Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 446
- 769
Bro demu amelelewa kimaadili na pia shangazi yangu alimkagua akakuta bikra, nilishaapa lazima nioe demu bikraWe umejuaje ni bikra ilihali hujamula? Tena unaongea hivyo mbele ya wazee wako!
Mwite Leo geto uichape lasivyo wenzako watamuwahi
Huoni utakuwa umefanya jambo la heshima ukifanya hivyo? Kwani hao ndugu zako hawajui alichokifata kwako?Bro ipo hivi , nahofia kumla mapema maana demu ni bikra ndugu wakija kututembelea baada ya harusi demu atakua anatembea Kwa maumivu kutokana na kuvunjwa bikra , itakua
Muislam
We ulimkagua ? Now days bikra inakaguliwa na mjegejoBro demu amelelewa kimaadili na pia shangazi yangu alimkagua akakuta bikra, nilishaapa lazima nioe demu bikra
Cc : Rebeca 83
Nitakua nimemvunjia heshima maana watagundua atakavyokua akitembeaHuoni utakuwa umefanya jambo la heshima ukifanya hivyo? Kwani hao ndugu zako hawajui alichokifata kwako?
Kwanza Una umri gani?
Unasumbuliwa na utoto ukikua utaacha huu ujinga kwa hiyo we ulitakaje maana unashauriwa unang'ang'ana na yakoNitakua nimemvunjia heshima maana watagundua atakavyokua akitembea
Nina 24 yrs
Sasa bro demu sealed nikimtoboa alafu kesho ndugu waje hauoni kama hata kutembea atashindwaUnaeumbuliwa na utoto ukikua utaacha huu ujinga kwa hiyo we ulitakaje maana unashauriwa unang'ang'ana na yako
---kufanya tendo la ndoa siku ngapi au wiki ngapi baada ya kufungwa ndoa?
Demu bikra lazima nimuonyeshe heshima Kwa alivyojitunza mpaka kwenye ndoaKabla hata ya ndoa watu wanaipiga
Sasa bro demu sealed nikimtoboa alafu kesho ndugu waje hauoni kama hata kutembea atashindwa---
Tendo la ndoa ni sehemu ya ndoa kuanzia siku ya kwanza.
---
Ni mkeo auKila siku asubuhi nakula nyama
Vipi ukute sio bikiraDemu bikra lazima nimuonyeshe heshima Kwa alivyojitunza mpaka kwenye ndoa
Tulivyokubaliwa posa shangazi yangu alienda kumkaguaVipi ukute sio bikira
Hapana, mademu wa sasa hv hawawezi kutembea kama wamevunjwa kisa amemtoa bikraBro ipo hivi , nahofia kumla mapema maana demu ni bikra ndugu wakija kututembelea baada ya harusi demu atakua anatembea Kwa maumivu kutokana na kuvunjwa bikra , itakua
Muislam
Si ni usiku ule wa ndoa lazima mfanye tendo la ndoa kudhihirisha mmefunga ndoaNianze kushiriki nae siku ngapi au wiki ngapi baada ya kufunga ndoa
Kwahiyo ni lini ndugu zako hawatakuja hiyo siku nafikiri unaijua umekuja kutuchora tu hapa...Sasa bro demu sealed nikimtoboa alafu kesho ndugu waje hauoni kama hata kutembea atashindwa