Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Uchaguzi 2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

Hata angesema mtu mwingine ambae sio mwanasiasa msimamamo wangu utabaki kuwa ule ule. aliyedhalilishwa ni ester matiko sijui nani, na sio wanawake wote.
Sina ushabiki wa kisiasa wa kishamba. Jamaa kachemka na ikibidi aombe radhi kwa aliye mtukana.
We mboga mboga bhna [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.

Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio msimamo wa CCM Taifa kuwa CCM siku hizi wanawachukulia wanawake kama Malaya.

Cha kushangaza hutasikia NEC wakikemea jambo hili, hutasikia CWT wakikemea jambo hili, hutasikia hata Polisi wakikemea jambo hili.

Nawaomba wanawake wote, kwa umoja wenu, kataeni kudhalilishwa kisa tu ni kampeni. Utu wenu ni zaidi ya siasa.

Leo ameyasema kwa Matiko, kumbuka kesho itakua wewe, mama yako au wanao kuitwa Malaya.

Nimeweka ni video hapo, credi kwa Maria Tsehai

Kuna mtu alisema nimeweka kipande tu, sasa nimeweka video nzimaView attachment 1554990View attachment 1554991
View attachment 1554992

Arooo! Kumbe???
 
Back
Top Bottom