Baada ya kufukuzwa kazi kaka yagu alitembea na mke wangu mpaka kumzalisha

Tatizo la vyeti feki tokea litokee halijafika miaka 8 acha uongo hivi mnatuonaje
 
Ila sio fair kumtombea broo au mdogo wako..pole mkuu! Ila fanya mchakato ukacheki hata kaburi la bi mkubwa.
 
Ndugu kama ni huyo hameni hapo upesi sana mje mkae kwangu nitawapa nyumba ya vyumba viwili na usijali kuhusu kazi nitakutafutia kazi uwe usafiri na magari yangu mikoani kama Manager.

Mkuu msiendelee kukaa hapo kwa huyo dhalimu mkuu nikucheki inbox kwa mawasiliano ya karibu.
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌
 
Na. Mwanaume Story

Wakati naoa, nilikuwa na kazi yangu nzuri tu lakini kama unavyojua maisha yalinipiga, nikaondoka kipindi cha vyeti feki. Katika kuhangaika, niliamua kuhamia kwa kaka yangu, akanipa chumba cha nje nyumbani kwake, lakini karibu kila kitu mimi na mke wangu tulikuwa tunafanyia kwa kaka, yeye pia kaoa mke wake alikuwa ni mtu mzuri tu.

Anajali, hana ile manyanyaso ya shemeji, nilijipanga nikapata pesa ya chumba lakini kila nikitaka kuondoka mke wangu ananiambia kwa nini tusikae hapa mpaka kujipanga vizuri, kwa nini tusikee hapa sijui mpaka vipi. Kushangaa ana mimba ndiyo nikaona kweli bora kukaa kwa kaka sababu sijajiandaa vizuri, lakini katika kujifungua kaka alimhudumia sana mke wangu.

Ila kuna kitu nilishangaa mtoto alifanana sana na kaka kiasi kwamba nilikuwa na wasiwasi, lakini kwa sababu ni ndugu ingawa hatujafanana nilikaa kimya nakujipa moto hakuna kitu. Siku moja nashika simu ya mke wangu SMS inaingia, kwa kawaida sipendi kusoma SMS zake, ila hiyo ilinivutia imeandikwa, ‘Nimekuambia hicho cheti kingine choma moto mume wako akijua mimi nawafukuza wote.

Nikalazimika kuingia kuangalia, ndipo nakuta mke wangu wanagombana na kaka yangu baada ya mke kumuambia ana vyeti viwili vya kliniki. Kumbe alikuwa na mahusiano na kaka yangu na ndiyo kambembelesha mimba, nilipomuuliza aliniomba msamaha lakini nilishindwa nifanye nini?

Kuongea na kaka alinijibu kwa dharau, unakula na kunywa kwangu ulitegemea nini? Hakuna kitu cha bure mke wako kalipia au ulitaka ulipie wewe!” Sikujibu kitu niliondoka na kumuacha mke wangu pale huu ni mwaka wa 8 sijarudi tena nyumbani kila mtu anajua nimetelekeza familia lakini kila nikiwaza kuhusu kurudi nyumbani nashindwa.

Mama yangu alifariki dunia mwaka jana, nilishindwa hata kumzika, niko mjini napambana sijajipata. Huwezi amini mke wangu bado anaishi kwa kaka na kikubwa kaka anadai kuwa anamsaidia kwa sababu mimi nimetelekeza ila ukweli ni mke wake na mimi nipo tu nahangaika na maisha!

View attachment 2940900
Mbegu xiliondoka n kazi??
 
AIsee...kumbe kuna watu wameumizwa sana sikuwahi kujua.

Any way, najaribu kuangalia nani alikuwa na makosa hapo kati ya mkeo na kaka yako, nagundua kuwa wote wana makosa, ila mkeo ana makosa zaidi.

Nasema mkeo ana makosa zaidi kwa sababu sisi wanaume hutamani tu mtu yeyote akijiweka weka hovyo, ndo maana kuna wanaume wanakula hadi mabinti zao wa kuwazaa.

Hivyo hapo ni mkeo alifeli kumkataa kaka yako, hilo ni kosa kubwa ambalo nadhani mkeo alipaswa hata kuuwawa kabisa 😡

Then kaka yako kuna namna tu alionesha dharau (kuwa seriazi unatongoza mke wa mdogo wako ni ishara ya dharau), kwa hiyo kaka yako kuna namna tu ungekuja kumwonesha kuwa wewe ni mwanaume baada ya kuwa umemamalizana na kumuua mkeo.

UDHAIFU MKUBWA ULIO UONESHA WEWE HUU : Kumziria kaka yako mke na kumwachia bila kufanya chochote kwa kaka yako wala mkeo ni ulionesha udhaifu mkubwa mno na hilo lina nipa wasi kama kichwani mwako zina kutosha.

