george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,023
- Thread starter
- #41
Mpelekee kaka yko Mke uone kama hajalaSahihi mkuu hii ni Chai ya mcahana kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpelekee kaka yko Mke uone kama hajalaSahihi mkuu hii ni Chai ya mcahana kabisa
Mpelekee kaka yko Mke uone kama hajalaSahihi mkuu hii ni Chai ya mcahana kabisa
Itakua mkurya weweHuyo Kama yako Ni sawa na wewe tu.so anaendeleza generation yenu. Na je angezaa nje ungeona poa ama.shukru akabeba damu ya kwenu. Inabidi vijana muishi Kama akina NYERERE walivyoishi Hilo Rika watu walioa kuendeleza uzao na Koo yao. Nyie mnaoa Kama starehe. Mie mke wangu akipitiwa hata na mdogo wangu Yuko nyumbani haina shida kabisa
Duhh ! Bro mtu achofanya siooo kabisa
Story zenu kweli za kutunga ingekua kweli hili swala nahc jamaa angefungwa maana blaza kaleta dharauNa. Mwanaume Story
Wakati naoa, nilikuwa na kazi yangu nzuri tu lakini kama unavyojua maisha yalinipiga, nikaondoka kipindi cha vyeti feki. Katika kuhangaika, niliamua kuhamia kwa kaka yangu, akanipa chumba cha nje nyumbani kwake, lakini karibu kila kitu mimi na mke wangu tulikuwa tunafanyia kwa kaka, yeye pia kaoa mke wake alikuwa ni mtu mzuri tu.
Anajali, hana ile manyanyaso ya shemeji, nilijipanga nikapata pesa ya chumba lakini kila nikitaka kuondoka mke wangu ananiambia kwa nini tusikae hapa mpaka kujipanga vizuri, kwa nini tusikee hapa sijui mpaka vipi. Kushangaa ana mimba ndiyo nikaona kweli bora kukaa kwa kaka sababu sijajiandaa vizuri, lakini katika kujifungua kaka alimhudumia sana mke wangu.
Ila kuna kitu nilishangaa mtoto alifanana sana na kaka kiasi kwamba nilikuwa na wasiwasi, lakini kwa sababu ni ndugu ingawa hatujafanana nilikaa kimya nakujipa moto hakuna kitu. Siku moja nashika simu ya mke wangu SMS inaingia, kwa kawaida sipendi kusoma SMS zake, ila hiyo ilinivutia imeandikwa, ‘Nimekuambia hicho cheti kingine choma moto mume wako akijua mimi nawafukuza wote.
Nikalazimika kuingia kuangalia, ndipo nakuta mke wangu wanagombana na kaka yangu baada ya mke kumuambia ana vyeti viwili vya kliniki. Kumbe alikuwa na mahusiano na kaka yangu na ndiyo kambembelesha mimba, nilipomuuliza aliniomba msamaha lakini nilishindwa nifanye nini?
Kuongea na kaka alinijibu kwa dharau, unakula na kunywa kwangu ulitegemea nini? Hakuna kitu cha bure mke wako kalipia au ulitaka ulipie wewe!” Sikujibu kitu niliondoka na kumuacha mke wangu pale huu ni mwaka wa 8 sijarudi tena nyumbani kila mtu anajua nimetelekeza familia lakini kila nikiwaza kuhusu kurudi nyumbani nashindwa.
Mama yangu alifariki dunia mwaka jana, nilishindwa hata kumzika, niko mjini napambana sijajipata. Huwezi amini mke wangu bado anaishi kwa kaka na kikubwa kaka anadai kuwa anamsaidia kwa sababu mimi nimetelekeza ila ukweli ni mke wake na mimi nipo tu nahangaika na maisha!
View attachment 2940900
Asithubutu kutaka kutembea na mwanamke wa anayefikiri ni mnyonge.Atapakwa mafuta ang'ae hadi ashangae.
Hii ni hadithi fupi 😂Ni mtunzi mzuri, utafika mbali.
🙂Hapana mkuu ..ili aongezewe mtoto wa tatu eeh😁
Hata waisrael maandiko yalisema kuwa hebu muingilie mke wa kaka yako ili umpe uzao.yule jamaa akamwaga nje so akalaaniwa kabisa kwa kitendo kile Cha kuwa mchoyo na mwenye kijicho.mwanamke Ni sawa na shamba kazi Ni kupanda mbeguItakua mkurya wewe
Story za Facebook 😂😂😂😂😅😅😅Na. Mwanaume Story
Wakati naoa, nilikuwa na kazi yangu nzuri tu lakini kama unavyojua maisha yalinipiga, nikaondoka kipindi cha vyeti feki. Katika kuhangaika, niliamua kuhamia kwa kaka yangu, akanipa chumba cha nje nyumbani kwake, lakini karibu kila kitu mimi na mke wangu tulikuwa tunafanyia kwa kaka, yeye pia kaoa mke wake alikuwa ni mtu mzuri tu.
Anajali, hana ile manyanyaso ya shemeji, nilijipanga nikapata pesa ya chumba lakini kila nikitaka kuondoka mke wangu ananiambia kwa nini tusikae hapa mpaka kujipanga vizuri, kwa nini tusikee hapa sijui mpaka vipi. Kushangaa ana mimba ndiyo nikaona kweli bora kukaa kwa kaka sababu sijajiandaa vizuri, lakini katika kujifungua kaka alimhudumia sana mke wangu.
Ila kuna kitu nilishangaa mtoto alifanana sana na kaka kiasi kwamba nilikuwa na wasiwasi, lakini kwa sababu ni ndugu ingawa hatujafanana nilikaa kimya nakujipa moto hakuna kitu. Siku moja nashika simu ya mke wangu SMS inaingia, kwa kawaida sipendi kusoma SMS zake, ila hiyo ilinivutia imeandikwa, ‘Nimekuambia hicho cheti kingine choma moto mume wako akijua mimi nawafukuza wote.
Nikalazimika kuingia kuangalia, ndipo nakuta mke wangu wanagombana na kaka yangu baada ya mke kumuambia ana vyeti viwili vya kliniki. Kumbe alikuwa na mahusiano na kaka yangu na ndiyo kambembelesha mimba, nilipomuuliza aliniomba msamaha lakini nilishindwa nifanye nini?
Kuongea na kaka alinijibu kwa dharau, unakula na kunywa kwangu ulitegemea nini? Hakuna kitu cha bure mke wako kalipia au ulitaka ulipie wewe!” Sikujibu kitu niliondoka na kumuacha mke wangu pale huu ni mwaka wa 8 sijarudi tena nyumbani kila mtu anajua nimetelekeza familia lakini kila nikiwaza kuhusu kurudi nyumbani nashindwa.
Mama yangu alifariki dunia mwaka jana, nilishindwa hata kumzika, niko mjini napambana sijajipata. Huwezi amini mke wangu bado anaishi kwa kaka na kikubwa kaka anadai kuwa anamsaidia kwa sababu mimi nimetelekeza ila ukweli ni mke wake na mimi nipo tu nahangaika na maisha!
View attachment 2940900
Duu hii PANA kumeza[emoji15][emoji15][emoji15]Tafuta ela uje utembeee na mtoto wake
Unafikiri atawakomoa watoto au jamaaTafuta ela uje utembeee na mtoto wake