Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hii ni kuhofia aibu ambayo ingewapata, ndioo, Wamejua kwamba hawatajaza watu, wanajua hawakubaliki, hawana ushawishi, Sasa wamekuja na GIA ya kufanya Ziara za Mikutano ya Ndani tuu, yaan kwenye Viukumbi vyenye kubeba wanachama tu na sio Raia ,tena wanachama wapatao 100 !!.
Hofu yao ni kuona wanaanza kulinganishwa na Mikutano ya Jeshi la mtu Mmoja Paul C Makonda !!.
Sasa nmeelewa, kwann Nchimbi hakutaka kufanya kazi na Makonda...jibu nikua Makonda amem-Outshine !!!. ...Ni kwamba Mikutano wa Nchimbi na Makala wenye Wasanii, bado haukuwavutia watanzania kama ilivyokua Kwa Paul C Makonda ambaye hakuambatana na Wasanii. !!!.
Wapo njia panda.... Watembee na Wasanii ili wajaze lkn Bado watanzania tulinganishe ukubalifu wao dhidi ya Paul Makonda??.
Au Wasitembre na Wasanii ila wasijaze ionekane hawana mvuto??.
Yote mawili yanaonekana bado kumbeba Paul C Makonda!!.
Solution Yao imekua ni kujikita kwenye Mikutano ya Ndani tu mpaka pale kampeni zitakapoanza.
MAKONDA ni kama HAYATI MAGUFULI, Yaan Marais woteee wa Nchi hii watakua wanapimwa kupitia HAYATI J POMBE MAGUFULI.
Kwa haraakharaka, Janja walotumia, itawafanya waendelee kuaminika na Samia.
VIVA SUKUMAGANG...WAZALENDO THABITI WA NCHI HII