Baada ya kufukuzwa kazi kaka yagu alitembea na mke wangu mpaka kumzalisha

Itakua mkurya wewe
 
Story zenu kweli za kutunga ingekua kweli hili swala nahc jamaa angefungwa maana blaza kaleta dharau
 
 
Story za Facebook šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Kama ni kweli basi hao wamepitiliza na uzinzi unawashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…