Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uwe tu kama UCHEBE sasa unangoja nn mtu kakusaliti na pia alitaka akupe kiumbe cha msela ulee bado unawaza acha udhaifu move onHabari zenu wakuu, JF ni sehemu ninayoiheshimu na imejaa watu wazima wenye hekima na wanaojitambua natumaini mtanipa ushauri mzuri na wenye hekima.
Nipo kwenye mahusiano na binti 24 years old, Tumekuwa na mahusiano kwa muda wa miaka miwili na muda wote nilikuwa nikijitahidi sana kumlinda na mimba sababu yupo kwao mipango yetu ilikuwa ni kuzalia kwenye ndoa hivyo muda wote tuliokuwa tunakutana nilizingatia sana kinga ili kumlinda na mimba.
Sasa shida imekuja tokea miezi miwili iliyopita alikuwa kabadilika sana yani hata kukutana na mimi ni hadi aamue kwa kujiskia yeye tofauti na zamani, akija kwangu simu ataiacha kwao sababu hatuishi mbali na simu nilimnunulia mimi, hadi nikajiuliza simu imeficha nini lakini niliendelea kuwa mvumilivu.
Mara ya mwisho nikakutana nae kimwili siku moja baada ya kumaliza period na siku ya 27 ya mzunguko wa hedhi ndio ikawa mara ya mwisho kusex nae na mara zote nilitumia condom kwa usahihi na wala haikupasuka wala kupata damage yoyote na hata muda wa kusex alikuwa yupo yupo tu yani najihisi nipo peke yangu kitandani.
Sasa baada ya kupita siku karibia 36 bila kuona siku zake, ikabidi nimuulize vipi kuna tatizo? Akawa kakaa kimya tu anasema hajielewi labda ni mabadiliko tu, kwa vile nilishaona ile sio hali ya kawaida na haijawahi kutokea ikanibidi niende pharmacy nikanunua Baby check kwa ajili ya kupima mkojo wake ili nijue kama ana ujauzito.
Jioni nikampa nikamuekekeza acheki mkojo wa asubuhi akiamka, ilipofika asubuhi akachek na matokeo yakawa ni haya [emoji116], akanitumia hiyo picha whatsap.
View attachment 1500024
Alama mbili zikatiki kuwa ni mjamzito, ikanibidi nionane nae jioni ile tujadiliane na maswali niliyokuwa nayo kichwani inawezekana vipi mtu usex kwa kutumia condom kwa usahihi na tena kwenye siku ambazo sio za kushika mimba na mtu apate mimba?
Nilivyoonana nae ikanibidi nimbane kisawa sawa kwa tecknic nazozijua mimi ili aseme ukweli kama aliteleza, baada ya kumbana huku akilia kuwa mimba ni yangu nikamwambia pia kama bado utaniaminisha mimba ni yangu mimi sina tatizo mtoto akizaliwa tutaenda kucheki DNA, kuthibitisha kuwa ni wangu ili nilee damu yangu, Akasema hataki kuzaa hivyo tuitoe, mimi nikasimamia msimamo wangu kuwa damu yetu haipotei kama mimba ni yangu ajiamini kwanini aogope hadi atake kuitoa na uwezo wa kulea upo.
Ikabidi aongee ukweli kuwa alinisaliti na mtu mwenyewe aliyechepuka nae haijui hata background yake hata kazi anazofanya hazijui, niliishiwa nguvu pale nilipo mwambia alete simu yake ampigie huyo jamaa kuwa ana mimba yake.
Baada ya kumpigia jamaa akakubali na kusema hana tatizo, nilibaki na mshangao na machozi yalinitoka, na kama isingekuwa kutumia condom basi ile mimba ilikuwa niikubali kwa mikono miwili na ukiangalia kwetu kutoa mimba ni haram na kosa kubwa wakati uwezo wa kulea upo.
Pale ndipo nilipoamini kuwa wanawake ni watu wakuishi nao kwa akili sana, kukuletea mtoto asie wako hawaoni kazi, naamini kuna watu wengi mnalea watoto ambao sio wenu, mimi nimeponyea kwenye tundu la sindano.
