Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Ewh!! Ndo kwanza nakusikia ww binamu, sasa mama ubaya itakuwaje? Dah
Ufuatilie basi huo ubuyu jamani...nakuaminia utakuja na full details,yaani kama ni kweli Insta kutachafuka tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewh!! Ndo kwanza nakusikia ww binamu, sasa mama ubaya itakuwaje? Dah
Maskini lolowapi atakufa nae boss wake kutoolewa waombe iwe tetesi tu,maana kina flan hapa tutachekajee
Ivi kabisa hao mashabiki wa mama ubaya uko insta walitegemea ndomo atamuoa mama ubaya? Mbona wamesanda
Halafu juzi sijui ndomo kajifanya ku post picha mambo ya kupata watoto anajifanya eti wema hatak kuzaa wakat wema mwenyew kutwa anaroga japo ashike mimba ila wapi, si aseme tu hana nguvu A kiume, we kuhangaika madem wote halafu usizae mchezo
Ngoj niingie kilingeni nirud na taarifa kamili, hii habar ni njema sana
Ntajitolea kwenye harusi buree kazi zote ntafanya kwa moyo wote ndomo achukue chombo kipya aachane na gume gume la jiji
Na amuoe tu Menina bana Wema ataolewa na mkongo
Jamani inauma nyie mtu kakuchakaza halafu anaenda kuoa mwingine?
Wamechakaza wengi tu pale msisingizie dai, dai kakuta pameshachakaaaa
Hamna wasiwasi wema atakuwa mke mdogo.
Hamna wasiwasi wema atakuwa mke mdogo.
Ivi kabisa hao mashabiki wa mama ubaya uko insta walitegemea ndomo atamuoa mama ubaya? Mbona wamesanda
Halafu juzi sijui ndomo kajifanya ku post picha mambo ya kupata watoto anajifanya eti wema hatak kuzaa wakat wema mwenyew kutwa anaroga japo ashike mimba ila wapi, si aseme tu hana nguvu A kiume, we kuhangaika madem wote halafu usizae mchezo
Ntajitolea kwenye harusi buree kazi zote ntafanya kwa moyo wote ndomo achukue chombo kipya aachane na gume gume la jiji
Tuache masikhara jmn kiroho safi tu,kaolewa au kapata kipaimara?Maana alichokivaa nimeshindwa kukielewa.
Wamechakaza wengi tu pale msisingizie dai, dai kakuta pameshachakaaaa