Baada ya kugundua ana mimba isiyo yangu, nipo katika wakati mgumu sana. Nishaurini

Daah
 
hiyo condom imenisaidia kujua ukweli na kautamka mwenyewe, maana tungekuwa kwenye ndoa ndio ingekuwa hatari zaidi, kutumia condom sio uhuni na ningekuwa muhuni basi ningeshamwacha mda mrefu sana,
 
Mapenzi yalivyo ya ajabu.

Kuna kila dalili huyo dada kutoa hiyo Mimba na akiwa poa atakuomba msamaha na utamsamehe na mtarudiana tena.

Ndio Maisha Mzee.

Ukishapenda bana kunasuka ni ishu kweli kweli
 
Chapa lapa usiwaze ndiyo maisha kijana unaweza kudhani unapanda kumbe ndiyo unavunwa
 
Mapenzi yalivyo ya ajabu.

Kuna kila dalili huyo dada kutoa hiyo Mimba na akiwa poa atakuomba msamaha na utamsamehe na mtarudiana tena.

Ndio Maisha Mzee.

Ukishapenda bana kunasuka ni ishu kweli kweli
Hatari sana
 
Sasa toka umesex nae si miezi tisa ilipita au???
 
Umekula limbwata wewe
 
Noma sana sema wanawake hapana aisee.. Siku hizi hata mkemia mkuu hatoi majibu ya DNA as yalivyoo maana watoto wa mtaani watakuwa wengi sana na Ndoa zitavunjikaaa..!!
 
Sasa wewe ulikua unamnaniliu kwa kutumia kondom, hapo hamna utamu mzee. Utamu ni kwenda kavu
 
Wewe ulikuwa unakula kwa mpira, mwenzio akataka kuonja nyama!
Pole.

Mimi nilisalitiwa na mchepuko wangu. Nilimpenda na kumwamini sana. Alikuwa mwanachuo akisoma mkoa tofauti na ninaoishi.
Best yake ndiye aliyefanya nijue, na akanipa na details za huyo jamaa pamoja na phone namba yake.
Nilianza na huyo jamaa, akakubali kirahisi na kutoa maelezo yote niliyoyataka, nikiwa na hizo details, ndio nikampigia.
Alilia sana, akaomba sana. Akarudi mkoani kuja kubembeleza.
Lkn niligundua jambo moja ambalo kibinadamu lilimpa mazingira ya kuangukia huko. Na yule jamaa kwa kuwa alijua bint ana mtu, alitengeneza mazingira kupitia yule best wake ili mm nigundue nimuache ili yeye aendelee naye kwa uhuru zaidi.
Japo bint alinisaliti, lkn haikjwa ile "falling in love" kwa huyo jamaa.
Jamaa hakuwa akipewa "air-time" ya kutosha ndio akaamua kufanya hivyo.
Baada ya kuona yale mazingira kweli yana weza kumuangusha mtu, nikamsamehe!
Na hasa ukichukulia ni "mchepuko".
Lakini kumwamini kulipungua, na yeye alijua hivyo.
Niliendelea naye hadi nilipoona sasa anafaa apate mume, nikamshauri juu ya hilo, tukawadiscuss wote waliojitokeza kumtaka, tukaona anayefaa, tukawaozesha, sasa ni familia ya watoto wawili. Na nimekuwa rafiki na ndugu wa familia.
Na hajawahi nisaliti tena, japo nami alinipa ofa ya kuendelea "kumla au kulana" kwa miaka mitano ya mwanzo ya ndoa yake!

Wakati mwingine mtu hujikuta amesaliti kutokana na mazingira na sio dhamira!
 
Daah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanawakee hapana aisee
 
Nipe tafsiri ya neno KUOA....
Nipe tafsiri ya neno NDOA.
Nipe tofauti ya kuoa, ndoa na harusi naona kama unataka changanya vitu.

Je adam na hawa pale bustani ile ilikuwa ni nini NDOA au HARUSI.....
Kuna jambo naona unataka kulihalalisha hapa kwamba nikiwa na mahusiano na mwanamke fulani basi ni kwamba milango ipo wazi aje agegedwe sio???

Nikiulize tena ipi tofauti ya wanadam na wanyama kwenye suala la mahusiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…