Nichukue fursa hii kuwashauri vijana ambao hamko kwenye ndoa acheni kuruka na wanawake kavu kavu, hasa hawa mabinti under 28, hawafai hata kidogo ni wachache sana wametulia ila wengi ni mafia, kukuleta mimba isiyo yako huwa hawaoni tabu
Ni heri mtumie condom tu ili kuepukana na huu mchezo tunaochezewa wanaume, ifike mahali tuseme basi kulea watoto ambao sio wetu tumechoka.
Vile vile tokea hili tukio litokee nipo katika wakati mgumu sana, mawazo hayaniishi sababu kutendewa unyama kama huu na mtu niliyempenda inaumiza sana, na huyu mwanamke kila kukicha ananiomba msamaha akilia, hivi nawezaje kusamehe usaliti kama huu? Ndio maana kwenye heading nikaomba ushauri wenu namna ya kuanza maisha mapya yenye amani nimechanganyikiwa kwa kweli.
Si uwe tu kama UCHEBE sasa unangoja nn mtu kakusaliti na pia alitaka akupe kiumbe cha msela ulee bado unawaza acha udhaifu move on
Kuwa tu kama mimi sina mwanamke nnachofanya ni kutongoza akikubali namla sana tu mpaka akijua sina malengo nae kuna mwingine nshamtongoza kakubali, race ndo hivyo mzee hamna kuwekeza zaidi ya nauli na vichenchi kidogo
Yeah maisha ni kuchaguaaiseee
Hii nayo noma umejadiliana nae nani amuoe alafu ukaendelea kumla 5 years tenaWewe ulikuwa unakula kwa mpira, mwenzio akataka kuonja nyama!
Pole.
Mimi nilisalitiwa na mchepuko wangu. Nilimpenda na kumwamini sana. Alikuwa mwanachuo akisoma mkoa tofauti na ninaoishi.
Best yake ndiye aliyefanya nijue, na akanipa na details za huyo jamaa pamoja na phone namba yake.
Nilianza na huyo jamaa, akakubali kirahisi na kutoa maelezo yote niliyoyataka, nikiwa na hizo details, ndio nikampigia.
Alilia sana, akaomba sana. Akarudi mkoani kuja kubembeleza.
Lkn niligundua jambo moja ambalo kibinadamu lilimpa mazingira ya kuangukia huko. Na yule jamaa kwa kuwa alijua bint ana mtu, alitengeneza mazingira kupitia yule best wake ili mm nigundue nimuache ili yeye aendelee naye kwa uhuru zaidi.
Japo bint alinisaliti, lkn haikjwa ile "falling in love" kwa huyo jamaa.
Jamaa hakuwa akipewa "air-time" ya kutosha ndio akaamua kufanya hivyo.
Baada ya kuona yale mazingira kweli yana weza kumuangusha mtu, nikamsamehe!
Na hasa ukichukulia ni "mchepuko".
Lakini kumwamini kulipungua, na yeye alijua hivyo.
Niliendelea naye hadi nilipoona sasa anafaa apate mume, nikamshauri juu ya hilo, tukawadiscuss wote waliojitokeza kumtaka, tukaona anayefaa, tukawaozesha, sasa ni familia ya watoto wawili. Na nimekuwa rafiki na ndugu wa familia.
Na hajawahi nisaliti tena, japo nami alinipa ofa ya kuendelea "kumla au kulana" kwa miaka mitano ya mwanzo ya ndoa yake!
Wakati mwingine mtu hujikuta amesaliti kutokana na mazingira na sio dhamira!