Yaani mke wako ameliwa na kaka yako mpaka akazalishwa, na bado ukamuuliza akakujibu kwa dharau kuwa "unakula na kunywa kwangu alitegemea nani alipe, mkeo ndiyo ashakulipia hivo "

Alafu bado ukaondoka bila kufanya chochote na mke ukamwachia huu mwaka wa 8 jamaa anaendelea kula utam, hivi broo unaa akili wewe ? Si bora uweke heshima ukafungwe gerezani kuliko kuwa huru mtaani na akili hizo ullzo nazo.

Ona sasa, sasahivi kaka ako ana defensive mechanism kwamba "wewe umetelekeza mke, yeye ameamua kufanya roho nzuri kukutunzia".

Kwa hapo hata jamii inakuona wewe ndiyo mwehu umetelekeza familia, na mda huo mwaka sijui wa 10 huu kaka ako ana endelea kula mkeo.

Yaani wewe kwa hizo akili za umama ulizo nazo ukitakiwa upelekwe GAZA walau miezi mitatu hivi labda ndiyo utaacha umama.

Umeonesha udhaifu mno kama mwanaume kuzira na kuondoka bila kufanya reaction yeyote, aisee hupaswi kuwa mwanaume wewe ikiwezekana wakushone tu hata nyuma wakukamie kabisa.

Kuna mda Mungu anaweza kupa jaribu aone utalisovu vipi.

Afadhali hata ungefanya kinyonge uondoke na mkeo makendelee na maisha useme hata poa tu broo mimi nishamwachia Mungu atanilipa, hapo Mungu hata angeweza kukushika mkono akalipizia kisasi mwenyewe.

Sasa umepewa jaribu alafu hujaonesha reaction yeyote ya kusovu ukamwachia shetani aendelee kujitukuza, umefeli sana broo.

Aibu ya kwanza umefukuzwa kwa vyeti feki

Aibu ya pili umefukuzwa kazi hunafanya chochote hata kodi ya kupanga chumba kwa mwezi mmoja tu ulikuwa huna maana yake.

Aibu ya tatu umeenda kutunzwa na kaka yako.

Aibu ya nne mkeo kaliwa na kaka yako.

Aibu ya tano kaliwa sana kaisugua vya kutosha mpaka kambebea na mimba yake.

Aibu ya 6 udhihirisho kuwa mkeo aliliwa vizuri mno na kaka yako, akazaa mtoto kafanana na kaka yako.

Aibu saba, kaka yako kukwambia kwa dharau kuwa "mkeo amelipia mnapo kula na kunywa hapa"

Aibu 8,umezira ukaondoka bila kufanya chochote kwa mkeo wala kaka yako.

Aibu ya 9, jamii inakuona wewe una kichaa umetelekeza mke na kunwachia kaka yako akutunzie.

Aibu ya 10, mkeo bado analiwa na kaka yako mwaka 9 au 10 huu bado tu analiwa, yaani anajipigia awezavyo alafu wewe uko mjini unapiga nyeto kwa stress za maisha.

Aibu ya 11, hujafanikiwa kimaisha mpaka leo unaona hata aibu kwenda kumzika mama yako.

Brooo....hata wewe nahisi utakuwa unaliwa maana siyo akili ulizonazo hizo, sijui labda kwa sababu ulinunua vyeti ila hata mtu asiyesoma hawezi fanya maamuzi uliyofanya wewe.
 
Kwanini usiwaue tu wote wawili ili kwenye magazeti iandikwe chanzo cha mauaji ni wivu wa mapenzi
 
Na. Mwanaume Story

Wakati naoa, nilikuwa na kazi yangu nzuri tu lakini kama unavyojua maisha yalinipiga, nikaondoka kipindi cha vyeti feki. Katika kuhangaika, niliamua kuhamia kwa kaka yangu, akanipa chumba cha nje nyumbani kwake, lakini karibu kila kitu mimi na mke wangu tulikuwa tunafanyia kwa kaka, yeye pia kaoa mke wake alikuwa ni mtu mzuri tu.

Anajali, hana ile manyanyaso ya shemeji, nilijipanga nikapata pesa ya chumba lakini kila nikitaka kuondoka mke wangu ananiambia kwa nini tusikae hapa mpaka kujipanga vizuri, kwa nini tusikee hapa sijui mpaka vipi. Kushangaa ana mimba ndiyo nikaona kweli bora kukaa kwa kaka sababu sijajiandaa vizuri, lakini katika kujifungua kaka alimhudumia sana mke wangu.

