Baada ya kufunga ndoa, Lucy Komba awalipua wabaya wake

Ewh!! Ndo kwanza nakusikia ww binamu, sasa mama ubaya itakuwaje? Dah

Ufuatilie basi huo ubuyu jamani...nakuaminia utakuja na full details,yaani kama ni kweli Insta kutachafuka tena
 
Maskini lolowapi atakufa nae boss wake kutoolewa waombe iwe tetesi tu,maana kina flan hapa tutachekajee

Ivi kabisa hao mashabiki wa mama ubaya uko insta walitegemea ndomo atamuoa mama ubaya? Mbona wamesanda

Halafu juzi sijui ndomo kajifanya ku post picha mambo ya kupata watoto anajifanya eti wema hatak kuzaa wakat wema mwenyew kutwa anaroga japo ashike mimba ila wapi, si aseme tu hana nguvu A kiume, we kuhangaika madem wote halafu usizae mchezo
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Ivi kabisa hao mashabiki wa mama ubaya uko insta walitegemea ndomo atamuoa mama ubaya? Mbona wamesanda

Halafu juzi sijui ndomo kajifanya ku post picha mambo ya kupata watoto anajifanya eti wema hatak kuzaa wakat wema mwenyew kutwa anaroga japo ashike mimba ila wapi, si aseme tu hana nguvu A kiume, we kuhangaika madem wote halafu usizae mchezo

Masikini lolowapi sijui atabeba pochi ya nani,
Kutoa mimba sana ndio maana mimba haziingiii, na huyo domo nae ukidume wake sijui upo wapi sasa
 
Nakupendeaga hapo tu binamu hhhha ni habari njema kwelii aisee

Ntajitolea kwenye harusi buree kazi zote ntafanya kwa moyo wote ndomo achukue chombo kipya aachane na gume gume la jiji
 
Tuache masikhara jmn kiroho safi tu,kaolewa au kapata kipaimara?Maana alichokivaa nimeshindwa kukielewa.
 
Daimondi akafanye tu sperm analysis......

Halafu daimondi anapenda sana attention za media...na anawatumia tu wanawake kama ngazi...

Heri wema angebaki na ck angakau K yake ingelipa pale anachoshwa tu

Ivi kabisa hao mashabiki wa mama ubaya uko insta walitegemea ndomo atamuoa mama ubaya? Mbona wamesanda

Halafu juzi sijui ndomo kajifanya ku post picha mambo ya kupata watoto anajifanya eti wema hatak kuzaa wakat wema mwenyew kutwa anaroga japo ashike mimba ila wapi, si aseme tu hana nguvu A kiume, we kuhangaika madem wote halafu usizae mchezo
 
Hongera zake lwa kuolewa

Watu wanakesha eti kuzitafuta ndoa
 
Tuache masikhara jmn kiroho safi tu,kaolewa au kapata kipaimara?Maana alichokivaa nimeshindwa kukielewa.

Et wakapata na ajali wakazama aisee nimecheka na kusikitika ,ila huwez jua walitaka wao hivyo kwan unadhan mzungu hakua na pesa ya shela nzuri,wazungu hua hawajali kuhusu mavazi bana
 
Back
Top Bottom