Unaibiwa mzee kuwa makini kwann alikimbia, endelea kuhesabu siku ila usianze kulea mimba mana yawezekani ni goli la mhuni mmoja hivi[emoji16][emoji16][emoji16] Aya mamb bana daaah acha tu me Kuna manzeee ili nambia in mimba asaa siku nimepanga tukapime tujue ya mda gani (mimba in mda gani) akala Kona kwakua aljua kesho yake na safiri af baada ya kusafiri anantafuta eti alishaenda clinic kafungua na kadi kilichomfanya akimbie akutaka kuwahi mapema clinic sema nakumbua tareh ya mwisho kulala nae vp naweza nikaitumia Kama kuhesabu mpaka siku anajifungua
Hahahah mchizi kama ni umakini 100%
Duh[emoji87][emoji134][emoji134][emoji1751],hatari sana.Aaarghhh! be shosti nae kazinguwa sana alitakiwa kwanza akifika nyumbnn achukuwe mkojo wa ndugu yake aupime ili itoke mstar mmoja halafu akutumie picha Then siku ambayo anataka kupga show kav kav anatakiwa siku hiyo awe na furaha sana anakuja gheto na mizawad km Boksa, kitu cha Kvant mixer bia anaenda kuoga akirud ndan anajibenuabenua huku mkipata kinywaji kisha anakwambia baby mwenzio sikuhiz ukitumia Condom zinaniwasha kwel yani hujakaa sawa karukia Koni ukistukia anaweka properly towards respective area with high focus then mtapiga round zenu za kutosha halafu anasema asante mpz leo nimeenjoy sana na leo nipo safe day.
Atarudia hivyo Several times then finally After one month ndio anakuja kusema Dear I hope nimeconsive na kukupa hongera kwa kazi uliyoifanya. Najua utaskitika yataisha tu na anakupa tena game sasa Kavkav hapo ushirikiano wako utakuw mzur sana na utamnyoisha kisawasawa kama noma na iwe noma.
Nakwambia hujui Ng'oooo na lait ningekuwa namjua ningemuelekeza maana kuna binti Mmoja hapa Kinondoni katolewa barua na mahari imetoka bado mwez mmoja kuolewa huku kamati za vikao za harusi zikiendelea akatembea na Mume wa Shoga yangu tena kav kavu kuja kustuka baadae anapma kaona mimba na yule jamaa wake alyemtolea barua akamuoa huku akiwa na mimba bila kujua wanaishi wote mpaka leo amezaa mtoto wa kwanza anafanana na Mama yake sana anabaye siyo wa yule baba hivyo jamaa haelewi na maisha yanaenda. ila mtito wa pili ndio amezaa na mme wake wa ndoa.
Yule wa kwanza ilibidi apewe Ubini wa mume wake wa ndoa na anahudumiwa na wanaume wote wawili
Teh teh teh bado Mpkaa leo anatembea na mume wa shoga yang maisha life goes on
Nowadays we are very intelligent especially on love scenarios you guys must be carefully in the game of love..
Dawa yenu ni Tomassi Rollo.Aaarghhh! be shosti nae kazinguwa sana alitakiwa kwanza akifika nyumbnn achukuwe mkojo wa ndugu yake aupime ili itoke mstar mmoja halafu akutumie picha Then siku ambayo anataka kupga show kav kav anatakiwa siku hiyo awe na furaha sana anakuja gheto na mizawad km Boksa, kitu cha Kvant mixer bia anaenda kuoga akirud ndan anajibenuabenua huku mkipata kinywaji kisha anakwambia baby mwenzio sikuhiz ukitumia Condom zinaniwasha kwel yani hujakaa sawa karukia Koni ukistukia anaweka properly towards respective area with high focus then mtapiga round zenu za kutosha halafu anasema asante mpz leo nimeenjoy sana na leo nipo safe day.
Atarudia hivyo Several times then finally After one month ndio anakuja kusema Dear I hope nimeconsive na kukupa hongera kwa kazi uliyoifanya. Najua utaskitika yataisha tu na anakupa tena game sasa Kavkav hapo ushirikiano wako utakuw mzur sana na utamnyoisha kisawasawa kama noma na iwe noma.
Nakwambia hujui Ng'oooo na lait ningekuwa namjua ningemuelekeza maana kuna binti Mmoja hapa Kinondoni katolewa barua na mahari imetoka bado mwez mmoja kuolewa huku kamati za vikao za harusi zikiendelea akatembea na Mume wa Shoga yangu tena kav kavu kuja kustuka baadae anapma kaona mimba na yule jamaa wake alyemtolea barua akamuoa huku akiwa na mimba bila kujua wanaishi wote mpaka leo amezaa mtoto wa kwanza anafanana na Mama yake sana anabaye siyo wa yule baba hivyo jamaa haelewi na maisha yanaenda. ila mtito wa pili ndio amezaa na mme wake wa ndoa.
