MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
Mkuu hizi story zako ni chai sana, vipi yule aliyehamia Dar mmeishia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaSasa acha ujinga wa kupost hizi thread mkuu, huku sio facebook kwa kina iddi makengo, hatufagilii huu utoto
huyo brother wako ni katili sana na ana kiburi sana aisee tujitahidi tujitegemee bora kupanga hata chumba cha giza kuliko kuishi kwa ndugu wewe na mkeoHakuna kitu cha bure mke wako kalipia au ulitaka ulipie wewe!”
we nyamaza tu,rudiana na mkeo mtoto ni damu yenuNa. Mwanaume Story
Wakati naoa, nilikuwa na kazi yangu nzuri tu lakini kama unavyojua maisha yalinipiga, nikaondoka kipindi cha vyeti feki. Katika kuhangaika, niliamua kuhamia kwa kaka yangu, akanipa chumba cha nje nyumbani kwake, lakini karibu kila kitu mimi na mke wangu tulikuwa tunafanyia kwa kaka, yeye pia kaoa mke wake alikuwa ni mtu mzuri tu.
Anajali, hana ile manyanyaso ya shemeji, nilijipanga nikapata pesa ya chumba lakini kila nikitaka kuondoka mke wangu ananiambia kwa nini tusikae hapa mpaka kujipanga vizuri, kwa nini tusikee hapa sijui mpaka vipi. Kushangaa ana mimba ndiyo nikaona kweli bora kukaa kwa kaka sababu sijajiandaa vizuri, lakini katika kujifungua kaka alimhudumia sana mke wangu.
Ila kuna kitu nilishangaa mtoto alifanana sana na kaka kiasi kwamba nilikuwa na wasiwasi, lakini kwa sababu ni ndugu ingawa hatujafanana nilikaa kimya nakujipa moto hakuna kitu. Siku moja nashika simu ya mke wangu SMS inaingia, kwa kawaida sipendi kusoma SMS zake, ila hiyo ilinivutia imeandikwa, ‘Nimekuambia hicho cheti kingine choma moto mume wako akijua mimi nawafukuza wote.
Nikalazimika kuingia kuangalia, ndipo nakuta mke wangu wanagombana na kaka yangu baada ya mke kumuambia ana vyeti viwili vya kliniki. Kumbe alikuwa na mahusiano na kaka yangu na ndiyo kambembelesha mimba, nilipomuuliza aliniomba msamaha lakini nilishindwa nifanye nini?
Kuongea na kaka alinijibu kwa dharau, unakula na kunywa kwangu ulitegemea nini? Hakuna kitu cha bure mke wako kalipia au ulitaka ulipie wewe!” Sikujibu kitu niliondoka na kumuacha mke wangu pale huu ni mwaka wa 8 sijarudi tena nyumbani kila mtu anajua nimetelekeza familia lakini kila nikiwaza kuhusu kurudi nyumbani nashindwa.
Mama yangu alifariki dunia mwaka jana, nilishindwa hata kumzika, niko mjini napambana sijajipata. Huwezi amini mke wangu bado anaishi kwa kaka na kikubwa kaka anadai kuwa anamsaidia kwa sababu mimi nimetelekeza ila ukweli ni mke wake na mimi nipo tu nahangaika na maisha!
View attachment 2940900
Unaendelea na vyai vyako!Na. Mwanaume Story

Kwani bado unamuhesabu huyo mwanamke ni mke wako hadi leo?Nawe unataka unigongee
Asithubutu.Watamgongomelea yeye!
Na. Mwanaume Story

ili aongezewe mtoto wa tatu eeh😁Ndugu kama ni huyo hameni hapo upesi sana mje mkae kwangu nitawapa nyumba ya vyumba viwili na usijali kuhusu kazi nitakutafutia kazi uwe usafiri na magari yangu mikoani kama Manager.
Mkuu msiendelee kukaa hapo kwa huyo dhalimu mkuu nikucheki inbox kwa mawasiliano ya karibu.
Sahihi mkuu hii ni Chai ya mcahana kabisaChai