Msilaumu sana Wanawake Mbona nyie mmeoa na mnadanganya hamjaoa ili mpate penzi na kuwapa mimba juu michepuko huku mkiwa na ndoa zenu.Mmh never trust kiumbe kinacho itwa Mwanamke,, tuliambiwa tuishi nao kwa akili
Wengi hawajielewi!
Alafu usiendekeze mawazo yke potezea utamsahau tu,, keep busy kutafuta mkwanja..
Acha kuharibu binti za watu, be yourself. Usiishi maisha ya ujanja ujanja mkuu. Dunga ndoahiyo condom imenisaidia kujua ukweli na kautamka mwenyewe, maana tungekuwa kwenye ndoa ndio ingekuwa hatari zaidi, kutumia condom sio uhuni na ningekuwa muhuni basi ningeshamwacha mda mrefu sana,
Usijitoe uufahamu wewe. Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume na sio mwanaume kwa ajili ya mwanamke nenda kasome maandiko matakatifu.Msilaumu sana Wanawake Mbona nyie mmeoa na mnadanganya hamjaoa ili mpate penzi na kuwapa mimba juu michepuko huku mkiwa na ndoa zenu.
Nadhani umenielewa vema, hato maswali yako hayana mashiko. Mapenzi nje ya ndoa ni umalaya, pia mwanamke ayatendaye hayo ni mjinga kweli kweli kea sababu aimaliza thamani yake taratibu.Nipe tafsiri ya neno KUOA....
Nipe tafsiri ya neno NDOA.
Nipe tofauti ya kuoa, ndoa na harusi naona kama unataka changanya vitu.
Je adam na hawa pale bustani ile ilikuwa ni nini NDOA au HARUSI.....
Kuna jambo naona unataka kulihalalisha hapa kwamba nikiwa na mahusiano na mwanamke fulani basi ni kwamba milango ipo wazi aje agegedwe sio???
Nikiulize tena ipi tofauti ya wanadam na wanyama kwenye suala la mahusiano?
Mwanamume mzinifu pia hajitambua, tena ni mjinga kweli kweliMmh never trust kiumbe kinacho itwa Mwanamke,, tuliambiwa tuishi nao kwa akili
Wengi hawajielewi!
Alafu usiendekeze mawazo yke potezea utamsahau tu,, keep busy kutafuta mkwanja..
Kwa hiyo wewe umeona umuhukumu mleta uzi huu ambaye mwanamme kwa kufanya uzunifu na huyo mwanamke. Ila umehalalisha mwanamke akafanye ngono na mwanaume ambae ni mwingine ili aje amsingizie jamaa etu sio.Nadhani umenielewa vema, hato maswali yako hayana mashiko. Mapenzi nje ya ndoa ni umalaya, pia mwanamke ayatendaye hayo ni mjinga kweli kweli kea sababu aimaliza thamani yake taratibu.
Mwanamume mwenye nia njema na mwanamke humlinda dhidi ya ngono mpaka majira yake yanapofika. Vinginevyo ni kumchezea kwa kujaribu kukidhi kiu ya ngono isiyoisha.
Dah mm ishanitokea hiyo mkuu. kawaida. Tafuta pesa wanawake wapoHabari zenu wakuu, Jf ni sehem nayoiheshimu na imejaa watu wazima wenye hekima na wanaojitambua natumaini mtanipa ushauri mzuri na wenye hekima.
Nipo kwenye mahusiano na binti 24 years old, Tumekuwa na mahusiano kwa mda wa miaka miwili na mda wote nilikuwa nikijitahidi sana kumlinda na mimba sababu yupo kwao mipango yetu ilikuwa ni kuzalia kwenye ndoa hivyo mda wote tuliokuwa tunakutana nilizingatia sana kinga ili kumlinda na mimba.
Sasa shida imekuja tokea miezi miwili iliyopita alikuwa kabadilika sana yani hata kukutana na mimi ni hadi aamue kwa kujiskia yeye tofauti na zamani, akija kwangu simu ataiacha kwao sababu hatuishi mbali na simu nilimnunulia mimi, hadi nikajiuliza simu imeficha nini lakini niliendelea kuwa mvumilivu.
Mara ya mwisho nikakutana nae kimwili siku moja baada ya kumaliza period na siku ya 27 ya mzunguko wa hedhi ndio ikawa mara ya mwisho kusex nae na mara zote nilitumia condom kwa usahihi na wala haikupasuka wala kupata damage yoyote,na hata mda wa kusex alikuwa yupo yupo tu yani najihisi nipo peke yangu kitandani.
Sasa baada ya kupita siku karibia 36 bila kuona siku zake, ikabidi nimuulize vipi kuna tatizo, akawa kakaa kimya tu anasema hajielewi labda ni mabadiliko tu, kwa vile nilishaona ile sio hali ya kawaida na haijawahi kutokea ikanibidi niende pharmacy nikanunua Baby check, kwa ajili ya kupima mkojo wake ili nijue kama ana ujauzito
Jioni nikampa nikamuekekeza acheki mkojo wa asubuhi akiamka, ilpofika asubuhi akachek na matokeo yakawa ni haya [emoji116], akanitumia hiyo picha whatsap
View attachment 1500024
Alama mbili zikatiki kuwa ni mjamzito, ikanibidi nionane nae jioni ile tujadiliane na maswali nliyokuwa nayo kichwani inawezekana vipi mtu usex kwa kutumia condom kwa usahihi na tena kwenye siku ambazo sio za kushika mimba na mtu apate mimba?