Yule wa kwanza ilibidi apewe Ubini wa mume wake wa ndoa na anahudumiwa na wanaume wote wawili
Teh teh teh bado Mpkaa leo anatembea na mume wa shoga yang maisha life goes on
Nowadays we are very intelligent especially on love scenarios you guys must be carefully in the game of love..
Aaarghhh! be shosti nae kazinguwa sana alitakiwa kwanza akifika nyumbnn achukuwe mkojo wa ndugu yake aupime ili itoke mstar mmoja halafu akutumie picha Then siku ambayo anataka kupga show kav kav anatakiwa siku hiyo awe na furaha sana anakuja gheto na mizawad km Boksa, kitu cha Kvant mixer bia anaenda kuoga akirud ndan anajibenuabenua huku mkipata kinywaji kisha anakwambia baby mwenzio sikuhiz ukitumia Condom zinaniwasha kwel yani hujakaa sawa karukia Koni ukistukia anaweka properly towards respective area with high focus then mtapiga round zenu za kutosha halafu anasema asante mpz leo nimeenjoy sana na leo nipo safe day.
Atarudia hivyo Several times then finally After one month ndio anakuja kusema Dear I hope nimeconsive na kukupa hongera kwa kazi uliyoifanya. Najua utaskitika yataisha tu na anakupa tena game sasa Kavkav hapo ushirikiano wako utakuw mzur sana na utamnyoisha kisawasawa kama noma na iwe noma.
Nakwambia hujui Ng'oooo na lait ningekuwa namjua ningemuelekeza maana kuna binti Mmoja hapa Kinondoni katolewa barua na mahari imetoka bado mwez mmoja kuolewa huku kamati za vikao za harusi zikiendelea akatembea na Mume wa Shoga yangu tena kav kavu kuja kustuka baadae anapma kaona mimba na yule jamaa wake alyemtolea barua akamuoa huku akiwa na mimba bila kujua wanaishi wote mpaka leo amezaa mtoto wa kwanza anafanana na Mama yake sana anabaye siyo wa yule baba hivyo jamaa haelewi na maisha yanaenda. ila mtito wa pili ndio amezaa na mme wake wa ndoa.
Yule wa kwanza ilibidi apewe Ubini wa mume wake wa ndoa na anahudumiwa na wanaume wote wawili
Teh teh teh bado Mpkaa leo anatembea na mume wa shoga yang maisha life goes on
Nowadays we are very intelligent especially on love scenarios you guys must be carefully in the game of love..
Kweli wewe ni mwanaume mjinga umetomb.ewa halafu unataka kukusaidia kuamua hujui wanaume ni wachache ke ni wengi?Habari zenu wakuu, JF ni sehemu ninayoiheshimu na imejaa watu wazima wenye hekima na wanaojitambua natumaini mtanipa ushauri mzuri na wenye hekima.
Nipo kwenye mahusiano na binti 24 years old, Tumekuwa na mahusiano kwa muda wa miaka miwili na muda wote nilikuwa nikijitahidi sana kumlinda na mimba sababu yupo kwao mipango yetu ilikuwa ni kuzalia kwenye ndoa hivyo muda wote tuliokuwa tunakutana nilizingatia sana kinga ili kumlinda na mimba.
Sasa shida imekuja tokea miezi miwili iliyopita alikuwa kabadilika sana yani hata kukutana na mimi ni hadi aamue kwa kujiskia yeye tofauti na zamani, akija kwangu simu ataiacha kwao sababu hatuishi mbali na simu nilimnunulia mimi, hadi nikajiuliza simu imeficha nini lakini niliendelea kuwa mvumilivu.
Mara ya mwisho nikakutana nae kimwili siku moja baada ya kumaliza period na siku ya 27 ya mzunguko wa hedhi ndio ikawa mara ya mwisho kusex nae na mara zote nilitumia condom kwa usahihi na wala haikupasuka wala kupata damage yoyote na hata muda wa kusex alikuwa yupo yupo tu yani najihisi nipo peke yangu kitandani.