Ila kuna kitu nilishangaa mtoto alifanana sana na kaka kiasi kwamba nilikuwa na wasiwasi, lakini kwa sababu ni ndugu ingawa hatujafanana nilikaa kimya nakujipa moto hakuna kitu. Siku moja nashika simu ya mke wangu SMS inaingia, kwa kawaida sipendi kusoma SMS zake, ila hiyo ilinivutia imeandikwa, ‘Nimekuambia hicho cheti kingine choma moto mume wako akijua mimi nawafukuza wote.

Nikalazimika kuingia kuangalia, ndipo nakuta mke wangu wanagombana na kaka yangu baada ya mke kumuambia ana vyeti viwili vya kliniki. Kumbe alikuwa na mahusiano na kaka yangu na ndiyo kambembelesha mimba, nilipomuuliza aliniomba msamaha lakini nilishindwa nifanye nini?

Kuongea na kaka alinijibu kwa dharau, unakula na kunywa kwangu ulitegemea nini? Hakuna kitu cha bure mke wako kalipia au ulitaka ulipie wewe!” Sikujibu kitu niliondoka na kumuacha mke wangu pale huu ni mwaka wa 8 sijarudi tena nyumbani kila mtu anajua nimetelekeza familia lakini kila nikiwaza kuhusu kurudi nyumbani nashindwa.

Mama yangu alifariki dunia mwaka jana, nilishindwa hata kumzika, niko mjini napambana sijajipata. Huwezi amini mke wangu bado anaishi kwa kaka na kikubwa kaka anadai kuwa anamsaidia kwa sababu mimi nimetelekeza ila ukweli ni mke wake na mimi nipo tu nahangaika na maisha!

View attachment 2940900
Tafuta mkewe na wewe uvune kiasi cha hasara,mbwayi mbwayi,ubaya ubwera
 
Demu mwenyewe ndiye huyo hapo? Kaka yako katili sana hafai kabisa huyo
 
Hii story umetungiwa au umetunga wewe? It doesn't matter. Kama huyo ndio mkeo basi hata mimi nisingefikiria mara mbili.

Wanasema kizuri kula na nduguzo shekhee!
 
Na. Mwanaume Story

Wakati naoa, nilikuwa na kazi yangu nzuri tu lakini kama unavyojua maisha yalinipiga, nikaondoka kipindi cha vyeti feki. Katika kuhangaika, niliamua kuhamia kwa kaka yangu, akanipa chumba cha nje nyumbani kwake, lakini karibu kila kitu mimi na mke wangu tulikuwa tunafanyia kwa kaka, yeye pia kaoa mke wake alikuwa ni mtu mzuri tu.

Anajali, hana ile manyanyaso ya shemeji, nilijipanga nikapata pesa ya chumba lakini kila nikitaka kuondoka mke wangu ananiambia kwa nini tusikae hapa mpaka kujipanga vizuri, kwa nini tusikee hapa sijui mpaka vipi. Kushangaa ana mimba ndiyo nikaona kweli bora kukaa kwa kaka sababu sijajiandaa vizuri, lakini katika kujifungua kaka alimhudumia sana mke wangu.

Ila kuna kitu nilishangaa mtoto alifanana sana na kaka kiasi kwamba nilikuwa na wasiwasi, lakini kwa sababu ni ndugu ingawa hatujafanana nilikaa kimya nakujipa moto hakuna kitu. Siku moja nashika simu ya mke wangu SMS inaingia, kwa kawaida sipendi kusoma SMS zake, ila hiyo ilinivutia imeandikwa, ‘Nimekuambia hicho cheti kingine choma moto mume wako akijua mimi nawafukuza wote.

Nikalazimika kuingia kuangalia, ndipo nakuta mke wangu wanagombana na kaka yangu baada ya mke kumuambia ana vyeti viwili vya kliniki. Kumbe alikuwa na mahusiano na kaka yangu na ndiyo kambembelesha mimba, nilipomuuliza aliniomba msamaha lakini nilishindwa nifanye nini?

Kuongea na kaka alinijibu kwa dharau, unakula na kunywa kwangu ulitegemea nini? Hakuna kitu cha bure mke wako kalipia au ulitaka ulipie wewe!” Sikujibu kitu niliondoka na kumuacha mke wangu pale huu ni mwaka wa 8 sijarudi tena nyumbani kila mtu anajua nimetelekeza familia lakini kila nikiwaza kuhusu kurudi nyumbani nashindwa.

Mama yangu alifariki dunia mwaka jana, nilishindwa hata kumzika, niko mjini napambana sijajipata. Huwezi amini mke wangu bado anaishi kwa kaka na kikubwa kaka anadai kuwa anamsaidia kwa sababu mimi nimetelekeza ila ukweli ni mke wake na mimi nipo tu nahangaika na maisha!

View attachment 2940900
Kazi ipo
 
Back
Top Bottom