Nilivyoonana nae ikanibidi nimbane kisawa sawa kwa tecknic nazozijua mimi ili aseme ukweli kama aliteleza, baada ya kumbana huku akilia kuwa mimba ni yangu nikamwambia pia kama bado utaniaminisha mimba ni yangu mimi sina tatizo mtoto akizaliwa tutaenda kucheki DNA, kuthibitisha kuwa ni wangu ili nilee damu yangu, Akasema hataki kuzaa hivyo tuitoe, mimi nikasimamia msimamo wangu kuwa damu yetu haipotei kama mimba ni yangu ajiamini kwanini aogope hadi atake kuitoa na uwezo wa kulea upo.
Ikabidi aongee ukweli kuwa alinisaliti na mtu mwenyewe aliyechepuka nae haijui hata background yake hata kazi anazofanya hazijui, niliishiwa nguvu pale nilipo mwambia alete simu yake ampigie huyo jamaa kuwa ana mimba yake
Baada ya kumpigia jamaa akakubali na kusema hana tatizo , nilibaki na mshangao na machozi yalinitoka, na kama isingekuwa kutumia condom basi ile mimba ilikuwa niikubali kwa mikono miwili na ukiangalia kwetu kutoa mimba ni haram na kosa kubwa wakati uwezo wa kulea upo
Pale ndipo nilipoamini kuwa wanawake ni watu wakuishi nao kwa akili sana, kukuletea mtoto asie wako hawaoni kazi, naamini kuna watu wengi mnalea watoto ambao sio wenu, mimi nimeponyea kwenye tundu la sindano
nichukue fursa hii kuwashauri vijana ambao hamko kwenye ndoa acheni kuruka na wanawake kavu kavu, hasa hawa mabinti under 28, hawafai hata kidogo ni wachache sana wametulia ila wengi ni mafia, kukuleta mimba isiyo yako huwa hawaoni tabu
Ni heri mtumie condom tu ili kuepukana na huu mchezo tunaochezewa wanaume, ifike mahali tuseme basi kulea watoto ambao sio wetu tumechoka
Vile vile tokea hili tukio litokee nipo katika wakati mgumu sana, mawazo hayaniishi sababu kutendewa unyama kama huu na mtu niliyempenda inaumiza sana, na huyu mwanamke kila kukicha ananiomba msamaha akilia, hivi nawezaje kusamehe usaliti kama huu? ndio maana kwenye heding nikaomba ushauri wenu namna ya kuanza maisha mapya yenye amani nimechanganyikiwa kwa kweli
Kitanda hakizai haramu.π
Maneno yenu walimwengu.Ila Umalaya unazaa Bastard.
ππππππnimepotezea tu siwezi kumpima mtoto sababu nikimkataa mtoto na mke wangu akagoma kumtaja mhusika mtoto atakosa baba na hakuna binadamu anaweza kuishi vizuri bila baba. nimemuacha huyo mke tu kiaina bila kumwambia niko na wengine nimekata huduma apambane na dunia.
tumekubaliana na mtalaka katika maisha yake asijetena kumtaja mhusika atamharibu mtoto ambae sasa anajua mimi ni baba yake
Aisee !!!!!Pole sana mkuu, yalishanikuta nikalea kwa taabu sana hali haikuwa nzuri kipindi hicho, mtoto mpaka kafika miaka minne nkagundua si wangu kutokana na mambo fulani niliyohisi na binti akakubali kweli mtoto si wangu.
Niliumia sana lakini hakukuwa na jinsi, muhimu endelea na maisha yako muhimu umejifunza. Wanawake muda fulani si wa kuwaamini sana 100% .
Kampime vinasaba acha ujinga wa kulea damu ambayo siyo yakoKuna mtoto nalea though Sina uhakika kama ni wangu kweli nimeamua kukubali yaishe, hizo kesi zipo kibao
[emoji16][emoji16][emoji16] Aya mamb bana daaah acha tu me Kuna manzeee ili nambia in mimba asaa siku nimepanga tukapime tujue ya mda gani (mimba in mda gani) akala Kona kwakua aljua kesho yake na safiri af baada ya kusafiri anantafuta eti alishaenda clinic kafungua na kadi kilichomfanya akimbie akutaka kuwahi mapema clinic sema nakumbua tareh ya mwisho kulala nae vp naweza nikaitumia Kama kuhesabu mpaka siku anajifungua
[/QUOTE
Ndio unaweza tumia hiyo njia ila is not sure probable kwasababu kuna siku mlikutana nae kabla ya hiyo siku pengine labda siku izo mlizokutana nae kabla ya hiyo alishika mimba. Jenga utulivu katika kumchukua maelezo kama muongo utamkamata tuu.
Noma sana sema wanawake hapana aisee.. Siku hizi hata mkemia mkuu hatoi majibu ya DNA as yalivyoo maana watoto wa mtaani watakuwa wengi sana na Ndoa zitavunjikaaa..!!