Sasa baada ya kupita siku karibia 36 bila kuona siku zake, ikabidi nimuulize vipi kuna tatizo? Akawa kakaa kimya tu anasema hajielewi labda ni mabadiliko tu, kwa vile nilishaona ile sio hali ya kawaida na haijawahi kutokea ikanibidi niende pharmacy nikanunua Baby check kwa ajili ya kupima mkojo wake ili nijue kama ana ujauzito.
Jioni nikampa nikamuekekeza acheki mkojo wa asubuhi akiamka, ilipofika asubuhi akachek na matokeo yakawa ni haya [emoji116], akanitumia hiyo picha whatsap.
View attachment 1500024
Alama mbili zikatiki kuwa ni mjamzito, ikanibidi nionane nae jioni ile tujadiliane na maswali niliyokuwa nayo kichwani inawezekana vipi mtu usex kwa kutumia condom kwa usahihi na tena kwenye siku ambazo sio za kushika mimba na mtu apate mimba?
Nilivyoonana nae ikanibidi nimbane kisawa sawa kwa tecknic nazozijua mimi ili aseme ukweli kama aliteleza, baada ya kumbana huku akilia kuwa mimba ni yangu nikamwambia pia kama bado utaniaminisha mimba ni yangu mimi sina tatizo mtoto akizaliwa tutaenda kucheki DNA, kuthibitisha kuwa ni wangu ili nilee damu yangu, Akasema hataki kuzaa hivyo tuitoe, mimi nikasimamia msimamo wangu kuwa damu yetu haipotei kama mimba ni yangu ajiamini kwanini aogope hadi atake kuitoa na uwezo wa kulea upo.
Ikabidi aongee ukweli kuwa alinisaliti na mtu mwenyewe aliyechepuka nae haijui hata background yake hata kazi anazofanya hazijui, niliishiwa nguvu pale nilipo mwambia alete simu yake ampigie huyo jamaa kuwa ana mimba yake.
Baada ya kumpigia jamaa akakubali na kusema hana tatizo, nilibaki na mshangao na machozi yalinitoka, na kama isingekuwa kutumia condom basi ile mimba ilikuwa niikubali kwa mikono miwili na ukiangalia kwetu kutoa mimba ni haram na kosa kubwa wakati uwezo wa kulea upo.
Pale ndipo nilipoamini kuwa wanawake ni watu wakuishi nao kwa akili sana, kukuletea mtoto asie wako hawaoni kazi, naamini kuna watu wengi mnalea watoto ambao sio wenu, mimi nimeponyea kwenye tundu la sindano.
Nichukue fursa hii kuwashauri vijana ambao hamko kwenye ndoa acheni kuruka na wanawake kavu kavu, hasa hawa mabinti under 28, hawafai hata kidogo ni wachache sana wametulia ila wengi ni mafia, kukuleta mimba isiyo yako huwa hawaoni tabu
Ni heri mtumie condom tu ili kuepukana na huu mchezo tunaochezewa wanaume, ifike mahali tuseme basi kulea watoto ambao sio wetu tumechoka.
Vile vile tokea hili tukio litokee nipo katika wakati mgumu sana, mawazo hayaniishi sababu kutendewa unyama kama huu na mtu niliyempenda inaumiza sana, na huyu mwanamke kila kukicha ananiomba msamaha akilia, hivi nawezaje kusamehe usaliti kama huu? Ndio maana kwenye heading nikaomba ushauri wenu namna ya kuanza maisha mapya yenye amani nimechanganyikiwa kwa kweli.
Kwe
Kweli wewe ni mwanaume mjinga umetomb.ewa halafu unataka kukusaidia kuamua hujui wanaume ni wachache ke ni wengi?
hujaelewekaBado haujapona kulea mtoto wa mchepuko wa mkeo , kupona kwako ni mpaka pale mtakapoamua kuacha kuzaa.
condom imekamata mchepukoUnakiwaje na wanaume wengi hivi na corona ai hii bure kabisa .
Hii miaka sio enzi zetu.
Unachepuka mpaka unachekelea kinyume nyume sasa hii ni zama za umakini kidogo.
Enzi zile unachepuka kwa raha tu.
Sai kuna mambo mengi sana .
Mtoto wako wa mwisho mkeo atazaa na mchepuko wake.hujaeleweka