Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Wale wamasai wanao hamishiwa Handeni toka Ngorongoro, walikuwa ni kielelezo sahihi cha tunakoelekea.
Zile nyumba wanazojengewa Handeni, bajeti yake ilipitishwa bungeni?
Kwa hiyo haya mambo yamepangwa kipindi.