehemu mbovu yenye mazingira ya hovyo Kwa 80% kama Jiji la Dar.

Ila watu wanaenjoy maisha.

Hakikisha unakula chakula ambacho Bado Cha moto.

Hata ushuani ni wachafu,basi tu.
 
Kongoro inakaa jikoni sana...inachemka sanaaa na pia Mwanume hawezi kuwa mchafu km wa kike aisee
Wanaume tuko wachafu kupindukia, tunaweza kukaa wiki bila kuoga, chupi ndiyo usiseme kabisa.
Kongiro halichemki wakati wa kukatwa.
 
Back
Top Bottom